Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Aisee kama Amerca wameanza kutumia bunker buster basi hii shughuli imeisha aitaisha sio muda maana silaha za Iran na viwanda vya kuzalishia vitaangamia.

Ndugu inabidi usome alama za nyakati. Kiuhalisia wapo wa Iran wengi sana wanaochukizwa na aina ya utawala uliopo na sheria zao ambapo kwa sasa wanafurahia mioyoni mwao na wapo ndani ya Iran na muda wote walikuwa wakisubiri mtetezi haijalishi atatokea wapi na dini ipi, ila kwa hali ilivyo hawawezi kujitojeza wazi wazi kufurahia maana hasira za vita zitamaliziwa kwao hivyo ni rahis kuona wanaosupport serikali kuingia mtaani kwa wakati huu kuliko wanaopinga.
Usichojua kuhusu waajemi ni bora wapigane wenyewe kuliko wewe uwaingilie.
Hiyo ipo kihistoria.
Kosa alilofanya USA ni kumuua Khamenei ni kosa kubwa sana,limewaunganisha 90% ya waIran,nenda hata sasa hivi katizame mitandaoni waIran wanaimba "Death for Trump death for Israel Avenge Khamenei".
Boluchistan fighters ambao wanakinzana na serikali wameomba kuungana na IRGC wapigane dhidi ya USA.
US wamefanya kosa la kipumbavu sana kumuua kiongozi wa dini. Vita imechukuliwa kidini zaidi.
 
Mkuu watu wanapiga vita kwa akili. Mwaka jan mwezi wa sita Israel alimvamia Iran hivyo alitumia makombora mengi san kumpiga muisrael aliyarusha kama mvua watu wakashangilia hawakujua hii ni mbinu ya kivita.

Mwaka huu vita imeanza tayar stoke ya makombora hasa ya masafa marefu imepungua. America kaingia vitani huku akijua kabisa Iran atashambulia kambi zake zilizopo kwa majiran zake na kweli kafanya hivyo, stoke tena imezidi kupungua na ikumbukwe America anapiga miundombinu ya kuzalishia slaa hivyo uwezo wa Iran kijeshi unapunguzwa. Na sasa anga lao linakaribia kutawaliwa na Israel na ikumbukwe hawa jamaa ni hatari mno kwa vita vya anga. Tusubiri tuone.
 
Usichojua kuhusu waajemi ni bora wapigane wenyewe kuliko wewe uwaingilie.
Hiyo ipo kihistoria.
Kosa alilofanya USA ni kumuua Khamenei ni kosa kubwa sana,limewaunganisha 90% ya waIran,nenda hata sasa hivi katizame mitandaoni waIran wanaimba "Death for Trump death for Israel Avenge Khamenei".
Boluchistan fighters ambao wanakinzana na serikali wameomba kuungana na IRGC wapigane dhidi ya USA.
US wamefanya kosa la kipumbavu sana kumuua kiongozi wa dini. Vita imechukuliwa kidini zaidi.
Acha propaganda mkuu tunaona wa Iran kibao wanashangalia.
 
Mkuu hili swali mimi pia najiuliza kila siku ila sipati majibu kabisa labsa naweza kupata elimu kwako mkuu. Hivi wanawezaje kuwafyeka viongozi wa juu wa Maadui zao kwa kujua location na saa ambayo watakuwepo na kupanga mbinu zao jinsi ya kuwafyeka na wakawafyeka kweli hafu wanashindwa kujua mateka walipo kwa siku zote hizo? Mateka wengi hivyo tena sidhani kama wanaweza kuwa wako sehemu salama sana ya kiulinzi kulinganisha kama yule kiongozi wa Kobazi sijui Khemei ailefyekwa juzi. Nisaidie mkuu hili linakuwaje?
swali nzuri ila naweza kukusaidia kujibu kwa uchache
kwanza ISRAEL inakuwa na list tayari ya watu wanaokuwa wanahitajika kuuwawa hii inakuwa rahisi katika kuwafatilia nyendo zao

wanapataje taarifa
taarifa za ndani kabisa wanazipata kwa MOLE( mole ni wasaliti au mapandikizi waliyopandikiza katika serikali ya IRAN na wengi wanakuwa wamewapandikiza deep zaidi kwa muda mrefu na wanakuwa wanaisaidia nchi husika kwa kizarendo kabisa au anaweza kuwa top wa juu zaidi)

hawa MOLE ndio wanakuwa wanatoa taarifa za lini na wapi watakuwa hawa viongozi ghorofa ya ngapi
hapa naposema kwenye ghorofa ya ngapi nadhani ushashuudia israel ikishambulia ghorofa ya tano katika jengo la ghorofa 10 kisha kusikia amekufa kiongozi furani hizo info ndio hutoka kwao hao

