Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Jeshi la Iran: Tumeharibu drone 3 za Israel eneo la magharibi na kusini mashariki mwa nchi
20260305_172825.jpg
 
Msikilizeni anchor wa Al Jazeera. Tehran kumechafuka,huduma za jamii zinaanza kukata,wananchi wengi wamekimbia,waliobaki hawajui nini kinaendelea hata tv zote giza. Mashambulizi yameacha miundombinu ya kijeshi sasa wanapiga miundombinu ya kijamii
20260305_173332.jpg
 
View attachment 3552991
Nimeangalia pia SBS news hata Israel wananchi wao wanalalamika maisha yamekuwa magumu na Iwanasema wangekuwa na Access wangeonyesha jinsi Iran anavyopiga majengo na huduma za kiraia,hii vita mbaya sana
 
Ni kweli kabisa ndio maana serikali imewaruhusu kuendelea na shughuli zao kama kawaida.
 
Msikilizeni anchor wa Al Jazeera. Tehran kumechafuka,huduma za jamii zinaanza kukata,wananchi wengi wamekimbia,waliobaki hawajui nini kinaendelea hata tv zote giza. Mashambulizi yameacha miundombinu ya kijeshi sasa wanapiga miundombinu ya kijamii
View attachment 3552991
Iran wamekata internet na kuna miji hakuna umeme. Lakini bado wapo watu wameweza kubypass wanaaccess internet.

Mtu ukimwanbia huwezi zuia hizi habari haelewi
 
Hapana! Tunajua nyie wagalatia mnafurahia umwagaji wa damu...ila inatosha sasa mkuu! tuombe Mungu yaishe haya
Mkuu unalaumu wagalatia bure, wenyewe wameamua kupigana kwa mapenzi yao na sababu wanazojua wao. Acha wapigane. Huku Africa hakuna mwenye uwezo wa kumzuia marekani au Iran au Israel kufanya maamuzi wanayotaka
 
Nimeangalia pia SBS news hata Israel wananchi wao wanalalamika maisha yamekuwa magumu na Iwanasema wangekuwa na Access wangeonyesha jinsi Iran anavyopiga majengo na huduma za kiraia,hii vita mbaya sana
Ndioo maana tunasema athari ni mbaya pande zote. Hivyo kusema Iran tu ndio anapigika ni uongo mtupu. Hapa atakuja Echolima1 (choo cha kulima kimoja1) atasema hii ni habari ya uongo bali irani ndio anayepigika.
 
BREAKING: 🚨🇮🇷 🇺🇲🇮🇱

IRGC claims it shot down a U.S. F-15 fighter jet and destroyed 3 Hermes drones and a MQ-9 drone in western and southwestern Iran.
 
Attachments

  • VID_20260305_180410_135.mp4
    857.4 KB
Back
Top Bottom