Nchi 3 tu Pakistan China na Russia km sikosei✍️
Nchi 3 tu Pakistan China na Russia km sikosei✍️
No red crescent yenyewe pia imepigwa.IRC wanatoa msaada na taarifa. Sio kwamba wao ndio wamepigwa. Ila wanasema ni residential buildings
We una hisi Iran ataishambuliaje Israel au mataifa ya ghuba bila kutumia missiles au drones hana option nyingine, tofauti na Urusi ambaye anatumia silaha za kila ainaYani kwa Vita ya Iran ndani siku 3 missile 800 !!!!! 💥💥💥💥💥💥
wkt Vita ya Russia na Ukraine ndani ya Miaka m4 zimetumika missile mia 400 tu.
Iranian shikamooo sio pooooo ni MOTO.
Doooh aiseee 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌Mimi namjua huyo vizuri sana 😄😄😄 tangu miaka hiyo ya 96 huko wakati huo wanafanya mihadhara so I know what I'm talking
Hii strategy ya kutunza makombora chini ya Ardhi imeback fire kwa Iran
View: https://x.com/MOSSADil/status/2031730192301846607
Umekuwa easy kuzishambulia sababu ni stationery targets
Ndio maana nimesema ni disadvantage kwaoHizo missile cities nyingi zipo milima ya Tabriz.
Unajua milima ya Tabriz ina urefu wa mita elfu ngapi!??
Tuletee bomu linaloweza kupasua ama kutoboa bunker iliyo chini ya milima yenye urefu wa thousand metres.
Kulipua milango ya kuingilia kutaleta athari gani kwa hifadhi ya makombora!??Ndio maana nimesema ni disadvantage kwao
Kama wewe unajua Tabriz ilipo unadhani Marekani hawawezi kulipua milango ya kuingilia hayo mahandaki
Tuliza kalio!!!Tulia 🫸🏽