Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Kitendo cha Iran kuendelea kuwarambisha asali NJUKA(Bahrain, UEA n.k) kinamaanisha Iran ana stock ya kutosha sana ya mizinga.
China akiipoteza Iran ndio basi tenaHawa wanapigana huku China anapanga economic growth targets.
Wanatumia Silaha gani💥💥💥💥
Video footage: israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la baathst Tehran lililolenga wanajeshi. (Fungua video kwa tahadhali kuna waliokufa)
KAtika wajukuu zangu wewe ni mbishi sijui nikuachie laana.😀We bibi unaongea tu ila huna unalojua.
Israel imekataza vyombo vyote vya habari kuripoti ndani ya ardhi yake.
Kuna ripota wa CNN wawili wamekamatwa kwa vita hii walipokua wanapiga picha.
Tukipost sisi MKONG'OTO tunaambiwa ni AI.💥💥💥💥
Video footage: israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la baathst Tehran lililolenga wanajeshi. (Fungua video kwa tahadhali kuna waliokufa)
Ngoja tusubiri mkuuTukipost sisi MKONG'OTO tunaambiwa ni AI.