Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Ndio hivyo mkuu tukiwambia watu Israel na Marekani washapanic kwa kufanya mashambulizi ya ovyo yasiyo na impact yoyote yenye kutimiza malengo yao ya kijeshi. Utakuta wapambe wao wenye mahaba wanao tumia hisia na sio akuili kufikilia kama mfono Echolima1 (choo cha kulima kimoja1) watakwambia chini ya huo uwanja kukikua na andaki la askari wa irani.
Kwani Iran yeye anafanyeje? Mbona kapiga shule kule Azebaijan??
 
Kurdish fighters cross into Iran as denials mount

Hundreds of Kurdish fighters launched ground activity inside Iran from the Iraqi border, Israeli and American officials confirmed to the Post. The strategic aim is to force Iran to divert security resources away from protesters in major cities. Tehran, the IRGC, and Kurdish officials in Iraq all denied the reports.

Naona sasa Iran wanampa mfupa mwingine angaike nao.
 
Tqngu juzi mashambulizi yamepungua. Kwanza tuliambuwa wanafuturu,wakasema bado wanasubiri wale daku. Siku ikaisha sasa wachambuzi wetu wa JF wanasema hio ni strategy wanaacha wapigweee hadi silaha za US ziishe wao ndio wataanza.
Sasa wakisubiri hadi US amalize silaha si wao wenyewe watakufa? Wakifa watafanyaje hayo mashambulizi?
 
Hapo nimekulewa kwa hiyo wanatangaza Ila si kwa idadi halisi.
Huyo niliyemjibu yeye alisema kwa nini marekani hawatangazi vifo. Hiko ndio nilichokikataa

Angesema marekani wanatangaza vifo Ila ana wasiwasi na idadi halisi hapo sidhani kama ningemkatalia.
Lakini pia na yeye sababu Ni pro Iran ningemuuliza je Iran inatoa idadi halisi?
Okay
 
Meli ya Iran ikizama baada ya kupigwa na Submarine ya Marekani.
 

Attachments

  • 1772715312372.jpg
    1772715312372.jpg
    137.8 KB · Views: 17
Mtu yoyote anayetaka CCM iondoke madarakani lazima aunge mkono hii operation dhidi ya Iran.

Lebanon wameamua kuwachukulia hatua IRGC wote ndani ya Lebanon

Lebanese Information Minister: Every Iranian Revolutionary Guard operative in Lebanon will be arrested!
Additionally, the Lebanese government is canceling the entry of Iranian citizens to Lebanon without a visa.
 
Kurdish fighters cross into Iran as denials mount

Hundreds of Kurdish fighters launched ground activity inside Iran from the Iraqi border, Israeli and American officials confirmed to the Post. The strategic aim is to force Iran to divert security resources away from protesters in major cities. Tehran, the IRGC, and Kurdish officials in Iraq all denied the reports.

Naona sasa Iran wanampa mfupa mwingine angaike nao.
Hii taarifa toka alfajiri naiona sehemu tofauti ambazo ni credible lakini zinapingana. Kiongozi wa wakurdi anazsma sio kweli, wengine wanasema ni kweli
 
Pro Iran mwenzako kauliza mbona Iran kapunguza mashambulizi mapema sana hata kuliko ile vita ya siku 12?
Sasa kama wanatumia silaha chache na wana fanikiwa kupiga malengo yao kuna haja gani ya kutumia silaha hovyo ?
Au unataka silaha ziwaishie mapema wapingwe washindwe hata kujitetea ?
 
JUST IN: 🚨🇮🇷🇮🇱

Iran says it targeted Israel's Ben Gurion Airport and Airbase 27 with Khorramshahr-4 missiles.
 

Attachments

  • Screenshot_20260305_163638_Telegram.jpg
    Screenshot_20260305_163638_Telegram.jpg
    120.3 KB · Views: 15
  • VID_20260305_163623_751.mp4
    327.6 KB
  • VID_20260305_163620_323.mp4
    1.3 MB
Unajua Iran imezima Internet?
Mm sijailaumu Israel kwa kuzuia habari kutoka nje ,kila nchi ina mkakati wake wa kushinda vita na moja wapo wameona ni huo.
Mm nilikuwa namjibu huyo aliye sema kwa Iran haishambulii kwa sasa ndo nikamjibu kuwa kwa sasa Israel imebrock video zote hazitoki nje hivyo ni ngumu sana kupata habari zinazo tokea ndani ya Israel kwa sasa.
 
