MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Eeeh,
Hazijulikani zimepigwa na nani!?Mkuu hizo meli zimetambulika maana niliona hii habari Al Jazeera wanasema hazijajulikana ni meli za nchi Gani.
Na haijajulikana imepigwa na nani..
Ila ni meli za mizigo
😄😄Hazijulikani zimepigwa na nani!?
Seriously!?
Kuna Watu hawajipendi Aisee 😄🙌Mameli mawili yamejaribu kufuata ushauri wa Trump.
Yamepewa kipondo!!!
Waajemi hawana mbambamba!!!
View attachment 3556368
Mtu umemuulia wazazi wake and other siblings so what you expect , !?Unaambiwa IRGC wamepewa maelekezo mapya huko, kuanzia jana na kuendelea makombora yatakayokuwa yanatumika hayatakiwi kuwa na uzito chini ya tani 1.
Oyaaaaah, huyu Ayatollah janja ana roho mbaya kinoma!!!
😁😁 Hawajazoea Heka Heka"Why isn't anyone in the media talking about US!?"
DAAAAH!!!
Mazayuni wanatia huruma huko mtandaoni, ni noma!
View attachment 3556390
Wamevamia Mtumbwi wa vibwengo 😁😁Trump na bahasha ake Netanyahu wamejua kuyabananga mwaka huu!!!
😄😄😄 Mke mdogo ana wivuUkraine wanatoa data ambazo hazitakiwi kutolewa.
Unaambiwa ndani ya siku tatu tu, Patriot missiles 800 zimetumika kulinda anga hapo middle east!
Patriot missile moja inagharimu kama dola millioni 7 hivi za Kimarekani, zidisha mara 800, oyaaaaah vita gharama wazee!!!
Ila Ukraine nao wambea wambea sana!!!
View attachment 3556398