Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 14,266
- 40,225
Wahuni wamezamisha meli
Mkuu hakuna haja ya kuongopa kwenye haya mambo ili kuhalalisha kule unakipenda. Ni wakuu gani hao wa vyombo vya usakama waliomtuhumu kitima?Kwaiyo mkuu wewe una info kulko vyombo vya usalama? Ukisikia wanamtuhumu mtu kufadhili makundi ya uhalifu ujue nikweli....usimtetee huyo Keytima! Subiria ukawe wakili wake kwa Court!
Israel hii vita inamshinda, anatumia mbinu yake chafu kupiga makazi ya watu na hospital ili kushinikiza Iran isimamishe vita.🚨 The Iranian government reports that the American and "israeli" enemy has targeted a significant number of civilian infrastructure facilities. According to the statement, the occupation forces have struck:
• 20 educational centers
• 11 hospitals
• 13 ambulance centers
• 14 medical and pharmaceutical facilities
Missiles nyingi zinakuwa intercepted kama hizi zote zingetua mashariki ya kati pasingetamanika, atungue kwanza hizo f35 zinazoshinda juu ya anga lake🇮🇷 Islamic Republic of Iran:
We have launched more than 2,000 drones of various types since the beginning of the war.
Ovda sio Uvda.
Ahsante mkuu kwa kunisahihishaOvda sio Uvda.