na umeinama kweli japo jamaa zetu humu hawataki kabisa kukubali ukweli watakwambia Israel imechakaa sana unajiuliza Israeli hii hii ambayo mpaka ndege za abria zinatua na kuondoka hadi Leo hiiUwanja umeinama
na umeinama kweli japo jamaa zetu humu hawataki kabisa kukubali ukweli watakwambia Israel imechakaa sana unajiuliza Israeli hii hii ambayo mpaka ndege za abria zinatua na kuondoka hadi Leo hiiUwanja umeinama
Pole sana.Yamepunguq lini na wapi? We jamaa umechanganyikiwa. Israel anapeleka moto kila dakika.
Sasahivi Israel anashinda angani anachagua wapi apige. Hivi mkuu mara ya mwisho Iran karusha kombora lini?Uwanja umeinama
Umeona maafa ya Ramat Gan kwa shambulio la jana usiku kwenda Israel!?Sasahivi Israel anashinda angani anachagua wapi apige. Hivi mkuu mara ya mwisho Iran karusha kombora lini?
Iran sio kama haipati maumivu,inapata maumivu sana tu. Ila nayo Israel inaumia vile vile.Ukiona watu wanakataa ceasefire. Ujue wanajiamini na wana nambo lao
Kwanini umetoroka mirembe?Ujinga mtupu humu,mmoja anajiona Bora kwa dini aliyoletewa na mwarabu na mwingine anajiona bora kwa dini aliyoletewa na Mzungu Na wote eti ni wasomi.Bora msingeenda shule tu.Pumbavu zenu wote
Sasa CNN wenyewe wanakuambia kulipuliwa kwa Radar nne ,kumepunguza mashambulizi ya US.Sasa wao wenyewe wenye tech yao wanakuambia mashambulizi yamepungua,wewe unakomaa sasa ni bishane na wewe wakati CNN wanaona dalili ya mashambulizi kupungua sio hivyo tu. Trump kamvutia waya Putin wanaomba waimalize vita hii kidiplomasia, sasa jiulize kwa nini wanataka walimalize hili kidiplomasia.Yamepunguq lini na wapi? We jamaa umechanganyikiwa. Israel anapeleka moto kila dakika.
Kremlin wamelitangaza hilo kuwa Trump alipiga simu kuongea na Putin juu ya njia za kuimaliza hii vita.Sasa CNN wenyewe wanakuambia kulipuliwa kwa Radar nne ,kumepunguza mashambulizi ya US.Sasa wao wenyewe wenye tech yao wanakuambia mashambulizi yamepungua,wewe unakomaa sasa ni bishane na wewe wakati CNN wanaona dalili ya mashambulizi kupungua sio hivyo tu. Trump kamvutia waya Putin wanaomba waimalize vita hii kidiplomasia, sasa jiulize kwa nini wanataka walimalize hili kidiplomasia.
Uwongo ni mwingi kuliko uhalisia humu, kila mtu unajiandikia tu kisa ni pro Iran au IsraelSasa CNN wenyewe wanakuambia kulipuliwa kwa Radar nne ,kumepunguza mashambulizi ya US.Sasa wao wenyewe wenye tech yao wanakuambia mashambulizi yamepungua,wewe unakomaa sasa ni bishane na wewe wakati CNN wanaona dalili ya mashambulizi kupungua sio hivyo tu. Trump kamvutia waya Putin wanaomba waimalize vita hii kidiplomasia, sasa jiulize kwa nini wanataka walimalize hili kidiplomasia.
Hamna upro kuna mijadala ukiisikiliza inakupa picha kamili, maana US walivyo anza tofauti wanavyo maliza. Jana wametoa taarifa raia wake wote wa middle east waondoke, jana hiyo hiyo radar yao ya nne Qatar ikalipuliwa, jana na leo Trump kamvutia waya kulimaliza hili swala kidiplomasia.Ukiviangalia hivi unajua US anahali gani na Iran anahali gani japo naiona hii vita ikiingia phase ya pili ambayo ndio hatari sana na Iran kakataa meza ya mazungumzo.Kwani mwingi kuliko uhasia humu, kila mtu unajiandikia tu kisa ni pro Iran au Israel
😄😄 Acha basiiiHivi kumbe missiles bado zinatua Israel!?
Watu wana siri sana hapa duniani.
Wewe ndiye utumie Akili , kama hawana shida na raia Ilikuwaje wakalipua shule na kuua decent pupils!?Mkuu tumia basi akili kidogo Israel na Marekan hawana shida na raia wa Iran shida yao ni viongozi. Sasa waambie hao viongozi wakusanyike uone balaa la B-2.
😄 Kwa kweliUjinga mtupu humu,mmoja anajiona Bora kwa dini aliyoletewa na mwarabu na mwingine anajiona bora kwa dini aliyoletewa na Mzungu Na wote eti ni wasomi.Bora msingeenda shule tu.Pumbavu zenu wote
😄😄😄 Usishangae sana form four wamemaliza shuleUna umri gani?
Jamaaa yangu unajitaidi sn kutukumbusha kuhusu Isidingo lkn vijana wasasa sijui km wanakuelewa!! Mchezo washasoma Israel yupo mdomoni mwa IRGC✍️