Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Usichojua kuhusu waajemi ni bora wapigane wenyewe kuliko wewe uwaingilie.
Hiyo ipo kihistoria.
Kosa alilofanya USA ni kumuua Khamenei ni kosa kubwa sana,limewaunganisha 90% ya waIran,nenda hata sasa hivi katizame mitandaoni waIran wanaimba "Death for Trump death for Israel Avenge Khamenei".
Boluchistan fighters ambao wanakinzana na serikali wameomba kuungana na IRGC wapigane dhidi ya USA.
US wamefanya kosa la kipumbavu sana kumuua kiongozi wa dini. Vita imechukuliwa kidini zaidi.

Uongo. Wairan wanafuraha sana. Hawajaungana na kumuua kumeonesha nguvu ya Israel katika hilo.
 
Mkuu kuna watu hawajajua ubora wa Marekani na Israel kwenye kuminya taarifa linapokuja suala la vita. Na hapa kwa kutumia media zao kubwa watataka dunia nzima ione madhara ya vita kwa adui zao tu nasio kwao.
Mkuu hapa tunajadili tunachokiona. Kama kuna mnachokionq huko sisi hatukioni kileteni. Iran anakula kichapo dunia nzima inashuhudia kama Israel ndio anaekula kipondo leteni hapa tujadili dunia hii sio ya 1947.
 
Kwahyo unakataa kwamba Israel na Marekani hawaminyi habari zao, ili mbona hadi mitandaoni limezungumziwa sana. Au unafikiri kwamba hatujui hii tabia ya Israel hajaanza Leo.
Mkuu nilichosema ni kuwa Israel ikishambuliwa hakuna atayeweza kuzuia video au picha isitoke. Wanaorecord matukio ni watu na simu zao.
Base za marekani zilizopo Qatar zikishambuliwa utazuia vipi watu wasisambaze hizo habari? Hiyo ndio ilikua hoja yangu
Nikakutolea mfano kuwa Iran wamezima internet siku ya 5 leo, lakini kwa nini Kuna watu bado wameweza kuchukua video na kusambaza?
 
Tqngu juzi mashambulizi yamepungua. Kwanza tuliambuwa wanafuturu,wakasema bado wanasubiri wale daku. Siku ikaisha sasa wachambuzi wetu wa JF wanasema hio ni strategy wanaacha wapigweee hadi silaha za US ziishe wao ndio wataanza.

Kwa sasa wanasubiri mfungo uishe. Na pia ni mbinu wanasubiri israel na usa waishiwe kabisa silaha ndo waanze wa irani sasa.
 
Mkuu hapa tunajadili tunachokiona. Kama kuna mnachokionq huko sisi hatukioni kileteni. Iran anakula kichapo dunia nzima inashuhudia kama Israel ndio anaekula kipondo leteni hapa tujadili dunia hii sio ya 1947.
King faisal anachanganya mambo, huwezi kuzuia habari watu wasisambaze. Hivi anafikiri wanaorecord makombora ya Iran yakipiga Israel ni watu gani? Mtu kakaa ndani kwake dirishani anachukua video palikopigwa anaenda kushare telegram, hao utamzuiaje?

Iran Hakuna internet kabisa lakini bado watu wanaweza kurecord matukio na kuyatuma
 
Kwahiyo wa Iran hawapigi tena eeh👍
Iran wamepunguza mashambulizi, hayafanywi tena mara nyingi. Yale yanayofanyika yanakua kwenye wimbi dogo(short wave ya makombora matatu, au matano ambayo yanakua intercepted)
Ambacho nahisi sababu ya kupunguza mashambulizi huenda ameamua kuwa defensive zaidi(kuwa mzuiaji zaidi wa mashambulizi ya ndani yanayoendelea)
 
Back
Top Bottom