JUST IN: 🚨🇮🇷🇮🇱

Iran says it targeted Israel's Ben Gurion Airport and Airbase 27 with Khorramshahr-4 missiles.
Acha uongo Hakuna kitu kama hicho kama ni mkweli tuwekee jengo lolote la uwanjani tuone kama limepigwa!!

Najua huwezi kuweka maana halipo wewe mwenyewe unateswa na mahaba tu ndiyo maana unabwabwaja ovyo.

Kuhusu uwanja wamefungua mchana huu watu wanaingia na kutoka ingawaje kwa idadi ndogo, nenda kawadanganye Wafuga midevu na Majini wenzako tu.

Tatizo lenu mnalazimisha Israel ipigwe wakati wa kuipiga hayupo!! Endeleeni kuteseka na Israel lakini Iran lazima apigwe!!
 

Attachments

  • IMG_5106.png
    IMG_5106.png
    1.5 MB · Views: 13
Mm sijailaumu Israel kwa kuzuia habari kutoka nje ,kila nchi ina mkakati wake wa kushinda vita na moja wapo wameona ni huo.
Mm nilikuwa namjibu huyo aliye sema kwa Iran haishambulii kwa sasa ndo nikamjibu kuwa kwa sasa Israel imebrock video zote hazitoki nje hivyo ni ngumu sana kupata habari zinazo tokea ndani ya Israel kwa sasa.
Mkuu serikali inaweza kuzuia mainstream media isitoe habari, lakini haiwezi kuzuia watu wasitoe habari.
Israel wana uwezo wa kuzuia media zisitoe habari lakini haina uwezo wa kuzuia watu wasitoe habari.

Hizi habari zote huwa zinatolewa na watu, ndio wanaochukua video huko maeneo yao, sidhani Kuna mtu anasubuiri channel 12 ya Israel ije irushe habari ya Israel kupigwa makombora

Hii picha chini ni shrapnel ya makombora ya Iran imeanguka kwenye nyumba ya mtu baada ya interception huko Israel, huyu mtu utamzuia vipi asitoe hii habari kwenye mitandao?
20260305_165004.jpg
 
Mbona unatupanga mkuu , waandishi wa habari wa USA Leo wame wauliza Gorvement Yao kwanini wanaficha idadi ya vifo wewe Huku unatuambia USA hawafichi idadi ya vifo

Mkuu wewe na Waandishi wa habari wa USA ni yupi anayepaswa kusikilizwa !??

Humu mbona mnatupanga sana ??
Ushaanza tumia media za kibongo kupata taarifa zako😀 kama ni nyingine sawa ila hizi ambazo watangazaji ni kina zembwela 😁
 
Na
Iran inaonekana kuzorota kama 12 days war June 2025. Ni kama wanakatisha tamaa, hivi ni strategy zao au ndio wanakata moto!?
Maana mashambulizi yanafanywa ya kinyonge sana.
Wenzao wanapiga bombing heavy wao wanapiga ado ado.
Naona Pro Iran mmeanza kukubali
 
Mkuu serikali inaweza kuzuia mainstream media isitoe habari, lakini haiwezi kuzuia watu wasitoe habari.
Israel wana uwezo wa kuzuia media zisitoe habari lakini haina uwezo wa kuzuia watu wasitoe habari.

Hizi habari zote huwa zinatolewa na watu, ndio wanaochukua video huko maeneo yao, sidhani Kuna mtu anasubuiri channel 12 ya Israel ije irushe habari ya Israel kupigwa makombora

Hii picha chini ni shrapnel ya makombora ya Iran imeanguka kwenye nyumba ya mtu baada ya interception huko Israel, huyu mtu utamzuia vipi asitoe hii habari kwenye mitandao?
View attachment 3552971
Una verify vipi hili kombola ni la Iran na limerushwa kwenye hii vita? Hizi account za Twitter,Telegram, Tiktok nyingi ni chaka. Ila unaweza kupata mwangaza wa mashambulizi kupitia reputable media House naona siku hizi hata CNN,DW wameanza kuwa fair juu ya hii vita,hata media za India, Aljazeera wapo fair kuna mijadala mziuri sana. Ila Twitter ,Telegram, Facebook, Tiktok huku kote habari za uongo ni nyingi sana.
 
Back
Top Bottom