Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,496
- 51,721
Ukiona updates humu za israelMalrekani kushambulia, usifikiri wanapiga majengo. Ni wanapiga sehemu au vifaa ambazo Iran anatumia kurusha makombora yake.Iran mbona kapoa.
Ukiona updates humu za israelMalrekani kushambulia, usifikiri wanapiga majengo. Ni wanapiga sehemu au vifaa ambazo Iran anatumia kurusha makombora yake.Iran mbona kapoa.
Mkuu hili swali mimi pia najiuliza kila siku ila sipati majibu kabisa labsa naweza kupata elimu kwako mkuu. Hivi wanawezaje kuwafyeka viongozi wa juu wa Maadui zao kwa kujua location na saa ambayo watakuwepo na kupanga mbinu zao jinsi ya kuwafyeka na wakawafyeka kweli hafu wanashindwa kujua mateka walipo kwa siku zote hizo? Mateka wengi hivyo tena sidhani kama wanaweza kuwa wako sehemu salama sana ya kiulinzi kulinganisha kama yule kiongozi wa Kobazi sijui Khemei ailefyekwa juzi. Nisaidie mkuu hili linakuwaje?Israel ndiye ana bahati yupo mbali..
Kwanini Netanyahu..
Nikuambie tu, Pentagon na bunge la US, kesho wakikomaa wajitoe kwenye hii vita, ni msiba kwa Israel...
Ndio maana Netanyahu ametumia juhudi zote kuishinikiza US imsaidie , maana mziki wa Iran si wa kitoto..
Sasa nashangaa unaposema Iran ina bahati, hebunipe fact kwanini Iran ina bahati kuwa mbali na Israel...
Gaza ile pale , ukitoka Israel kwa guta unaingia Gaza, Gaza imezungukwa na Israel, imefungwa, ni gereza, mbona Israel imeshindwa kuwapata mateka na kuwazidi Hamas?
Kwa hiyo wewe sasa umeanza Propaganda maana hujasema chombo cha habari kipi.Kwa mujibu wa vyombo vya habari Israel imebrock video ,yaani unaambiwa kwa sasa video zinazo husiana na mashambulizi ya Iran na Hezbollah nchini Israel ukizipost zina goma na hata ikifanikiwa kupanda inafutwa ndani ya sekunde chache sana jambo linalo fanya iwe ngumu sana kujua matukio yanayo endelea ndani ya Israel.
Kichapo kinaendelea, time to surrender
Kwakweli wa surrender tu maan si kwa kuchapika hivo wanatesa tu raia!Kichapo kinaendelea, time to surrender
Si ajabu wamechapika sana lkn hawataki Dunia ijue,yaani kwanini tujue yanayojiri ya upande mmoja!? Israel waache propaganda.Kwa mujibu wa vyombo vya habari Israel imebrock video ,yaani unaambiwa kwa sasa video zinazo husiana na mashambulizi ya Iran na Hezbollah nchini Israel ukizipost zina goma na hata ikifanikiwa kupanda inafutwa ndani ya sekunde chache sana jambo linalo fanya iwe ngumu sana kujua matukio yanayo endelea ndani ya Israel.
Kwa hiyo wewe ulitaka asipige? Amerca alishafanya calculation ya vita na hilo la kupigwa kambi zake alilijua ila ubavu wa kupambana na Amerca hana na hii haichukui week mbili kama vita itaendelea utajionea mwenyewe, utakuja hapa kuanza kulialia pray for Iran. Hata gaza, Iraq, Libya na Syria ikuwa hivihivi. Nakuhakikishia pona ya utawaka wa Iran ni kukubaki mashart ya America ila wakishupaza shingo watamalizwa wote na itafika kipindi wataanza kukataa vyeo maana ukiteuliwa tu Israel wanakuweka kwenye target huku Amerca anadeal na miundombinu ya kijeshi bado raia wanamaisha magumu unategemea hawatakuwa against utawala?Uwezo hana?
Kupiga kambi za jeshi la US gulf states zote uwezo hana? are you serious?
Ndugu inabidi usome alama za nyakati. Kiuhalisia wapo wa Iran wengi sana wanaochukizwa na aina ya utawala uliopo na sheria zao ambapo kwa sasa wanafurahia mioyoni mwao na wapo ndani ya Iran na muda wote walikuwa wakisubiri mtetezi haijalishi atatokea wapi na dini ipi, ila kwa hali ilivyo hawawezi kujitojeza wazi wazi kufurahia maana hasira za vita zitamaliziwa kwao hivyo ni rahis kuona wanaosupport serikali kuingia mtaani kwa wakati huu kuliko wanaopinga.Tazama sasa hao watu walivyo wengi..
Niliwaambia watu linapokuja suala la Israel, wananchi wapo na serikali..
Kingine kitendo cha kuua vile vitoto 165 vya nursery kumetengeneza chuki sana dhidi ya US na Israel...
Matarajio ya US na Israel ilikuwa ni support ya wananchi, sasa imekuwa ngumu..
Acha tutambe waisraeli wa jf, iran mmejiapiza kwa mda mrefu kuifuta Israel, nafasi yenu ni hii sasa ifuteni kwa mabomu, hatutaki vita iishe tuone nani mbabe, ila nimefurahi gaidi Ayatollah kuliwa kichwaKuna wa Israel wa jf Sasa🚮,huwezi kuamini ni wale waliojificha ndani October 29,kuwa kimbia vijana Saba waliobeba miguu ya kuku🙌🙌,
Propagated news.Iranian intelligence has sent word to the United States it could be prepared to open talks on how to end the war, according to people familiar with the indirect messages, but US officials say there are no negotiations underway and that potential “off-ramps” are unlikely to materialize in the near term.
Ukileta wewe habari sio propaganda ila za wenzako ni propagandaPropagated news.
Wachana na propaganda,Iran officials walishasema wamewaachia autonomy jeshi hakuna CEASEFIRE.
Hata Ali Larijani alilikanusha hili.
Sasa TUBISHANE NINI!?Ukileta wewe habari sio propaganda ila za wenzako ni propaganda