Cherecheche
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 4,851
- 9,372
Naomba hiyo link mkuu inayohusu hiyo habari.Hilo suala waambie Iran wenyewe mkuu kuwa waache kujifariji.
Maana wamepokea mzigo wa shehena ya silaha kutoka China.
Naomba hiyo link mkuu inayohusu hiyo habari.Hilo suala waambie Iran wenyewe mkuu kuwa waache kujifariji.
Maana wamepokea mzigo wa shehena ya silaha kutoka China.
Simu yangu ina changamoto haiwez ku upload chochote ila wewe ka search " China weapons delivery to Iran".Naomba hiyo link mkuu inayohusu hiyo habari.
kujibu na kutenda ni vitu viwili tofauti, hao IRGC kila kitu wanajibu lakini kichapo wanakula kama kawaida.. sasa hivi wao wamebaki na vita ya maneno tuuHormuz imefungwa, sasa imefungwaje kama Israel anatawala anga na bahari? Si umesikia Trump anasema atapeleka jeshi la maji kulinda meli zao zinazopita, IRGC wamemjibu awapeleke hao wanajeshi...
Hongera mkuu Kwa kuwatetea waajemi ingawa unajua kabisa wamezidiwa vibayaHawa watu nyuma ya pazia ni wakatili kuliko watu wanavyodhani...
Kuna video moja nili post hapa ya veteran mmoja mzee wa kiyahudi, baada ya oct 7 pale Hamas kuivamia Israel, yule mzee alikuwa anawaambia IDF.
Wakiingia Gaza, waue kuanzia watoto hadi mama zao, mzee alikuwa anaongea Hebrew, aliwaambia wazi malizeni wote, and probably ndicho IDF ilikuwa inatekeleza.
Nyumbu wa Tanzania ambao hawajui dunia ilivyo na nyuma ya haya mambo wanakuambia Hamas walikuwa wanajificha miongoni mwa raia.
Sasa mimi nikawauliza kama walijificha miongoni mwa raia wale mateka waliwaficha wapi? wanakosa jibu, kama mateka walifichwa sehemu ambayo walikuwa salama, ina maana na Hamas walikuwa wanajicha huko huko...
Ila IDF walikuwa na order maalumu shoot and kill children, bomb them, beat them...
Hiyo ni kawaida🔴Israeli media platform:
The war against Iran costs Israel a billion dollars a day.
Si ungeleta huku tulie woteNa updates tu..
Lakini huko twitter kifuatilia utalia jinsi Tel Aviv inaelekea kuwa Gaza 2.0
Na ndio kifuatacho. Hezbollah wameonekana wanajisogeza upande ule!Sasa kama wamepiga target muhimu kwa nini upoteze makombora bure.
Sasa hivi may be watakuwa wanapanga namna gani wapige route mpaka Tel Aviv kuchukua nchi
Habari njema hizi, itafika 50% soon.US wanadai mashambulizi ya missiles na drone kutoka Iran yamepungua kwa kama 20%
Hezbollah ipi Ile ya Naslah au hii ya sasa kibogoyoNa ndio kifuatacho. Hezbollah wameonekana wanajisogeza upande ule!
Kwasasa Iran inaangaika kukata kabisa uwezo wa Israel Angani kwa kuyaongezea kitu technology makombora kutoka kwenye ndege zao yanayotumika kupambana na ndege pinzani Angani. Daaaaaa
Soko la F-35+A oh B linaenga kuanguka Son,
Upande. Mwengine. Kwasasa Waisrael wamefunika panzia tusione kipigo!!
Tujiongeze tu kujua kuna kitu hakipo sawa!!
sawa na mgonjwa wako ukiona panzia imezungushwa jua mambo hayapo sawa!!!
kunakitu unafichwa usione kwa ule muda..
lkn Israel inapasuka vibaya sn.majuto mjuukuu
kile kibabu kimewaponza!!!
IRAN inaenda kushinda Vita.
Samia yupo sana inshallah... Mtakufa nyie na kitimaa wenu anayewatuma, Samia mtamuacha.*** Samia.
Ni wa kumuua tu huyo ***.
*** her.
Wakristo humu na kote hawakuwai kumkosoa magufuli...na mtu alikuwa akijaribu kumkosoa magufuli anaitwa sio mzalendo na kuambiwa atapotezwa..... Jiwe ndie aliyeharibu democrasia ya Nchi yetu hadi leo ,alikuwa ananunua wabunge wa Wapinzani kwa mabilioni,mambo yakutekana kaanza yeye na kundi lake, na usichokijua hata watu wanaotekwa leo ni kikundi cha jiwe bado kinaendeleza utekaji,Samia anapambana kutaka kukiangamiza Iko kikundi cha utekaji ambacho alikiacha Jiwe....lengo ni kumchfua Samia haonekane hafai, KEYTIMA nae ana kundi lake la utekaji kwa mlengo wa kidini.Mkuu kwa nn mara zote kwenye kukosolewa raisi huwa unaamini sababu ni dini? Magufuli alikuwepo alikosolewa sana, unahisi nae alikosolewa sababu ya dini?
Mnaitia unyonge sana hii dini kiasi kwamba muda wote unahisi watu wanawachukia
Nawewe ukirudi bongo utaliwa kichwa fasta....muhaini uliyekimbilia Israel kufua chupi za vibibi vya kiyahudi*** Samia.
Ni wa kumuua tu huyo ***.
*** her.