Wahuni wamegoma.Hakuna vita kuisha 😄😄
Yaani umuue supreme leader then utake ceasefire like seriously!??
Elimu kitu muhimu sana kaka.Jamaa anataka kutuambia Aziz abood ni mchuuzi !!!😁😁😄
Hana Akili ,Elimu kitu muhimu sana kaka.
Ila mtu anabishana tu ili kuridhisha nafsi yake.
Yani umiliki daladala 10+ za kwenda Mbezi to Temeke mtaji wa 350+ millions tukuite we mchuuzi!?
Wengi hasa waajiriwa wanapenda kuita wafanyabiashara fulani wachuuzi wakifikiri wanawadogosha. Hao wanaowaita wachuuzi wapo Kariakoo na mitaji ya mabilioni.Elimu kitu muhimu sana kaka.
Ila mtu anabishana tu ili kuridhisha nafsi yake.
Yani umiliki daladala 10+ za kwenda Mbezi to Temeke mtaji wa 350+ millions tukuite we mchuuzi!?
Hapana mkuuKaka hapo kuna aina za biashara ama business scales.
Mfanyabiashara ambaye mzalishaji mathalan Bakhresa huyo ni large scale businessman na huyu twaweza muweka kundi la big enterpreneurer ama mjasiliamali mkubwa.
Mfanyabiashara ambaye anatoa huduma kwa kubadilishana na fedha huyo ni medium scale businessman.
Mfanyabiashara anayeuza bidhaa kwa rejareja kumfikia mtumiaji wa mwisho huyo ni small scale businessman mathalan mchuuzi.
Tufanye umeshinda kaka.
Nadhani zitakuwa hazifiki.Mkuu hata zile missile si zinafika hapo Hormuz?
It's obvious ndio maana bado missiles zinatua Israel na UAE.
Wewe! Anawaambia wapite wapi? Bado wanafikiria cha kufanya ili wapite maana hata akipeleka naval ships hizo nazo zitapigwa missiles kama hizo za mafuta.Nadhani zitakuwa hazifiki.
Maana Trump amewaambia watu wapitishe meli, waache kuogopa!
Bahati nzuri unaongea na watu ambao wanafuatilia kama wewe.Hakunaga mtu anaekubali kuwa anapigwa au ameshindwa vita sisi watazamaji ndio huwa tunajua nani kashinda au nani kazidiwa kutokana na madhara tunayoyaona. Na kwenye hii viya kiukweli Iran kapigika sana na ndio maana hadi leo wanaogopa kukusanyika kuzika kiongozi wao, lakini ukifuatilia propaganda wanakuambia waajemi hawaogopi kufa yaani hii dunia bwana!
Hivi kumbe missiles bado zinatua Israel!?It's obvious ndio maana bado missiles zinatua Israel na UAE.
Sio kosa lao mkuu wako brainwashed na wachambuzi wa online. Watu wengi ni wavivu kutafuta habari wanataka watafuniwe. Yaani kuna mchumbuzi mmoja huko anakichaneli chake ukisimsikia anavyoichambua US na kuipaisha Iran na China kabla ya hii vita unaweza fikiri US ni Sudan kusini.Ukiwasikiliza watoto wa 2000 wanaoshabikia Iran utahisi Iran ndie mbabe.
Mkuu tumia basi akili kidogo Israel na Marekan hawana shida na raia wa Iran shida yao ni viongozi. Sasa waambie hao viongozi wakusanyike uone balaa la B-2.Bahati nzuri unaongea na watu ambao wanafuatilia kama wewe.
Iran Ijumaa walikusanyika kwenye viwanja mbali mbali NJE kuswali ijumaa.
Maombolezo ya Khamenei yalifanyika NJE raia wakiomboleza maelfu.
Mojtaba Khamenei alipoteuliwa raia wengi NJE walibeba picha yake na ya babaake wakishangilia.
Israel raia wamejificha katika mahandaki.
Kwani aliye lipuliwa rada zake nne ni nani? (Unaweza kwenda CNN kama hujui) Radar ni moja ya tools kubwa unapofanya mashambulizi ya anga.Ngumu kwa nani
Carpet bombing zimefanyika maeneo mengi ya raia bro.Mkuu tumia basi akili kidogo Israel na Marekan hawana shida na raia wa Iran shida yao ni viongozi. Sasa waambie hao viongozi wakusanyike uone balaa la B-2.