Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

-Iran amepiga THERMOBARIC BOMB TEL AVIV.
Wakuu hili thermobaric bomb ndio bomu aina gani??
Maana lilipotua limekusanya wingu sio mchezo.
Wamkatalie na Pedro Sanchez.
Safari hii Trump kakutana na majibu ya shombo mwenziye.
Eti haiwezekani mtu ashindwe kusimamia nchi yake huko!🤣🤣🤣

Oya nimeona Israel kapigwa thermobaric bomb huo moshi uliokusanywa sio poa.
Mtuelezee ni bomb aina gani hili.
Mkuu hilo bomb mi mwenyewe nasikia leo, noja ni google...
 
Mkuu acha kabisa kushabikia mauaji ya binadamu wasiokuwa na hatikabisa haijalishi ni wa America, wa Israel au wa Iran. Uhai wa binadamu una thamani isiyothaminishwa na kitu chochote.
Angalia mlivyo wanafiki! Akiuliwa mwarabu mnafurahia,akifa mzungu ndio binadamu? Acha wafe washenzi hao
 
Huyo anaropokaga tu. Ndio maana Pedro Sanchez kamtusi na kumwabia kiongozi aliyefeli kusimamia nchi yake.
Trump ni mwehu..
Amepoteza sana ushawishi, ndio maana unaona hata huyo rais wa Spain anamuona kama mjinga, na huyo wa Spain hajataka kuwa mnafiki, kamchana makavu, maana viongozi wengi hata wa EU wanaogopa.

Hata mimi mwenyewe Trump nimemuona kumbe ni zee flani lis3ng3 tu.. akili hakuna.. ukiona mtu anakujibu hivyo ujue amesha kudharau... mwanzoni nilimkubali lakini hivi sasa namuona ni lijinga tu..
 
Mafanikio ya mashambulizi ya Hizbollah kwa Israel;
-Kupigwa kwa Haifa port.
-Kupigwa kwa kambi za jeshi za Galilaya.
-Kulipuliwa kwa vifaru 6.
-Kulengwa wanajeshi waliokusanyika kujaribu kuvuka mpaka.

-Hamas imerusha maroketi kwenda Israel muda huu.
 
Mafanikio ya mashambulizi ya Hizbollah kwa Israel;
-Kupigwa kwa Haifa port.
-Kupigwa kwa kambi za jeshi za Galilaya.
-Kulipuliwa kwa vifaru 6.
-Kulengwa wanajeshi waliokusanyika kujaribu kuvuka mpaka.

-Hamas imerusha maroketi kwenda Israel muda huu.
Hezbollah kwenye ardhi always huwa inawapa shida sana Israel..

Kwa hali hii ina maana hadi sasa jeshi la Israel linagawanya nguvu, wapo katika wakati mgumu sana.

Nimeona serikali ya Lebanon ikizuia raia wa Iran kuingia, utatokea ugomvi mkubwa , lakini jeshi la Lebanon hawana uwezo kuwadhibiti Hezbollah.
 
Mkuu lile bomu linatakiwa likatazwe.
Halifai kutumika nenda kali google ulione.
Nimesoma sehemu wanasema Israel alishalitumia Gaza.. joto lake ni 3500 C, yaani likipigwa kama ni mwili wa mtu una evaporate, ni kama semi nuke sijui niseme ama mini nuke...

Ngoja nitafute hio habari..
 
Marekani bado wapo kwenye jangwa la Iraq huwenda wanajiandaa na ground operation dhidi ya Iran.
Ground operation watashindwa, itakuwa wanajaribu ku i pressure Iran iweze ku position vifaa na askari ili kuwalenga.

Maana piga ua, US haina uwezo ingia battle ground na IRGC...
 
Nimesoma sehemu wanasema Israel alishalitumia Gaza.. joto lake ni 3500 C, yaani likipigwa kama ni mwili wa mtu una evaporate, ni kama semi nuke sijui niseme ama mini nuke...

Ngoja nitafute hio habari..
Iran kalipiga jioni ya leo kwa Israel.
Basi hili mzee limezidi maana ilikusanya cloud hiyo sio poa.
Hii vita tutajionea mengi sana.
 
💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora kambi ya jeshi hermat iliyopo kermanshah
Screenshot_20260305-214229_1.jpg
 
Back
Top Bottom