christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 3,333
- 5,490
Wanasubiri wachambuliwe na wachambuzi wao.Hawa wandengereko hata kiingereza hawajui. Tunafanya vita kama simba na yanga.
Wanasubiri wachambuliwe na wachambuzi wao.Hawa wandengereko hata kiingereza hawajui. Tunafanya vita kama simba na yanga.
Iran kapiga UAE,Qatar,KSA,Bahrain,Cyprus,Azerbaijan yaani anatafuta Shari kila mahali.NAkubaliana na ww kweli hawawezi kufutika ILA watabaki hawana msuli hata mmoja coz Israel mtoa roho analenga kwenye misuli tu.Iran sasa😃 kichaa kimempanda anapiga kila anayekutana nae njiani.😃Hajui jirani nani adui nani cha muhimu arushe kombora😃
Tutaujua tu ukweli.Mfano hiyo taarifa niliyo ileta hapo unaambiwa Trump anaficha taarifa, 😄😄
Hii ikifika siku 12 kuna mtu ataomba POO mapema sanaSign za 12 days war zote zimejitokeza.
Vita imekua ya upande mmoja.
Wao wameamua kutembea na ukweli.Kwani wao Iran wamezuiwa kutoa habari?
Kwasasa Israel imeweka udhibiti mkali sana dhidi ya usambazaji wa habari juu ya madhara na baadhi ya mitandao imekuwa ikizifuta video zinazo postiwa kwa hiyo kwa sasa tuko gizani.Iran inaonekana kuzorota kama 12 days war June 2025. Ni kama wanakatisha tamaa, hivi ni strategy zao au ndio wanakata moto!?
Maana mashambulizi yanafanywa ya kinyonge sana.
Wenzao wanapiga bombing heavy wao wanapiga ado ado.
Sio tu kwenye vita hata kwenye maisha huwezi kumpangia kila mtu aishi kwa kufuata utamaduni wako.Na wao waminye basi kama unadhan dunia ya leo unaweza kuminya habari
Kingine nahisi kuna viongozi waliouwawa ndio walikuwa wanafahamu stoke ya makombora yalipo maana hawa jamaa walikuwa na siri mno.Iran wamepunguza mashambulizi, hayafanywi tena mara nyingi. Yale yanayofanyika yanakua kwenye wimbi dogo(short wave ya makombora matatu, au matano ambayo yanakua intercepted)
Ambacho nahisi sababu ya kupunguza mashambulizi huenda ameamua kuwa defensive zaidi(kuwa mzuiaji zaidi wa mashambulizi ya ndani yanayoendelea)
Nilipokusoma mwanzo sikukuelewa. Ila kuna post ingine nimekusoma naona umeshakubali ndugu zetu Iran hali ni mbaya.Iran inaonekana kuzorota kama 12 days war June 2025. Ni kama wanakatisha tamaa, hivi ni strategy zao au ndio wanakata moto!?
Maana mashambulizi yanafanywa ya kinyonge sana.
Wenzao wanapiga bombing heavy wao wanapiga ado ado.
Ndio hivyo mkuu tukiwambia watu Israel na Marekani washapanic kwa kufanya mashambulizi ya ovyo yasiyo na impact yoyote yenye kutimiza malengo yao ya kijeshi. Utakuta wapambe wao wenye mahaba wanao tumia hisia na sio akuili kufikilia kama mfono Echolima1 (choo cha kulima kimoja1) watakwambia chini ya huo uwanja kukikua na andaki la askari wa irani.Mpaka viwanja vya mipira?
US and Israeli airforce has targeted multiple Iranian regime police headquarters across Iran in strikes today.Mpaka viwanja vya mipira?
Mkivimbiwa Daku mnasumbua sanaInafutwa soon! Mashoga mtafute pakwenda kufanyia mikutano
Mkuu mbona Israel na marekani wote wanatoa taarifa za vifo. Marekani wametoa taarifa hizo na tumeziweka sana humu za wanajeshi waliokufa, wamewasafirisha kwenye ndege yote imeonyeshwa hadi walivyopokelewa. Makombora yametua srael na kupiga mbona huwa wanatoa taarifa na kutaja idadi ya majeruhi au vifoKwa irani, tunaona taarifa bila kuficha hadi viongozi wao, wanatoa ripoti ya vifo vya raia wao. Lakini Mbona(Marekani na Israel),wao hawatoi ripoti ya vifo vya askari na raia zao pia athari wanazopata kwa kushambuliwa na iran. Kupiga picha na kuchukua video ya mashambulizi ya irani, ndani ya Israel na base za marekani kama Qatari. Sio kigezo cha kukataa uminywaji wa taarifa unaofanywa na Israel na Marekani.
Mkuu kwa hiyo Iran wakizima internet Ina faida sababu ya usalama wao, je marekani au Israel nao wakizima internet inakua haina faida kwa usalama wao?Alafu serikali ya Iran, kuamua kuzima na kupunguza huduma ya internet kipindi hiki cha vita. Ni kutokana na Faida ambazo zina usalama kitaifa. Kwasababu internet inaruhusu mawasiliana ya haraka kupitia Apps. Hivyo wakati wa vita makundi ya uasi au maadui zake wanaweza kutumia apps hizi kupanga mashambulizi.
Mkuu kwa hiyo unakubali iran kuzimwa internet ni sahihi sababu kuzuia misinformation. Hizo misinformation haziwezi kuwepo kwa upande wa marekani au Israel?Hivyo kuzimwa kwa internet kunasaidia kuchelewesha na kuzima mipango yao. Na kingine ni kudhibiti habari zisizo sahihi(misinformation). Maana wakati wa vita habari za uongo zinaweza kusababisha panic kubwa kwa wananchi. Hivyo serikali inaweza kuzima internet ili kupunguza kusambaa kwa taarifa zisizothibitishwa.
Mkuu ingezimwa internet kwingine ungesema ni uminywaji wa taarifaLa mwisho kabisa ambalo ninaamini nikwamba serikali ya Iran imeamua kuzima na kupunguza huduma ya internet. Ni kuzuia kusambaa taarifa za kijeshi mfano (mahali askari wao walipo) zinaweza kusambaa haraka sana mtandaoni. Hivyo wameamua kuzima internet ili kulinda siri za kijeshi.
Mkuu mbona marekani wametoa taarifa za vifo vya Askari vilivyotokea. Au ilibidi watoe vipi?Hivyo bado hujanijibu kama Israel na Marekani wanaminya taarifa kuhusu vifo vya raia na askari wao na athari anazopata Israel ndani ya nchi yake kupitia mashambulizi yanayofanywa na irani.
Kama unakataa basi huu mjadala uishe kila mtu aendelee kuamini kile anachokijua.
Kwahiyo mpaka kiwanja cha mpira nacho kinatumika kusimamia nchi?US and Israeli airforce has targeted multiple Iranian regime police headquarters across Iran in strikes today.
Lengo ni kuidhoofisha serikali ya Iran iseweze kusimamia nchi hili Watu wakiingia barabarani wanatangaza nchi
Sina nijifariji kwa kipi au unaona mie ni mwenye mahaba kama wewYet walifukuza cnn,bbc na hata al jazeera?
Jifariji,ni vizuri.