Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Mtu yoyote anayetaka CCM iondoke madarakani lazima aunge mkono hii operation dhidi ya Iran.

Lebanon wameamua kuwachukulia hatua IRGC wote ndani ya Lebanon

Lebanese Information Minister: Every Iranian Revolutionary Guard operative in Lebanon will be arrested!
Additionally, the Lebanese government is canceling the entry of Iranian citizens to Lebanon without a visa.
 
Ushaanza tumia media za kibongo kupata taarifa zako😀 kama ni nyingine sawa ila hizi ambazo watangazaji ni kina zembwela 😁
Huna Akili hiyo habari Ina mpaka video clip ya Secretary wa white house akiwa ana ongea kwenye press conference na Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali vya USA , maongezi yote Yana sikika
 
JUST IN: 🚨🇮🇷🇮🇱

Iran says it targeted Israel's Ben Gurion Airport and Airbase 27 with Khorramshahr-4 missiles.
Iran hawapoi 😁😁
 

Attachments

  • Screenshot_20260305-170543.jpg
    Screenshot_20260305-170543.jpg
    94.2 KB · Views: 14
Binafsi nimeamini Marekani kashindikana, ndo maana China kaona isiwe shida Taiwan iendelee tu ilivyo ila isiwe nchi
Kwa China USITUDANGANYE.
Kama USA ingekua inamuweza China basi ingemsaidia Ufilipino kuokoa visiwa vyake vilivyobebwa South China sea. Ufilipino ilimuomba USA ila waligoma.
Sera ya China sio kutumia mabavu.
 
Acha uongo Hakuna kitu kama hicho kama ni mkweli tuwekee jengo lolote la uwanjani tuone kama limepigwa!!

Najua huwezi kuweka maana halipo wewe mwenyewe unateswa na mahaba tu ndiyo maana unabwabwaja ovyo.

Kuhusu uwanja wamefungua mchana huu watu wanaingia na kutoka ingawaje kwa idadi ndogo, nenda kawadanganye Wafuga midevu na Majini wenzako tu.

Tatizo lenu mnalazimisha Israel ipigwe wakati wa kuipiga hayupo!! Endeleeni kuteseka na Israel lakini Iran lazima apigwe!!
😁😁

Kila taarifa unaipinga kmmk hamkutegemea haya myaonayo

Tuliwaonya hapa hapa kwamba Iran sio Kenya mkapinga
 

Attachments

  • Screenshot_20260305-170543.jpg
    Screenshot_20260305-170543.jpg
    94.2 KB · Views: 14
BREAKING: 🚨🇺🇲🇮🇱 🇮🇷

Massive explosion at an Iranian Army ammunition depot in Bushehr.
 

Attachments

  • VID_20260305_171109_270.mp4
    403.8 KB
  • VID_20260305_171105_573.mp4
    202.2 KB
Kwa China USITUDANGANYE.
Kama USA ingekua inamuweza China basi ingemsaidia Ufilipino kuokoa visiwa vyake vilivyobebwa South China sea. Ufilipino ilimuomba USA ila waligoma.
Sera ya China sio kutumia mabavu.
Kwa hiyo unaamini china Ina nguvu za Kijeshi compared to US?
 
Kurdish fighters cross into Iran as denials mount

Hundreds of Kurdish fighters launched ground activity inside Iran from the Iraqi border, Israeli and American officials confirmed to the Post. The strategic aim is to force Iran to divert security resources away from protesters in major cities. Tehran, the IRGC, and Kurdish officials in Iraq all denied the reports.

Naona sasa Iran wanampa mfupa mwingine angaike nao.
Fake news. Rais wa Iraq alishampa ujumbe Iran kuwa kurdish fighters wamekataa kupigana na hawatovuka mpaka.
NENDA HATA VYOMBO VIKUBWA UTAIKUTA.
Hiyo taarifa yako toka jana wanasema fake news.
 
Mtu yoyote anayetaka CCM iondoke madarakani lazima aunge mkono hii operation dhidi ya Iran.

Lebanon wameamua kuwachukulia hatua IRGC wote ndani ya Lebanon

Lebanese Information Minister: Every Iranian Revolutionary Guard operative in Lebanon will be arrested!
Additionally, the Lebanese government is canceling the entry of Iranian citizens to Lebanon without a visa.
Lebanon serikali kuu hawana huo ubavu wanaongea tu.
Hizbollah ina watu wengi ndani ya serikali ya Lebanon.

Pia usijiingize kwenye propaganda za west.
Iran serikali yake inawajali sana raia wake. Kipindi wewe unalipia kupanda SGR Iran raia wanapanda karibia na bure.
Huduma zao za kijamii ni mara elfu bora kuliko za Afrika nzima.
 
😱 Current Iran-Israel war is pivotal to 'End Times' prophecies, analyst claims

💬 “If you look at the Epstein files it's clear that we are run by secret societies. You can call them Illuminati. The Illuminati are composed of three major groups,“ Jiang Xueqin, aka "Professor Jiang," believes.


1️⃣ The Jesuits & Vatican Control: This group supposedly dominates the Catholic Church and influences global ethics/morality through religious networks. They’re seen as the spiritual arm, guiding policies on faith, education, and international aid.

2️⃣ Sabbatean Frankists & Modern Israel: Rooted in a historical Jewish sect, they’re accused of steering Israel's direction today. Critics claim they push aggressive foreign policies, viewing the Middle East as a biblical battleground for prophecy fulfillment.

3️⃣ Freemasons & US National Security: This fraternity is said to infiltrate America's intel and military apparatus, controlling decisions on wars, surveillance, and alliances (the Deep State).

💬 “They believe that Israel, this war in the Middle East, is key to the End Times in creating heaven on Earth.“
 

Attachments

  • VID_20260305_172207_153.mp4
    8.7 MB
Urusi yasema kuwa mpaka sasa haijapokea ombi lolote la kuomba msaada wa kijeshi kutoka Iran.
China na Urusi ni matapeli wamewatapeli Maduro na Iran kwa kuwa Ami sina I awapa AD za maana kuwatumia Israel matokeo yake sasa hivi wanapigwa kama Ngoma na anga lote la Tehran liko mikononi mwa Israel.

Iran ni sawa na debe tupu ukiligusa tu Lina pig a kelele!! Walitoa Gaza Kabila hawajaanza kupigwa walisema maneno makali sana nashangaa Leo siku ya 5 hakuna lolote!!
 
Back
Top Bottom