City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Kamanda Asadollah Badfar ambae ni mkuu wa vikosi vya basij ameuwawa.
Kamanda Asadollah Badfar ambae ni mkuu wa vikosi vya basij ameuwawa.
🤣🤣🤣 Makobazi yanapelekewa umeme hadi raha
Hii siamini mpaka nisikie official maana wiki iliyopita watu walizusha kuhusu Netanyahu amefariki na ikatrend mpaka akatokea hadharaniIsrael imeshindwa vita live HD
Ni kama mbwa koko anambwekea kila mpita njia.🇮🇷🇫🇷 The IRGC is warning France:
“If France is interested in us, we will be interested in them as well.”
Lilikuwa ni suala la muda tu kijana 😄😄😄😄Kipigo
Hakuna vita kuisha 😄😄Al Jazeera reports;
-Iran rules out ceasefire talks as Trumps claims war is nearly over.
Wahuni hawataki vita kuisha huko.
Mmefika pabaya 😄😄😄Mikoa inayoongoza kwa umasikini mingi ni ya wakristo hususan nyanda za juu kusini.
Hilo linatosha kukwambia kuwa wakristo ndio mnaoongoza kwa umasikini.
Ligi yenu Tanzania ni nani ameiinua kama sio Bakhresa!?
Viwanda,makampuni na biashara za kati za usafirishaji ni kina nani wanaomiliki kama sio watu wa pwani hususan wapemba!??
-Kama umekaa tu Temeke shule nyingi zimechimbiwa visima na Alhikma foundation ambao ni waislam.
-Kama umekaa Morogoro visima vingi vimechimbwa na Islamic Foundation TIF.
Lete mchango wa wakristo katika hili taifa ambao unaonekana ni tangible!??
Mkuu hata zile missile si zinafika hapo Hormuz?Navy ya Iran imefutwa lakini bado watu wanaogopa kupitisha meli.
Imekaa vizuri, kwani we unaonaje?Lebanese army commander refused order from Lebanese Prime Minister of acting against Hizbollah,instead Lebanese army commander allowed hizbollah to use the army bases to launch attacks against Israel.
Hii imekaaje hii!?
Ngumu kwa naniNaona hata mashambulizi ya anga yamepungua,baada ya radar zao nne kulipuliwa, vita ishakuwa ngumu.
😄😄😄Mtatoana damuHata maana ya biashara unajua!m
Hata kumiliki biashara umewahi kweli na ukakata leseni!?
Anayemiliki daladala coaster 10+ ni mchuuzi!?
Nenda kakate leseni pale TRA wakuelekeze kumiliki chombo cha usafirishaji inakaa category ipi ya biashara.
Huwenda naongea na mtu hata maana biashara hajui.
😄😄😄Mkuu anza kumuelewesha kwanza category za biashara laa sivyo hao wote atawaita wachuuzi.
Jamaa anataka kutuambia Aziz abood ni mchuuzi !!!😁😁😄Ndugu yangu rudi tu darasani.
-Mchuuzi ni mtu anayefanya biashara ndogo ndogo ya kuuza bidhaa kwa mfumo wa rejareja eidha dukani ama kwa kupanga barabarani.
-Kumiliki biashara ya usafirishaji inaingia katika biashara ya kati ama biashara ya juu (medium or large scale business) ya kubadilishana huduma kwa fedha.
TRA kuna wasomi kuliko wewe bro,ukienda kukata leseni ya biashara kuna leseni ya uchuuzi ama biashara za chini na leseni za biashara za kati na za juu ambazo kundi lake limo na biashara ya usafirishaji wa watu na bidhaa.
Mie leseni ya biashara na makadirio ya kodi ya usafirishaji wa bidhaa kwa toyo ninao. Na hawajaiweka katika kundi la uchuuzi iweje mmiliki mabasi umuite mchuuzi!?
Sasa simpite tu now imekuwaje mnaogopa missile tena wakati nyinyi ni super power 😄Mkuu hata zile missile si zinafika hapo Hormuz?