Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Trump spoke to Putin - then said sanctions on some countries could be lifted

Donald Trump said the US was considering easing some oil sanctions to combat rising prices.

10:57

Hili sakata Putin linamnufaisha sana.
 
Kwa hiki kipigo anachapata Iran hata mbwa Koko hapigwi hivi🔥🔥

Mwanzo siku elewa kwanini USA wamewekeza sana kwenye jeshi la anga, sasa nimeelewa hakuna AD ya mchina,mrusi wala muiran vyuma vinashuka kama moto
 

Attachments

  • MILIPUKO YA AJABU IRAN___Usiku wa tarehe 10 Machi 2026 Mashambulizi na milipuko ya mabomu amba...mp4
    491.6 KB
Kwasasa habari za AD huwezi kuzisikia tena kwa pro Iran 😀😀🙌

juu zikipanda B-2 spirit,B-1B, na B-52 stratofortress kazi hua kama hivi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 

Attachments

  • MFUPA ENEO LA TUKIO____B-1B Lancer_ ikipiga makombora eneo la mahandaki nchini Iran.__Ndege ku...mp4
    3 MB
Naona Trump mdogo mdogo anajiandalia upenyo wa kuchomoka kwenye vita 🤣.

Halafu, Israel inaficha nini? Kwa nini hawaruhusu watu kupiga picha yanayoendelea ndani ya Tel Aviv na kwingineko?

Inasemekana huko Israel ukikamatwa unapiga picha madhara ya makombora ya Iran na kuyarusha kwenye mitandao, adhabu yake ni jela!

Hivi, kam kweli hiyo iron dome ingekuwa ni mfumo kabambe wa kutungua makombora, si Israel ingetaka kuonyesha umahiri wa huo mfumo?

Kuna jambo…..

Trump na Netanyahu watajitangazia ushindi halafu watajichomoa kwenye vita baada ya kuona labda mambo yamekuwa magumu kuliko walivyotarajia.

Ila mimi nahisi madhara ndani ya Israel ni makubwa na Israel inaona haya yakijulikana.

Halafu, sidhani kama Israel inaweza kupambana yenyewe tu bila msaada wa Marekani.
Trump speech za karibuni kuhusu vita anazungumza kwa confidence ya chini tofauti na alivyoanza , huku wakina Tucker Carlson wanaendeleza spana zao mitandaoni kuhusu vita hii wakimpinga Rais wao
 
Unaleta mahaba kwenye fact !? Lengo la USA na Israel nikufanya regime of change na sio kumuua Ayatollah tu , wao walitaraji baada ya kumuua Ayatollah Nchi na viongozi watafikwa na devide then wao USA na Israel waje ku- rule Nchi ingefikwa na devide ingekuwa ni rahisi Kwa Raia kuandamana na kufanya mapinduzi lakini imekuwa tofauti na walicho tarqji ndio kwanza wamepewa mkong'oto Israel imegeuka kuwa Gaza Hali Ina tisha USA na Israel wamefikwa na aibu kubwa sana
Kila siku USA anabadilisha malengo ya Vita jana ukimsikiliza Marco Rubio akiongea kwa unyonge na panic kuhusu malengo ya Vita hiyo U-turn aliyopoga utacheka na kumuona huruma 😂
 
IRAN Wanataka kuwauwa Viongozi wa Israel kuna kazi kubwa inafanyika ya kijasusi ndani ya Israel

ndiomana Waisrael wanatoa Cctv Cameras mitaan

hali tete sana nilisema mnufaika wa kwanza wa Vita yasasa ni Russia

vikwazo vitaondoshwa vyote ndio mwenye uwezo wa kuongea na IRAN kwasasa,

Russia pia kisiasa na kimkakati hawataki Israel idondoke kwasasa!!!

sivo Israel inaenda kuanguka ndani ya 2week tu.

Nimekaaa pale na mwajuma wangu.
Kwanini hawataki Hilo tokee ( Russia)
 
Kila siku USA anabadilisha malengo ya Vita jana ukimsikiliza Marco Rubio akiongea kwa unyonge na panic kuhusu malengo ya Vita hiyo U-turn aliyopoga utacheka na kumuona huruma 😂
Kasemaje!? 🤣🤣
 
Mkuu umeelewa nilichosema hapo?
Unazuia watu wasifanye hivyo, watakusikiliza? Mbona bado wanashare kinachoendeea? Hilo katazao litafanya kazi kea media tu lakini sio kwa watu(iindividuals)

Iran imezima kabisa internet, mbona bado watu wanashare kinachiet?

Serikali haziwezi tena kucontrol social media

Jf imepigwa marufuku Tanzania, lakini Mimi na wewe mbona bado tunaitumia?
We unaona rate za casualties sharing kwenye media zinaongezeka au kupungua?
 
Weka source.

Meri ❌ = Meli ✅

Kama uwezo wa kuandika mambo madogo ya kiswahili shule huna kichwani je , utaweza kudadavua mambo makubwa ya geopolitics and war ?
Awon oloriburuku Gbo Gbo.

Mambo madogo kwa Mujibu wa nini?.
mambo madogo kwa kipimo gani?.
Umejuaje kuwa mimi kuandika Meri(badala ya meli) ni jambo dogo na sio kinyume chake?.

umetumia kipimo gani, ili nijue kuwa kipimo hicho sio batili?.
isije kuwa somo la kiswahili umelidogosha tu maksudi ili unizodoe but in actual sense ni jambo kubwa.
Nb; kujua Usahihi wa maneno ya kiswahili hakuna uhusiamo na Geopolitics ingelikuwa ni hivyo akina;

*Abdulrazak Gurnah.

*Shafi Adam Shafi.

*Agoro Anduru.

*Fadhy Mtanga ama akina Edwin Semzaba wangelikuwa Yale University wakifundisha hayo madude yenu ya Geopolitics maana wanakijua kiswahili vilivyo.
 
Back
Top Bottom