Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Hiyo kauli ya mwisho haipaswi kuwa sidhani, Ukweli ni kwamba Iran sio kitu Cha mchezo mkong'oto walio upokea USA na Israel sio wa sayari hii Kila mtu kajionea ambaye anaye fuatilia hii vita Kwa kina Hali inatisha , netanyahu anapaswa kuuwawa ana wapa shida sana raia wa Nchi yake
Wakufa yupo ila wa kumuuwa bado hayupo

Kujifariji pia ni sehemu ya kuifanya moyo uchangamke!

Hii vita USA akisema amalize leo, tukumbuke Ayatollah na timu yake wote hawako, Je, bado hajatimiza lengo lake?
 
Mashabiki mbumbumbu mpo wengi sana,hivi hamuwezi kutumia hata theluthi ya akili yenu kuweza japo kuchanganua source ya hii vita?
 
Hichi kiburi iran inakitoa wapi
Screenshot_20260310-083323.jpg
 
IRAN Wanataka kuwauwa Viongozi wa Israel kuna kazi kubwa inafanyika ya kijasusi ndani ya Israel

ndiomana Waisrael wanatoa Cctv Cameras mitaan

hali tete sana nilisema mnufaika wa kwanza wa Vita yasasa ni Russia

vikwazo vitaondoshwa vyote ndio mwenye uwezo wa kuongea na IRAN kwasasa,

Russia pia kisiasa na kimkakati hawataki Israel idondoke kwasasa!!!

sivo Israel inaenda kuanguka ndani ya 2week tu.

Nimekaaa pale na mwajuma wangu.
 
Labda siyo mtoa roho

Unapotaja Israil uitaje kwa adabu mkuu

Hawa watu ni wabaya sana linapokuja suala la vita, hisitoria inawabeba
 
Putin sasa hivi anachekea tumboni, naona Trump jana kamvutia waya. Iran wametoa msimamo wao ,wao ndio watakao amua mda wa kumaliza hii vita, maanake hawataki meza ya mazungumzo kwa sasa. Jana niliangalia Tittok acc ya TRT ,juzi Iran alirusha makombora mengi kwenye ardhi ya Myahudi, inaripotiwa bandari, viwanja vya ndege na vituo vya kuzalishia umeme ,viliripuliwa. Japo kama kawaida,raia hawaruhusiwi kurekodi tukio lolote, ila TRT walionyesha mabomu yalivyokuwa yakidondoka.
 
Wakufa yupo ila wa kumuuwa bado hayupo

Kujifariji pia ni sehemu ya kuifanya moyo uchangamke!

Hii vita USA akisema amalize leo, tukumbuke Ayatollah na timu yake wote hawako, Je, bado hajatimiza lengo lake?
Unaleta mahaba kwenye fact !? Lengo la USA na Israel nikufanya regime of change na sio kumuua Ayatollah tu , wao walitaraji baada ya kumuua Ayatollah Nchi na viongozi watafikwa na devide then wao USA na Israel waje ku- rule Nchi ingefikwa na devide ingekuwa ni rahisi Kwa Raia kuandamana na kufanya mapinduzi lakini imekuwa tofauti na walicho tarqji ndio kwanza wamepewa mkong'oto Israel imegeuka kuwa Gaza Hali Ina tisha USA na Israel wamefikwa na aibu kubwa sana
 
President Donald Trump has threatened to strike Iran “twenty times harder,” making it virtually impossible for the country to “ever be built back,” if it continues to block the strategic Strait of Hormuz in retaliation for the US-Israeli strikes.

At the same time, Trump has claimed that he expects the US-Israeli war with Iran to be over “very soon” – but not this week – after allegedly hitting over 5,000 targets and significantly degrading Tehran’s naval and missile capabilities.
====
Super power anazuiwa kupitisha mzigo strait of Hormuz! Na anaanza kulalamika.
 
Trump anadai wamekimaliza kikosi chote cha Navy,ila bado wanaogopa kupitisha meli, hapo ndipo ujue propaganda nyingi sana. Yaani uwamalize Navy wote ,ila still unaogopa kupitisha meli.
 
Wewe ni liongo liongo.
Kuna meri tatu zimeshapita hapo hormuz zikiwa escorted na jeshi la Marekani.
 
Back
Top Bottom