Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Mwingine yeye taarifa zake anazitolea youtube channel , video za mchongo tu lakini ndio zinamfurahisha hatuna cha kufanya.
Times of India ni chombo cha muda sana kina clarity huwa hawatoi habari za kubumba.
Na jamaa ndipo anapotolea habari huko. Wacheni ku divert mambo wenzenu waonekane wanaleta fake news ilhali zikiletwa za Iran mnashangilia.
Huo ni ushabiki maandazi.
 
Iranian Armed Forces spokesperson Brig.-Gen. Abolfazl Shekarchi called on regional Muslims and countries to reveal the locations of US and Israeli military assets to enable Tehran to conduct more accurate airstrikes.

Tuliambiwa hapa kuwa eti Russia inatoa locations za asset za Marekani kwa Iran,vipi tena kaacha kutoa baada ya kuona ananufaika na vita kwa kuuza mafuta kwa bei juu?
"To reveal more sites" hata kiingereza unajua bro!?
Au unapost tu habari?
 
Times of India ni chombo cha muda sana kina clarity huwa hawatoi habari za kubumba.
Na jamaa ndipo anapotolea habari huko. Wacheni ku divert mambo wenzenu waonekane wanaleta fake news ilhali zikiletwa za Iran mnashangilia.
Huo ni ushabiki maandazi.
Ni uchizi kabisaaa

Habari za kweli ni wanazo leta wao ila zikiletwa zinazo onyesha wao kupigwa wanampinga haya majamaa yana Akili kweli !?
 
Kwahiyo anajua Israhell si kitu kwa Iran
Kuna watu niliwaambia humu,Israel kamwe haina ubavu wa kupambana na Iran.
Kwa madai ya Trump Iran alipanga mashambulizi mazito sana dhidi ya Israel ambayo yangemaliza vita mapema sana. Kuishambulia kwao Iran kumefanya Iran itawanye nguvu.
Halafu kuna mbuzi zinakwambia Israel inajiweza.
 
Halafu Trump anakuambia wameangamiza kikosi cha Navy na Resources zake, vita inapropaganda nyingi, yaani muungamize vikosi na bado mnaogopa kupitisha meli,yani haimake sense
Only Kwa mazwazwa, na ndio story wanazo penda kuzisikia ,

Yaani kama Iran ni underdog why unashindwa kujiuliza kwanini USA hapitishi hizo meli Hormuz,

Na kama kweli Iran ni underdog kwanini USA kashindwa kuzilinda base zake huko middle east bad enough kashindwa kuwalinda Hadi washirika wake !!!!

Bora ukose mali upate Akili ( /Elimu ya mjinga ni majungu) 😁

Via banza stone
 
Shida Mengi yamelishwa Propaganda sana yakisikia Marekani yanaona kama Mbinguni haya Mikenya ndio Hovyo kabisa
Japo ipo mijitu mingine imeanza Kupata Akili
 
Back
Top Bottom