Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Ni kama mbwa koko anambwekea kila mpita njia.
Habweki bali anatoa warning mapema, maana kipigo anachotembeza kimesababisha hadi jirani yake Uingereza ambaye hayupo kwenye vita ila anakabiliwa na uhaba mkubwa wa gesi, akiwa na hifadhi ya siku 1 hadi mbili tu . Hapo usisahau taifa feki linavyopigika mpaka wanang'oa cctv camera.
 
India ndio kaomba kwa Marekani aruhusiwe kununua mafuta ya Urusi ili kufidia gap la mafuta ya Waarabu na Marekani kakubali kufanya hivyo,tafuta habari usipende kuokota habari zinazokufurahisha wewe tuu.
We kiazi Trump mwenyewe alisema anafikiria kulegeza vikwazo dhidi ya Urusi baada ya kumpigia simu walipojadili kuhusu vita ya Iran na Ukraine.
RT imeripoti hilo. Kwahiyo RT ni chombo cha kuokoteza!??
Una upungufu wa akili wewe.
 
Hoja gani niliyoshindwa kujibu,ulileta hapa uzushi eti masenator hawataki vita nikakwambia kuwa huo mswada Democrats walishaupeleka Congress then Senet na ukashindwa kupita na mpaka ushahidi wa hizo kura nilileta hapa.
Uliletewa ushahidi wa maseneta kupinga hilo ukatoka nduki.
Wacha kuongopea watu hapa.
 
😄😄😄Lack of intelligence
Kuna watu huwa mie nawatukana muda mwingine,yani wanakua kama mafala wanajitoa akili.
Yani vyombo vikubwa vimetangaza wakiinukuu Kremlin kuwa Trump amepiga simu kuomba usaidizi wa kumaliza vita ya Iran,mtu anakwambia PROPAGANDA.Huyu mtu makalio nini!?
Inamaana yeye ana taarifa muhimu kuliko Kremlin??
Trump amesema kuwa wanatizama namna ya kujadili usitishwaji vita na Netanyahu.
Haijaisha leo hii kasema "Kwangu mimi vita imeisha,na Iran akiendelea tutamjibu mara 20 zaidi ya mwanzo". Hizi kauli kirahisi tu mtu unajua kuwa inatafutwa kuokolewa Israel na watu kusitisha vita.
Ila kuna NGURUWE PORI YUPO NAMTUMBO SONGEA anakwambia HIZI PROPAGANDA.
 
Habweki bali anatoa warning mapema, maana kipigo anachotembeza kimesababisha hadi jirani yake Uingereza ambaye hayupo kwenye vita ila anakabiliwa na uhaba mkubwa wa gesi, akiwa na hifadhi ya siku 1 hadi mbili tu . Hapo usisahau taifa feki linavyopigika mpaka wanang'oa cctv camera.
😄😄 Pro Israel sio kwamba hawajui kinacho endelea wanajua vyema sana ila Sasa wanaona haya kuaccept matokeo maana hawaamini wanacho kiona waliaminishwa ujinga hawakujua kama walikuwa brain washed
 
Hoja gani niliyoshindwa kujibu,ulileta hapa uzushi eti masenator hawataki vita nikakwambia kuwa huo mswada Democrats walishaupeleka Congress then Senet na ukashindwa kupita na mpaka ushahidi wa hizo kura nilileta hapa.
Uzushi upi na nilikuletea reference ukakimbia ,kwani mimi sikuleta?

Yaani Congress wakuruhusu,ila still wawaulize DoD "sababu ya vita na main objectives za vita " ambazo walishindwa kuzijibu,halafu ndio waruhusiwe kupewa hela,labda ufanyike uhuni na ubabe wa Wayahudi kubypass bunge la Congress.

Hebu msikilize Congress Woman Sara Jacobs,akiwabana DoD juzi.
View: https://m.youtube.com/watch?v=pJbqVvoo-a4&t=9s&pp=ygUaU2FyYSBqYWNvYnMgdGltZXMgb2YgaW5kaWE%3D

Haya maswali yote hamna hata moja lilojibiwa.
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la Qeshm
20260310_211116.jpg
 
The chairman of the US Joint Chiefs of Staff said he “respects” Iran’s resistance in the war but doesn't see its forces as stronger than anticipated. Speaking at the Pentagon, General Dan Caine said Iran's forces were “fighting”, but “not more formidable than what we thought.”

Aache manenomaneno, apeleke ground force huko aone
 
Okay,

Kwa majibu haya, yatosha kuelewa nazungumza na mtu type ipi

Wachuuzi nao unawaita wafanya biashara?

Nitajie mtu mmoja mweusi hapa bongo ambaye ni mfanya biashara, kidogo tumewahi kuwa na Marehemu Mengi peke yake
Kwakuwa mengi mkristo mwenzio? Kwaiyo kina bakhresa hawafanyi biashara bali wanauza masaburi yako?
 
King Hamad bin Issa Al Khalifa of Bahrain appeared to have fled the country.
Aisee Bahrain serikali ishapinduliwa shia wanakamata uongozi. Tatizo lingine hili.
 
Back
Top Bottom