Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Mikoa inayoongoza kwa umasikini mingi ni ya wakristo hususan nyanda za juu kusini.
Hilo linatosha kukwambia kuwa wakristo ndio mnaoongoza kwa umasikini.

Ligi yenu Tanzania ni nani ameiinua kama sio Bakhresa!?
Viwanda,makampuni na biashara za kati za usafirishaji ni kina nani wanaomiliki kama sio watu wa pwani hususan wapemba!??
-Kama umekaa tu Temeke shule nyingi zimechimbiwa visima na Alhikma foundation ambao ni waislam.
-Kama umekaa Morogoro visima vingi vimechimbwa na Islamic Foundation TIF.

Lete mchango wa wakristo katika hili taifa ambao unaonekana ni tangible!??
Exactly
 
Shule za roma na hospital zinajieleza, wasomi wengi sio waislamu, hata ukija kwa maraisi waliotufelisha wengi ni makobaz, hata wewe nina imani kabisa kwa kibunda kwangu hufui dafu
Shule za Roma zilianzishwa na taasisi ya roma kwa msaada wa ufadhili wa pesa za Serikali ya Tanzania.
Hata hospitali ikiwemo KCMC ni hivyo hivyo.
Serikali hutoa sio chini ya bilioni 2 kila mwezi kama RUZUKU kuiendesha hospitali ya KCMC.
Au itakua naongea na mtoto wa buku 2!?
Hakuna mchango wowote taasisi za kikristo imetoa kwa raia.
Aliyeanza kutufelisha ni Mkapa kwa sera yake ya privatization.
Pasi na kumsahau Nyerere misingi yake mibovu ya chama tawala aliyoijenga.
 
🇮🇷 ‘Talking with Americans would not be on our agenda anymore’ — FM Araghchi

Iranian Foreign Minister Abbas Araghchi educated PBS viewers why Tehran no longer sees negotiations with Washington as viable after the US launched sneak attacks in the middle of talks two times.

💬 “I don't think the question of talking with Americans or negotiation with Americans once again would be on the table,” Araghchi told PBS News.
 
IRAN Wanataka kuwauwa Viongozi wa Israel kuna kazi kubwa inafanyika ya kijasusi ndani ya Israel

ndiomana Waisrael wanatoa Cctv Cameras mitaan

hali tete sana nilisema mnufaika wa kwanza wa Vita yasasa ni Russia

vikwazo vitaondoshwa vyote ndio mwenye uwezo wa kuongea na IRAN kwasasa,

Russia pia kisiasa na kimkakati hawataki Israel idondoke kwasasa!!!

sivo Israel inaenda kuanguka ndani ya 2week tu.

Nimekaaa pale na mwajuma wangu.
Mwajuma? 🤔
 
Wamiliki daladala wengi Dar waislam weusi wengine watumbatu huko.
Kariakoo biashara wameshikilia wapemba au wale ni watu weupe sio weusi!?
Okay,

Kwa majibu haya, yatosha kuelewa nazungumza na mtu type ipi

Wachuuzi nao unawaita wafanya biashara?

Nitajie mtu mmoja mweusi hapa bongo ambaye ni mfanya biashara, kidogo tumewahi kuwa na Marehemu Mengi peke yake
 
Hata maana ya biashara unajua!m
Hata kumiliki biashara umewahi kweli na ukakata leseni!?
Anayemiliki daladala coaster 10+ ni mchuuzi!?
Nenda kakate leseni pale TRA wakuelekeze kumiliki chombo cha usafirishaji inakaa category ipi ya biashara.
Huwenda naongea na mtu hata maana biashara hajui.
 
Mkuu, wote hao ni wachuuzi siyo wafanyabiashara
 
Nitajie tajiri mtanzania mweusi wa Kislamu,

Linapokuja suala la utajiri, tofautisha ngozi na dini, watu weusi ni weusi tu

Mnaroho mbaya na ndiyo maana ni masikini wa kutupwa, ukikuta mtu mweusi ni tajiri, chunguza alianzaje?

