Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kumbe tunaomboleza kifo cha Khamenei na hamsemi.😂😂😂

Vp bendera zitapepea nusu mlingoti?
20260305_180325.jpg


adriz
Mcmillan de Maghayo
figganigga
britanicca
 
Iran serikali yake inawajali sana raia wake. Kipindi wewe unalipia kupanda SGR Iran raia wanapanda karibia na bure.
Wajinga tu peke Yao wanaweza kukubali uongo huu ambayo nchi hiyo Dola moja ya ki Marekani ni sawa million moja na zaidi pesa ya Iran leo uje useme wana maisha Maduro?? Hivi ninyi Wafuga midevu na Majini Nani aliwaroga??
 

Attachments

  • IMG_5112.jpeg
    IMG_5112.jpeg
    80.1 KB · Views: 22
Iran kwa sasa Airforce Yao imeangamizwa kabisa na hii ndiyo maana halisi ya kulidhibiti anga.

Iran walikuwa wanajitahidi mno na wafuasi wao wanawasifia mno mpaka wakajiona wana nguvu ya kupigana na Israel ambayo Ina uzoefu wa miaka mingi.
 

Attachments

  • 4625969593542121594.mp4
    945.2 KB
  • IMG_5107.jpeg
    IMG_5107.jpeg
    120.4 KB · Views: 19
  • IMG_5108.jpeg
    IMG_5108.jpeg
    74.5 KB · Views: 20
Ndioo maana tunasema athari ni mbaya pande zote. Hivyo kusema Iran tu ndio anapigika ni uongo mtupu. Hapa atakuja Echolima1 (choo cha kulima kimoja1) atasema hii ni habari ya uongo bali irani ndio anayepigika.
Sasa wewe unakaa unamskiliza huyo Echolima1 mwalimu wa kwaya ya Kilokole,yeye anafikiri missile ikipigwa Israel watu hawafi,watu wanakufa bila sababu yeye analeta ushabiki wa kilokole,Hadi leo kwenye synagoge huko Beit shemas jengo lote limedondoshwa watu kibao bado wamekwama chini ya Synagoge na walikuwa wapo kwenye maficho yao ya mahandaki
1000037113.jpg
 
Sasa wewe unakaa unamskiliza huyo Echolima1 mwalimu wa kwaya ya Kilokole,yeye anafikiri missile ikipigwa Israel watu hawafi,watu wanakufa bila sababu yeye analeta ushabiki wa kilokole,Hadi leo kwenye synagoge huko Beit shemas jengo lote limedondoshwa watu kibao bado wamekwama chini ya Synagoge na walikuwa wapo kwenye maficho yao ya mahandakiView attachment 3553027
Hii mbona ilishaletwa humu kutoka jana tena kutoka Serikali ya Israel yenyewe kuwa raia tisa wamekufa.
 
🚨 Massive blazes are RAGING at Bahrain's BAPCO oil complex following several successful strikes by Iranian missiles and drones
 

Attachments

  • VID_20260305_182622_390.mp4
    519.7 KB
  • VID_20260305_182622_390.mp4
    519.7 KB
  • VID_20260305_182620_111.mp4
    812 KB
  • VID_20260305_182617_247.mp4
    727 KB
Sasa wewe unakaa unamskiliza huyo Echolima1 mwalimu wa kwaya ya Kilokole,yeye anafikiri missile ikipigwa Israel watu hawafi,watu wanakufa bila sababu yeye analeta ushabiki wa kilokole,Hadi leo kwenye synagoge huko Beit shemas jengo lote limedondoshwa watu kibao bado wamekwama chini ya Synagoge na walikuwa wapo kwenye maficho yao ya mahandakiView attachment 3553027
Duh kumbe moto unatembezwa pande zote mpaka nawaonea huruma waliokwama huko chini Mungu awasaidie watake huko chini ya vifusi wakiwa hai.
 
Back
Top Bottom