njia ya pili ni kutumia TECNOLOJIA ya FACIAL RECOGNITION SOFTWARE hii si sana 7bu inafanya kazi vinzuri mtu akiwa nje na mchana lakini msada zaidi katika kufatilia movement zao nje

njia nyingine ni kufatilia mawasiliano yao
hapa ndio utakuwa wale mapandikizi ambao hawapo deep katika uongozi ila wanapata info wanakuwa ndio wahusika wakuu katika kuwafatilia mawasiliano yao ambapo moja kwa moja wanakuw ndani ya IRAN na siku zote hawa MOLE wanakuwa hawajuani na wengi wanakuwa katika ORGANIZATION zinazofanya kazi kwa karibu kabisa na serikali ya iran ndo mana sasa hivi hata mawasiliano ya simu hawanyi kutokana ndio rahisi zaidi kuwa HACKED kutokana iran kuwa imeharibiwa kwa madhambulizi sehemu zake muhimu

ISRAEL inafanikiwa vipi kuwapandikiza hawa MOLE kwenye taifa la kizarendo zaidi la IRAN

wa ISRAEL wapo vinzuri sana kwenye kufake KIFO kisha kuileta ID mpya na huyo mtu kupelekwa kwenye nchi nyingine inaakuwa rahisi kuazisha maisha huko
hatimaye baada ya muda uingia katika nchi husika na kuanza kufanya kazi ya ESPIONAGE kwa mtindo wa DINI au chochote kitakachomfanya aannze kuaminika taratibu kwa kupanda ngazi bila kutiliwa shaka kuwa ni JASUSI la MOSSAD

na INFO zake huwa HIGH CLASSIFIED sana utakupa TOP LEADER hawazidi hata watano au watatu kujua hiyo ishu ili kuendeleza usiri huo kwa kuifadhi hiyo ASSET muhimu kwa taifa
hata ikilazimika kuizungumzia basi katika vikao basi huitaja kwa CODE


ISRAEL inakuwa na mipango ya muda mrefu sana kwenyw kupandikiza MOLE anaweza mtu akawa amepandikizwa kwa zaidi ya miaka 10 mpk 15 na asitumike kwa mission yoyote ni siku inafika sasa ndio anatumika kwa mission kufanikisha then anapotea lkn kwenye kupotea hapa hufanya shambulio la ASSASSINATED utasikia VIONGOZI kadhaa wamefariki na miili mingine haitambuliki ambapo ndipo yule MOLE muhusika anapoyeyuka then anarudi sehemu nyingine anakuwa "BEHINDE THE DESK" kuwa ANALYSED wa nchi husika alokuwa anafanyia ESPIONAGE 7bu anakuwa well informed na hiyo nchi
maisha kwake yanaendelea
hvyo inakuwa ngumu kwa NCHI husika kutambua nani haswa mvujishaji taarifa au wakati mwingine hutokea bahati mbaya hujulikana hapo huwa mawili kukutorosha au kuuwawa

na mara nyingi huwapandikiza kwa kutumia mpango wa DINI huwa maustadhi kwelikweli au huwa na misimamo mikali kwelikweli kwa sera za kimagharibi au kizayuni
Sasa hawa wanaweza kuwawekeza kwa miaka mingi mpk anafika juu kabisa pale wanapotaka kisha ndio umtumia

hawa wasaliti mpk wanaammua kuuza taarifa za nchi zao hawa SIMPLE huwakamata kwa weakness zao so wanakuwa threatened na siri zao hvyo wanakuwa hawana njia nyingine zaidi ya kukubari kulinda HESHIMA zao lkn mara nyingi huwa wanaishia kuuliwa

swali kujiuliza mbona hawajui hizi LAUNCHPAD MISSILE zilipo 7bu km utagundua sasa hivi ISRAEL
iran ikirusha missile then haichukui muda israel inaenda kutandika zilipotoka hizo missile hii inafanya kuona au kugundua IRAN inatumia akili sana katika kuhifadhi SIRI zilipo hizo LAUCH PAD yaan kwa namna nyingine hizi LAUNCH PAD FACILITY ni muhimu mno kuliko UHAI

