Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Israel na marekani wanashambulia kwa makombora eneo la kermanshah, milipuko mikubwa sana
Screenshot_20260305-205247_1.jpg
 
💥💥💥💥
Video footage: Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la mashariki mwa Tehran. Milipuko mikubwa
 

Attachments

  • 2026-03-05_21-01-34_0.mp4
    127.2 KB
💥💥💥💥
Video footage: Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora mashariki mwa Tehran. Milipuko mikubwa
 

Attachments

  • 2026-03-05_21-01-37_1.mp4
    200.5 KB
Mkuu hili alilosema Pedro Sanchez huo mwaka 2003 ndio ile vita ya Sadam, operation desert storm, niliwajibu humu, lakini ukiwa unawaambia watu wanakuita majina ya ajabu.

Niliwaambia nchi nyingi hivi sasa haziwezi jiingiza kwenye hio vita ya kitapeli.
Wamkatalie na Pedro Sanchez.
Safari hii Trump kakutana na majibu ya shombo mwenziye.
Eti haiwezekani mtu ashindwe kusimamia nchi yake huko!🤣🤣🤣

Oya nimeona Israel kapigwa thermobaric bomb huo moshi uliokusanywa sio poa.
Mtuelezee ni bomb aina gani hili.
 
Trump says Khamenei's son is ‘unacceptable’ to him as next Iran’s leader

💬 “They are wasting their time. Khamenei's son is a lightweight. I have to be involved in the appointment, like with Delcy in Venezuela”, Trump told Axios.
😃😃😃😃😃😃😃😃 ila hili jamaa lina dharau, kwamba kiongozi ajaye wa Iran ni lazima Trump ashirikishwe na amkubali.
 
Back
Top Bottom