Lazima ukute ndani yake kuna ufisadi na wizi wa mali za serikali
Ali mufuruki, Engineer wa Benz na alikuja Tanzania akawekeza na kukuza Makampuni makubwa kama Voda.

kishimba waanzilishi wa Mwanzo wa Ma Mall na madupermarket makubwa, Real estate zake ndio wahindi wengi wanatumia sasa hivi majumba ya Cinema etc.

Bakhresa mwenyewe sio Mwarabu/Mhindi kama wengi wanavyofkiri, ni mngazija kama kumbukumbu zipo Sawa ambao ndio OG watu wa pwani kabla ya makabila mengi kuja.
 
Mkuu, wote hao ni wachuuzi siyo wafanyabiashara
Ndugu yangu rudi tu darasani.
-Mchuuzi ni mtu anayefanya biashara ndogo ndogo ya kuuza bidhaa kwa mfumo wa rejareja eidha dukani ama kwa kupanga barabarani.

-Kumiliki biashara ya usafirishaji inaingia katika biashara ya kati ama biashara ya juu (medium or large scale business) ya kubadilishana huduma kwa fedha.
TRA kuna wasomi kuliko wewe bro,ukienda kukata leseni ya biashara kuna leseni ya uchuuzi ama biashara za chini na leseni za biashara za kati na za juu ambazo kundi lake limo na biashara ya usafirishaji wa watu na bidhaa.
Mie leseni ya biashara na makadirio ya kodi ya usafirishaji wa bidhaa kwa toyo ninao. Na hawajaiweka katika kundi la uchuuzi iweje mmiliki mabasi umuite mchuuzi!?
 
Ali mufuruki, Engineer wa Benz na alikuja Tanzania akawekeza na kukuza Makampuni makubwa kama Voda.

kishimba waanzilishi wa Mwanzo wa Ma Mall na madupermarket makubwa, Real estate zake ndio wahindi wengi wanatumia sasa hivi majumba ya Cinema etc.

Bakhresa mwenyewe sio Mwarabu/Mhindi kama wengi wanavyofkiri, ni mngazija kama kumbukumbu zipo Sawa ambao ndio OG watu wa pwani kabla ya makabila mengi kuja.
Mkuu anza kumuelewesha kwanza category za biashara laa sivyo hao wote atawaita wachuuzi.
 
Ndugu yangu rudi tu darasani.
-Mchuuzi ni mtu anayefanya biashara ndogo ndogo ya kuuza bidhaa kwa mfumo wa rejareja eidha dukani ama kwa kupanga barabarani.

-Kumiliki biashara ya usafirishaji inaingia katika biashara ya kati ama biashara ya juu (medium or large scale business) ya kubadilishana huduma kwa fedha.
TRA kuna wasomi kuliko wewe bro,ukienda kukata leseni ya biashara kuna leseni ya uchuuzi ama biashara za chini na leseni za biashara za kati na za juu ambazo kundi lake limo na biashara ya usafirishaji wa watu na bidhaa.
Mie leseni ya biashara na makadirio ya kodi ya usafirishaji wa bidhaa kwa toyo ninao. Na hawajaiweka katika kundi la uchuuzi iweje mmiliki mabasi umuite mchuuzi!?
Mkuu,

Mfanya biashara ni mzalishaji

Kama wewe hujafikia kuwa mzalishaji, wewe bado ni mchuuzi tu
 
Mkuu,

Mfanya biashara ni mzalishaji

Kama wewe hujafikia kuwa mzalishaji, wewe bado ni mchuuzi tu
Kaka hapo kuna aina za biashara ama business scales.
Mfanyabiashara ambaye mzalishaji mathalan Bakhresa huyo ni large scale businessman na huyu twaweza muweka kundi la big enterpreneurer ama mjasiliamali mkubwa.
Mfanyabiashara ambaye anatoa huduma kwa kubadilishana na fedha huyo ni medium scale businessman.
Mfanyabiashara anayeuza bidhaa kwa rejareja kumfikia mtumiaji wa mwisho huyo ni small scale businessman mathalan mchuuzi.

Tufanye umeshinda kaka.
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la magharibi mwa Tehran
Screenshot_20260310-165346_1.jpg
 
Back
Top Bottom