Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kurds wanawaambia wao sio bunduki za kukodi..

Leave The Kurds Alone, We Are Not Guns For Hire.

HCqBd4-WkAA5R9N.jpg
 
Maisha yanabadilika aisee..
Leo hii US ni wa kwenda kuiomba msaada Ukraine? 🤣🤣
Nikikumbuka pale oval office Trump alivyokuwa na Vance walivyokuwa wanamkejeli Zelenskyy, leo hii wameomba msaada na jamaa hana roho mbaya, ameamua kuwasaidia middle east kuzuia shaheed za Iran..

Ndipo ujue US hakujipanga kwa long campaign..

Screenshot 2026-03-05 215138.png
 
Hadi US kuiomba Ukraine ambayo na yenyewe inahitaji msaada na ipo vitani, ina maana US amekosa washirika, na hakujiandaa na hii vita kwa muda mrefu kama Trump anavyojinadi..

We unaombaje msaada kwa ambae anahitaji msaada?

Trump jeuri yake kwishaaa!!
 
Watu walikuwa wanasema wenda Trump ni kichaa nikawa nabisha ila leo ndo nimeamini kabisa.
Eti anasema na yeye anatakiwa ashirikishwe kwenye kumchagua kiongozi mpya wa Iran haaaaaaa.
Huyu mzee hayuko sawa kichwani ndo maana Netanyau anamuendesha kama gali bovu.
 
Kwahiyo awekwe kiongozi amtakaye yeye🤣🤣,,huyu mzee ana visa🚮
 
Watu walikuwa wanasema wenda Trump ni kichaa nikawa nabisha ila leo ndo nimeamini kabisa.
Eti anasema na yeye anatakiwa ashirikishwe kwenye kumchagua kiongozi mpya wa Iran haaaaaaa.
Huyu mzee hayuko sawa kichwani ndo maana Netanyau anamuendesha kama gali bovu.
Hivi kwenye historia USA washawah kupata rais wa ajabu zaid ya trump ?
 
Back
Top Bottom