hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
So Kwa Putin hii vita kwake ni Opportunity kubwa !? Ni mbuzi kafia Kwa muuza soup !?Washaanza kutoa milio EU,mbunge mmoja wa EU anakwambia ktk siku kumi za vita gas imepanda kwa asilimia hamsini na mafuta asilimia ishirini na saba. Imesababisha gharama za kuagiza mufuta na gesi kupanda kwa Euro 3bil. Putin kama hawaoni, yeye kaanza kuwauzia mafuta na gas West Asia,Iran hana mpango wa kupoa kabisa.Hizo ni siku kumi hii ikitoboa mwezi nchi za ulaya kutakuwa na maandamano makubwa sababu ya mlipuko wa bei, EU lazima watampigia magoti Putin na tayari washampigia magoti wakiomba, aongee na Iran ili amalize vita.
View attachment 3556508
Yaweza kuwa yeye ndiye anaye waambia Iran waendelee kukaza ili wapige pesa za wese maybe Iran ana % zake endapo EU watampigia magoti Putin na kuhitaji nishati yake !?