Swali kwann walishinda kuwapata
MATEKA GAZA
HAMAS lilikuwa jeshi la kizarendo la PARESTINA na linaundwa na waparestina wenyewe ambao 99% wanajuana na ni wananchi wa PARESTINA wa kuzariwa

kimataifa walikuwa wanajulikana viongozi wachache na ambao pengine utakuta wana miaka hata mitano Hawana taarifa zao wapo wapi lkn wanajeshi wenyewe wa HAMASI walikuwa wanaishi kama wananchi wa kawaida Wanavaa nguo za kawaida
viongozi wengi walikuwa wanaishi kwenye mahandaki na wakitoka nje katika jambo la pubric wanaziba SURA zao hvyo ilikuwa ngumu kufatilia nyendo zao
na ukumbuke HAMAS ilikuwa inaungwa mkono kwa karibu 90% na waparestina wenyewe so ilizidi kuwasaidia kufanya unyeti wao kuwa wa uhakika
So israel ilikuwa inakosa intel ya uhakika na ya kutosha tofauti na IRAN ndio mana ikawa inapiga hovyo hovyo majengo GAZA mara ipigw HOSPATRI kusema china kuna mateka nk

ni vita ngumu sana kwa IRAN vya kujirinda lakini ni VITA ambayo itaacha ALAMA kubwa kwa DUNIA
hata ikiisha kwa IRAN KUSHINDWA au kuweza kuilinda nchi yao
ila itabadrisha SERA za nchi nyingi sana DUNIANI haswa MIDDLE EAST na pengine hata MAREKANI na ULAYA kutokana na hasara za kiuchumi na watu hii vita itakuwa funzo au tuseme itatumika na nchi nyingi kama CASE STUDY jinsi muajemi alivyotumia akili kujirinda na pia mataifa mengi yatatumia katika kufanya ANALYSE namna gani US inaweza kuhandle vita

Pamoja na kusema MAREKANI ilijipanga inajua nini kitatokea
lakini bado inabaki kuwa TRUMP alifanya maamuzi ya kihisia zaidi ya kutaka kuonekana alikamirisha misheni furani na furani wkt wa utawala waje kuliko plan za uhakika
kwa matokea ya siku hizi tano namba IRAN ilivyojibu na inavyozidi kujitutumua haliitaji UBISHI kusema kwamba WAMAREKANI hawakutarajia
ingawa NETANYAU kwake ni ushindi mkubwa hajari nani ataumia iwe waisrael wenyewe ama nani yeye anachotaka ni kuiangusha IRAN ni uwehu kabisa
 
historyphotographed-20260305-0001.jpg
Wameanza kuishiwa
 
Acha propaganda mkuu tunaona wa Itan kibao wanashangalia.
Wewe ndio uache propaganda.
Hizo video zinazosambaa nyingi ni za outsiders sio wa ndani ya Iran.
Video mie nimetoka kutizama ALJAZEERA Mamilioni ya wairan wakiandamana maombolezo ya Khamenei na kuitisha kisasi.
Kamtafute jamaa anaitwa Mohammed Syed Marrandi ni mwanadiplomasia wa Iran,anafanya live streaming akionesha Iran raia wakiandamana kwa kudai kisasi.
Boluchistan wameomba kujiunga Irgc.
Wewe kaa mezeshwa matango pori.
 
Acha propaganda mkuu tunaona wa Itan kibao wanashangalia.
Wewe ndio uache propaganda.
Hizo video zinazosambaa nyingi ni za outsiders sio wa ndani ya Iran.
Video mie nimetoka kutizama ALJAZEERA Mamilioni ya wairan wakiandamana maombolezo ya Khamenei na kuitisha kisasi.
Kamtafute jamaa anaitwa Mohammed Syed Marrandi ni mwanadiplomasia wa Iran,anafanya live streaming akionesha Iran raia wakiandamana kwa kudai kisasi.
Boluchistan wameomba kujiunga Irgc.
Wewe kaa mezeshwa matango pori.
 
Hapo ndo ujue vita si mabomu tu. Vita ni propaganda pia.

Si ajabu Iran inasababisha madhara makubwa sana ndani ya Israel na Israel haitaki dunia ijue.

Wanataka kuonyesha ‘mafanikio’ yao tu ili kujenga taswira kwamba wanashinda vita bila kupata madhara makubwa/ mengi.

Yaani ni mambo ya uongo uongo tu.
Lakini iwapo huo mkakati utawafanya adui yake asalimu amri basi wako sawa tu.
 
Mbona kiwango cha makombora wanayorusha Iran imepungua sana,nini tatizo?
Israel imebrock video zinazo husiana na hii vita zisitoke nje ya nchi kiufupi ni ngumu sana kujua kinacho endelea labda uingie kwa dark web Jana Iran karusha makombora zaidi ya 40 kwa mawimbi tofauti ila matokeo yake hatujayaona kutokana na hilo la Israel kudhibiti vikali hizo habari.
Hata hivyo wako sawa tu kama hiyo mbinu itawasaidia kumshinda adui yao.
 
Back
Top Bottom