100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Siku kadhaa, week, week 4, haya sasa wanasema week 8..
Huyu mzee jau sana.Kwahiyo awekwe kiongozi amtakaye yeye🤣🤣,,huyu mzee ana visa🚮
Mkuu serikali inaweza kuzuia mainstream media isitoe habari, lakini haiwezi kuzuia watu wasitoe habari.
Israel wana uwezo wa kuzuia media zisitoe habari lakini haina uwezo wa kuzuia watu wasitoe habari.
Hizi habari zote huwa zinatolewa na watu, ndio wanaochukua video huko maeneo yao, sidhani Kuna mtu anasubuiri channel 12 ya Israel ije irushe habari ya Israel kupigwa makombora
Hii picha chini ni shrapnel ya makombora ya Iran imeanguka kwenye nyumba ya mtu baada ya interception huko Israel, huyu mtu utamzuia vipi asitoe hii habari kwenye mitandao?
View attachment 3552971
[FONT=georgia]Israel ilitangaza ni marufuku ku post taarifa za uharibu zinazosababisha na makombora ya Iran, na waandishi wa nje wamezuia kufanya live coverage, na chochote kabla ya ku post idara za usalama zi review [/FONT]Hata wakipiga nae baraza la mapinduzi la Iran ndio linateua kiongozi.Sasa wasipomshikisha si atapita nae tena?
Hata wakipita nae atachaguliwa mwingine, baraza la mapinduzi la Iran ndio linateua kiongozi.Sasa wasipomshikisha si atapita nae tena?
Alafu eti anasema mtoto wa khaminei ambaye anapigiwa chapuo kuiongoza Iran hana uwezo wa kuiongoza Iran kwa hiyo hafai.Hivi kwenye historia USA washawah kupata rais wa ajabu zaid ya trump ?
Hii vita ikifika Septemba Teheran patakuwa gaza maana Israel ni wanashushaga makombora kama njugu🦫Vita inatarajiwa kuisha september..
Trump mwehu alikuwa anasema 4 weeks...
Ikifika september mtaambiwa 4 years.. 🤣 🤣
View attachment 3553289
Hawezi thubutu kufanya hivyo maana anajua kuukaribia huo mlango ni kuziweka meli zake kwenye target za antship za Iran.There is a reason kwanini viongozi wengi wa Iran Wana mtaunt Trump aje Asindikize oil tanker tena, Lincolin na Chawa wake walitaka Ku attempt kupita hapo Hormuz, ikapigwa Coast ya Oman kama km 300 toka Iran, ikakimbilia maji marefu sasa hivi ipo km zaidi ya 1000 toka Iran, zile Meli wasindikizaji ndio zitakuwa zimeliwa kichwa mazima.
Trump ni kichaaTrump says Khamenei's son is ‘unacceptable’ to him as next Iran’s leader
💬 “They are wasting their time. Khamenei's son is a lightweight. I have to be involved in the appointment, like with Delcy in Venezuela”, Trump told Axios.
Jana Iran iliipiga HQ yao wakaisambaza alafu wakawaonya kuwa wasijaribu huo ujinga waone.Waziri wa mambo ya nje Israel anasema Kurds wanaweza kutumika kukabili uongozi wa Iran.
Kurds na wao wanasema , achaneni na sisi, sisi sio bunduki za kukodi.🤣🤣🤣
Waziri naona anawapamba kweli kweli eti waingie vitani wakafe kwa sababu ya Israel...
Halafu hapo tuelewe kwamba walishasema hao Kurds ni terror group.. sasa wanawabembeleza... Kurds na wao wamekataa.
View attachment 3553266
Raia wa Israel uzuri wao si wanafiki, maisha ya kuishi kama panya hawajazoea...Kuna tetesi ya maandamano Israel kupinga vita vinavyoendelea.


Eti Jana wakatangaza kuwa leo watafungua uwanja vya ndege maana makombora ya Iran yamepungua asubuhi na mapema tu Iran akaupiga kwa makombora ili tuone jeuri wa kuufungua wataitoa wapi.Israel anajitahidi kuiaminisha dunia wapo sawa..
Lakini kiuhalisia hizo ni kauli tu, hakuna anayejielewa atoke nje an relax.. labda kufungua supermarkets baadhi kwa mahitaji ya muhimu then shimoni kama kawaida...
Kurdi wanaelewa kuusoma mchezo, maana IRGC hivi sasa wapo kwenye mode nyingine.. mkikamatwa ni kitoweo.. uzuri na wao wanakataa..Jana Iran iliipiga HQ yao wakaisambaza alafu wakawaonya kuwa wasijaribu huo ujinga waone.
Kwanza wakrud wakifanya kitu kama hicho wenda ikamfaidisha maana Iran atapata washirika wa kumsaidia kuwatandika ikiwemo Uturuki.
Hizo silaha za kuifanya Iran kuwa kama gaza watakuwa wanaziokota?sio?Hii vita ikifika Septemba Teheran patakuwa gaza maana Israel ni wanashushaga makombora kama njugu🦫