Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la khomein, Jimbo la markazi
 
💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la sohrevardi Tehran
 
Trump anaendelea kujitengenezea mwanya wa kuchomoka kwenye vita!

Leo kasema hakuna tena sehemu za kulengwa na mashambulizi zilizobaki huko Iran na vita inaweza kuisha muda wowote ule atakaoamua yeye.

Mimi naona hii haikuwa kabisa vita yenye ulazima wowote ule.

Sababu zote za vita walizozitoa naamini ni za uongo.

Na sasa hata lengo lao la kubadili utawala huko Iran linaelekea kushindwa.

Ndani ya Marekani athari za vita zishaanza kuwagusa watu wa kawaida.

Bei ya mafuta imepanda sana.

Trump hawezi kuendelea na hii vita.

Na huko Iran mwelekeo ni kwamba Ayatollah Khamenei ataendelea kutawala.

Hii haikuwa vita yenye ulazima.
Wewe ni Ant Trump
Huwezi kuona umuhimu kutatua changamoto kabla ya kuwa kubwa

Kitendo Cha Iran kushambulia majirani zake Tena wa Imani Moja

Imeonyesha wazi kama wakoruhusiwa kumiliki nuclear Nini watafanya
 
Wewe ni Ant Trump
Huwezi kuona umuhimu kutatua changamoto kabla ya kuwa kubwa

Kitendo Cha Iran kushambulia majirani zake Tena wa Imani Moja

Imeonyesha wazi kama wakoruhusiwa kumiliki nuclear Nini watafanya
Aliyeanzisha vita ni Marekani lakini unailaumu Iran!

Marekani tayari ana historia ya kuanzisha vita visivyo na sababu na kwa wakati huo huo Iran haijawahi kuanzisha vita.

Hapo tu tayari tunaona tatizo liko wapi!
 
💥💥💥💥
Spika wa bunge la Iran: wananchi wa iran, mimi ambae nimetoa sadaka maisha ya kwa zaidi ya mara elfu
Uwepo wenu mtaani kutafanya kuwachanganya maadui na kuwakatisba tamaa
Hawa askari wenu wazuri wana maombi matatu tu kwenu. "Ingieni mtaani, ingieni mtaani, ingieni mtaani"

Watoto kwenye majeshi wamejitolea maisha yao kuipigania Iran, wapeni nguvu kwa kuingia mtaani.
 
Back
Top Bottom