Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Wewe ni liongo liongo.
Kuna meri tatu zimeshapita hapo hormuz zikiwa escorted na jeshi la Marekani.
Hamna meli inayopita Hormuz ni China peke yake meli zimeruhusiwa kupita. France nae anafikiria kutoa meli yake ya kivita kwa ajili ya kusindikiza meli, Iran wamemwambua ajaribu then atakipata akitafutacho. Kukuongezea Hotel ambayo waliyo jificha wandiplomasia wa US Bahrain leo imepigwa.
 
Usitufanye sisi kama MATAKO YAKO.
Nipo na aljazeera app hadi sasa HAKUNA MELI ILIYOPITA HAPO HORMUZ. KAMA ZIPO TAJA ZA NCHI GANI NA ZINAITWAJE.
Who is aljazeera?.
Kwamba nikisema DC wa kisarawe ana kibyongo ni lazima maneno yangu yathibitishwa na Aljazeera nje na hapo si kweli?.
 
Who is aljazeera?.
Kwamba nikisema DC wa kisarawe ana kibyongo ni lazima maneno yangu yathibitishwa na Aljazeera nje na hapo si kweli?.
Aljazeera is the most reputable news channel in the world.
Is the number one news channel world wide kiasi cha kwamba mataifa hutumia hiko chombo kuhakiki taarifa ya vyombo vingine kama BBC.
Wewe ujue wao wasijue ambao wapo Persian gulf karibu na Hormuz!??
 
IRAN Wanataka kuwauwa Viongozi wa Israel kuna kazi kubwa inafanyika ya kijasusi ndani ya Israel

ndiomana Waisrael wanatoa Cctv Cameras mitaan

hali tete sana nilisema mnufaika wa kwanza wa Vita yasasa ni Russia

vikwazo vitaondoshwa vyote ndio mwenye uwezo wa kuongea na IRAN kwasasa,

Russia pia kisiasa na kimkakati hawataki Israel idondoke kwasasa!!!

sivo Israel inaenda kuanguka ndani ya 2week tu.

Nimekaaa pale na mwajuma wangu.
Wiki mbili au sio?

Matamanio huleta upofu.
 
Usitufanye sisi kama MATAKO YAKO.
Nipo na aljazeera app hadi sasa HAKUNA MELI ILIYOPITA HAPO HORMUZ. KAMA ZIPO TAJA ZA NCHI GANI NA ZINAITWAJE.
 

Attachments

  • Screenshot_20260310_111156_Google.jpg
    Screenshot_20260310_111156_Google.jpg
    267.4 KB · Views: 13
Taarifa uliyoleta haina tarehe husika uliyosema meli zilipita.
Tena inasema 90% kuna kupungua upitaji wa meli za mizigo na mafuta. Na ZINAZOBAHATIKA KUPITA ni shadow fleet(zinazoweka utambulisho bandia).
Bro ni kizungu hujui ama ni nini??

Tuletee ushahidi wa meli kupita jana kama ulivyodai zikisindikizwa na US navy fleet.

let the caged bird sings.
 
Aljazeera is the most reputable news channel in the world.
Is the number one news channel world wide kiasi cha kwamba mataifa hutumia hiko chombo kuhakiki taarifa ya vyombo vingine kama BBC.
Wewe ujue wao wasijue ambao wapo Persian gulf karibu na Hormuz!??
Aljazeera ni reputable kwa Mujibu wa nini ama nani?.
unajua waandishi aljazeera waliwai ukumiwa kifungo Egypt kwa kosa la kuandika habari za uwongo..sasa wanakuwaje reputable ilhali Kuna tuhuma za waandishi wake kuandika habari za uwongo?
 
Taarifa uliyoleta haina tarehe husika uliyosema meli zilipita.
Tena inasema 90% kuna kupungua upitaji wa meli za mizigo na mafuta. Na ZINAZOBAHATIKA KUPITA ni shadow fleet(zinazoweka utambulisho bandia).
Bro ni kizungu hujui ama ni nini??

Tuletee ushahidi wa meli kupita jana kama ulivyodai zikisindikizwa na US navy fleet.

let the caged birds sing.
Unajua kusoma kwa ufahamu?.
unahitaji tarehe ili ikusahidie nini wakati habari inaongelea makadirio?.
insu ni kwamba;meri zinazokatiza straight hormuz nimepungua kwa asilimia kubwa sana lakini bado zingine zinapita..siku haipiti bila Meri hata moja bila kupita.
 
