Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Shida Mengi yamelishwa Propaganda sana yakisikia Marekani yanaona kama Mbinguni haya Mikenya ndio Hovyo kabisa
Japo ipo mijitu mingine imeanza Kupata Akili
Ni Bora vita hii ilivyokuwepo maana imeweza kutoa picha halisi ya kile ambacho watu wengi walicho kuwa hawakifahamu , 😁😁😁

Technology pia zimechangia kuwatoa watu wengi katika ujima maana zamani masuala ya vita simulizi zake watu walikuwa wana zisikia kwenye radio tu na kuona kwenye TV kidogo so hapo ni rahisi sana media kucheza na Akili za watu na kureport kile ambacho wanacho kitaka

Lakini mziki wa internet ni habari nyingine mtu akisha kuwa na smart phone tu Tayari amesha kuwa ni reporter serikali itake isitake lazima habari zitafika tu katika jamii


So kinacho wadhalilisha USA na Israel for now ni ubora wa mawasiliano uliopo Sasa Kwa kupitia internet na ubora walionao Iran Kwa kuona fursa zilizopo katika technology ya kivita then wakaitumia vyema now tuna zungumza mengine

Aibu kubwa sana Kwa USA na Israel walidhani kwamba miaka hii bado ni 1950 kwamba they can tell lies to the people wherever they want then we can believe kumbe nyakati hizo now zimepita Kila mtu now days ni reporter alimradi awe na smart phone tu
 
Kimtokacho mtu ndicho kilichomjaa

Wewe umejaa Udini tupu mkuu

Kama ukiweza, nitajie mtanzania Asili mweusi kama wewe ambaye ni mfanya biashara ukiondoa hao wahindi wanaofahamika
Ha ha ha hawezi, achana naye huyo mkuu. Waislamu wengi wao udini umewajaa saana hao.
 
Duuh!
Nimefuatilia huu Uzi Toka mwanzo aisee...
Kuna watu wanafurahisha sana.
Hii vita kiukweli ni piga nikupigie yaani nipige ngumi ya uso nikupigie teke la tumbo.
Mimi nafatilia huu mzozo wa mashariki ya kati long sana na habari zote nafatilia daily.
Hakuna siku Iran haijashambuliwa na hakuna siku Israel haijashambuliwa.
Lakini taarifa nyingi huku utaona kama Iran ndiye anapigwa tu... Jambo ambalo sio kweli.

Kiukweli kabisa Iran anapigwa Tena sana kiasi ambacho kama ni taifa lingine lingesha bow kwa U.S ila ajabu Iran Bado yupo tu hii sijui inaashiria Nini.
Kwa upande wa Israel anapokea kipigo Cha kihistoria Tel Aviv inapigwa tuache mahaba Tena inapigwa kwelikweli, na ni kweli Kuna zuio la kutoa habari ndani ya Israel ila ndio hivyo mambo ya teknolojiaaa...

Iran kaonyesha jeuri ya Hali ya juu kupiga base 27 za U.S ndani ya nchi 8 hili pekee itoshe kusema huyu ndio mbabe wa mashariki ya kati.
Mpaka sasa Iran ana advantage sana kwenye hii vita ila mambo Yanaweza badilika muda wowote maana U.S ni Mzee wa foul sana.
 
💥💥💥💥
Kamanda Sardar Esmaiil Dehghan ambae ni kamanda wa jeshi la anga ameuwawa kwenye moja ya jengo huko eneo arak jana usiku. Ameuwawa pamoja na familia yake.
Gari aliyokuwa anatumia ilitegeshwa gps na kuanza kumfuatilia, alipofika katika hilo jengo eneo la parking ndio hapo kombora likapigwa.
View attachment 3556242

Eneo la tukio lilipotokea
View attachment 3556243
Mungu mkubwa.Mungu mkubwa.
 
Mbinu anazotumia Iran katika hii vita Zina mletea matokeo mazuri sana..
Kwanza anawachosha U.S na Israel(war of attrition)
Yaani ameanzisha mapambano mengi kwa wakati Mmoja hii inawafanya U.S kuingia gharama kubwa na anawachosha kijeshi, kiuchumi na kisiasa.
Rejea anawatandika pia Qatar, Bahrain, saudia n.k
Pia Iran ana advantage nyingine yakutumia Proxy.
Kina Hezbollah na wanamgambo wa Syria na Yemen

Kingine ambacho ndio fupa gumu kwa U.S na Israel ni kuwa Iran anatumia doktrini ya kijeshi inayoitwa "Decentralized Mosaic Defense"
Yaani anahakikisha anaweza kupigana hata kama anashambuliwa vikali, viongozi wanauwawa au mawasiliano kukatika..
Hiki ndicho kinanacho mnyima usingizi U.S na Israel kwamba pamoja na mashambulizi yote hayo ila Bado Iran yupo naye anajibu hiyo ndio Mosaic defense yaani Kila eneo Lina uwezo wa kujilinda bila Kutegemea amri kuu kutoka Tehran.
 
Mameli mawili yamejaribu kufuata ushauri wa Trump.
Yamepewa kipondo!!!

Waajemi hawana mbambamba!!!

Screenshot_2026-03-11-11-22-45-48_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Back
Top Bottom