Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Eti Jana wakatangaza kuwa leo watafungua uwanja vya ndege maana makombora ya Iran yamepungua asubuhi na mapema tu Iran akaupiga kwa makombora ili tuone jeuri wa kuufungua wataitoa wapi.
Hio ni military deception...
Iran wanakuwa wajanja sana.. si kweli kwamba missiles zimeisha, watu humu walisema sana 12 days war , Iran kaishiwa na nuclear zimeharibiwa.. sasa kapiga base za US zote middle east...

Hapo wanaweza kufanya mashambulizi makubwa sana na ya kushtukiza, huwezi fahamu wana mpango gani , ama wanajipanga na lipi, ama wanatafuta target ipi...

Kama hivyo wanafungua Airport, huduma na vitu vingine halafu dhahama inashuka...
 
Hio ni military deception...
Iran wanakuwa wajanja sana.. i kweli kwamba missiles zimeisha, watu humu walisema sana 12 days war , Iran kaishiwa na nuclear zimeharibiwa.. sasa kapiga base za US zote middle east...

Hapo wanaweza kufanya mashambulizi makubwa sana na ya kushtukiza, huwezi fahamu wana mpango gani , ama wanajipanga na lipi, ama wanatafuta target ipi...

Kama hivyo wanafungua Airport, huduma na vitu vingine halafu dhahama inashuka...
Iran wamesema kuwa wameipiga meli ya kubeba ndege kwa drone.
 
💥💥💥💥
Iran imeshambulia Dubai kwa drones
Screenshot_20260305-233709_1.jpg
 
A large fire broke out at an American site in Kuwait after it was targeted by drones (Media 1,2).

In northern Iraq, drones targeted the Duhuk site (Media 3). Explosions were also reported in Dubai, where preliminary reports indicate a tower was directly targeted (Media 4).
 

Attachments

  • VID_20260305_233843_169.mp4
    468.9 KB
  • VID_20260305_233838_133.mp4
    295.3 KB
  • VID_20260305_233836_743.mp4
    825.4 KB
[FONT=georgia]Israel ilitangaza ni marufuku ku post taarifa za uharibu zinazosababisha na makombora ya Iran, na waandishi wa nje wamezuia kufanya live coverage, na chochote kabla ya ku post idara za usalama zi review [/FONT]
Mkuu umeelewa nilichosema hapo?
Unazuia watu wasifanye hivyo, watakusikiliza? Mbona bado wanashare kinachoendeea? Hilo katazao litafanya kazi kea media tu lakini sio kwa watu(iindividuals)

Iran imezima kabisa internet, mbona bado watu wanashare kinachiet?

Serikali haziwezi tena kucontrol social media

Jf imepigwa marufuku Tanzania, lakini Mimi na wewe mbona bado tunaitumia?
 
Kwa siku US anakadiriwa kitumia Trilioni 2+ kwenye hii vita.
Masikini sisi tupigane vita vya uchawa tu hivi vya kisasa bajeti ya taifa ya miaka 20 inaweza kutumiwa kwa wiki tu
F-35 kuirusha kwa lisaa ina cost around $42,000...
Halafu ikiruka umbali mrefu, na sarakasi za hapa na pale, ina coat ama rangi (stealth paint) ambayo huwa inazuia isionekane na radar, sasa ikipata mikwaruzo, ku repair ni $50,000 – $100,000.

Hivyo Israel na US wanachoma billions of dollars kwenye hii vita, kibaya zaidi malengo hawatofanikisha.
 
Ndicho hiko nawaambia hapa..
Serikali ya Israel inajitahidi kwa nguvu zote kuionyesha dunia things are just OK!
Kwa kupiga picha kiongozi yupo hadharani, kwa kusambaza habari biashara zinaendelea, kufungua Airport..right now its dangerous out there...

Nashangaa jinsi mnavyodanganyika kwa cheap propaganda, kila muda Israel ving'ora vinalia, na hamfahamu mtaishi wapi... hapo ni kuzimu sasa.. middle east yote Israel na Iran ni sehemu hatari.. bora Iran ni kubwa... Israel ukisimama Golan height ukapiga mluzi nchi nzima wanakusikia.. 🤣 🤣
Unastahili tuzo 😀😀😀
 
Back
Top Bottom