Aljazeera ni reputable kwa Mujibu wa nini ama nani?.
unajua waandishi aljazeera waliwai ukumiwa kifungo Egypt kwa kosa la kuandika habari za uwongo..sasa wanakuwaje reputable ilhali Kuna tuhuma za waandishi wake kuandika habari za uwongo?
Hawakuhukumiwa waliwekwa kizuizini pasi na kesi yeyote na 2024 wakaja kutolewa,walishutumiwa kwa ESPIONAGE. Na hilo ni geopolitical motivated kwasababu Egypt na Qatar hawako vizuri kidiplomasia kama hilo hulijui.

Nenda katizame tuzo za mwaka jana alizopata Aljazeera zilizotolewa New York. Yeye ndiye alishika usukani kuwa na tuzo nyingi takriba 6 na za uhakika kuliko chombo chochote.
 
Trump anadai wamekimaliza kikosi chote cha Navy,ila bado wanaogopa kupitisha meli, hapo ndipo ujue propaganda nyingi sana. Yaani uwamalize Navy wote ,ila still unaogopa kupitisha meli.
😄😄😄😄 Alisema watapitisha I wonder till today wanasubiri Nini kupitisha

Iran kweli baba wa meadle east yaani Hadi USA wanaogopa kupitisha hizo meli
 
Unajua kusoma kwa ufahamu?.
unahitaji tarehe ili ikusahidie nini wakati habari inaongelea makadirio?.
insu ni kwamba;meri zinazokatiza straight hormuz nimepungua kwa asilimia kubwa sana lakini bado zingine zinapita..siku haipiti bila Meri hata moja bila kupita.
Madai yako yalisema meli jana zilipita zikisindikizwa na US navy.
Au unakana maneno yako!??
Kama zina uhakika wa kupita kwanini ziwe ni shadow fleet??
Na mbona hujaleta ushahidi wa US navy kuzisindikiza!?
Asilimia kubwa ya meli zinazoruhusiwa kupita ni za India,Russia na China.
 
vikwazo vitaondoshwa vyote ndio mwenye uwezo wa kuongea na IRAN kwasasa,
Trump spoke to Putin - then said sanctions on some countries could be lifted

Donald Trump said the US was considering easing some oil sanctions to combat rising prices.

10:57

 
Madai yako yalisema meli jana zilipita zikisindikizwa na US navy.
Au unakana maneno yako!??
Kama zina uhakika wa kupita kwanini ziwe ni shadow fleet??
Na mbona hujaleta ushahidi wa US navy kuzisindikiza!?
Asilimia kubwa ya meli zinazoruhusiwa kupita ni za India,Russia na China.
Kuna mtu kasema" hakuna meri inayopita straight hormuz".
mimi nikasema"meri zinapita" hata juzi zimepita nikatoa ushahidi na ushahidi hujaukataa kando na kuzalisha mengine bandia.
aliyesema meri hazipiti hujamuomba ushahidi wala kumtaka akanushe madai yake na hujafanya hivyo si kwa bahati mbaya, bali maksudi kwaaababu waongo mnalindana.
 
Analeta ushahidi hauna tarehe na ameruka kauli yake ya kusema eti US navy ndio zimesindikiza hizo meli.
Tena meli zinazobahatika kupita ni shadow fleet(bendera bandia).
Huyu jamaa ana shida kwa kichwa.
Shabiki maandazi huyo 😄😄😀

Picture za kina Rambo na Arnold Schwarzenegger zimemtia wehu
 
Kuna mtu kasema" hakuna meri inayopita straight hormuz".
mimi nikasema"meri zinapita" hata juzi zimepita nikatoa ushahidi na ushahidi hujaukataa kando na kuzalisha mengine bandia.
aliyesema meri hazipiti hujamuomba ushahidi wala kumtaka akanushe madai yake na hujafanya hivyo si kwa bahati mbaya, bali maksudi kwaaababu waongo mnalindana.
Muongo mimi au wewe!??
Umeleta ushahidi wa meli zikisindikizwa na US navy fleet!??
Jibu HAPANA HUJALETA.
Ukaleta maelezo ambayo yamekuumbua mwenyewe maelezo ambayo hayana clarity na wala hayana tarehe.
Jamaa amesema vizuri pale juu "meli zinazoruhusiwa kupita za China na Russia".
Sisi tunataka utuoneshe meli zilizokatazwa zikipita.
Acha kukana taarifa yako mkuu.
 
Back
Top Bottom