Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

BREAKING: Iran have attacked Azerbaijan, explosion seen near Nakhchivan Airport.

Iran anataka nini sasa🤣🤣🤣
 
Wakristo humu na kote hawakuwai kumkosoa magufuli...na mtu alikuwa akijaribu kumkosoa magufuli anaitwa sio mzalendo na kuambiwa atapotezwa..... Jiwe ndie aliyeharibu democrasia ya Nchi yetu hadi leo ,alikuwa ananunua wabunge wa Wapinzani kwa mabilioni,mambo yakutekana kaanza yeye na kundi lake, na usichokijua hata watu wanaotekwa leo ni kikundi cha jiwe bado kinaendeleza utekaji,Samia anapambana kutaka kukiangamiza Iko kikundi cha utekaji ambacho alikiacha Jiwe....lengo ni kumchfua Samia haonekane hafai, KEYTIMA nae ana kundi lake la utekaji kwa mlengo wa

Wakristo humu na kote hawakuwai kumkosoa magufuli...na mtu alikuwa akijaribu kumkosoa magufuli anaitwa sio mzalendo na kuambiwa atapotezwa..... Jiwe ndie aliyeharibu democrasia ya Nchi yetu hadi leo ,alikuwa ananunua wabunge wa Wapinzani kwa mabilioni,mambo yakutekana kaanza yeye na kundi lake, na usichokijua hata watu wanaotekwa leo ni kikundi cha jiwe bado kinaendeleza utekaji,Samia anapambana kutaka kukiangamiza Iko kikundi cha utekaji ambacho alikiacha Jiwe....lengo ni kumchfua Samia haonekane hafai, KEYTIMA nae ana kundi lake la utekaji kwa mlengo wa kidini.
Niishie tu kusema wewe jamaa ni mpumbavu
 
Bado sana. China kashusha shehena ya ndege 16 ya mizigo ya silaha. Vita hii itachukua muda mrefu kama China anapeleka silaha hivi.
Hii ni war of attrition kuna mmoja akishachoka hapa anapigwa tukio bab kubwa la kata funua.
Wadanganye wafuga midevu na majini Anga la Iran liko chini ya wababe wa Israel atapita wapi?

Shehena hizo ulizozisema alipelekewa kuanzia Oct 2025 mpaka Feb 2026 maana aliaminishwa kwa silaha hivyo hawezi kupigwa na wana wa Israel hakujua kuwa katepeliwa

Achen tu Iran avune alichopanda!! Alifadhili magaidi wa Hamas,Hezbollah,Houth,Islamic jihad magaidi hawa walishaua watu wengi sana sasa Acha nao waonje joto ya jiwe!!
 
💥💥💥💥
Israel imeshambulia kwa makombora eneo la magharibi mwa Tehran
Screenshot_20260305-115356_1.jpg
 
Hii kazi ya kuandika mitandaoni kuhusu vita wengine wanalipwa.

Kuna jamaa wa Israel social media influencer wameshtaki viongozi kwa kutowalipa kama walivyokubaliana. Kazi yao ilikuwa ni kuhakikisha wanapost picha zinazoinyesha Israel inafanya vizuri vitani.
Wamefungua kesi hiko kwa kutolipwa kama walivyoahidiwa.

Contents siku hizi ni bidhaa kama zinazouzwa dukani. Kwa hiyo msikomae sana Wazee wengine kufanya hivi wanamikataba. Hii ndio dunia.
Hizi story za kujitungia TU kama zile Mtume hazinaga source
 
🗣 🇮🇱 Israel wants ‘total destruction’ of Iran — former Israeli intel official

💬 "If we can have a coup, great. If we can have people on the streets, great. If we can have a civil war, great. Israel couldn’t care less about the future... [or] the stability of Iran," Israeli analyst and former Israeli intelligence official Danny Citrinowicz told FT.


"The ultimate goal, however, is the 'total destruction of this [Iran’s] regime, of everything that holds it together,'" he added.
 

Attachments

  • Screenshot_20260305_115632_Telegram.jpg
    Screenshot_20260305_115632_Telegram.jpg
    47.9 KB · Views: 14
Hawa wanadhani kuwa hii vita Marekani kajiandaa jana
US alituma Aircraft Carrier 2 na kabla ya hizo na baada ya hizo ndege za mizigo ya kijeshi zilienda vya kutosha middle east.

Bado kuna kisiwa cha Diego Garcia na mbaya zaidi kwa Iran ni kwamba Israel haipo mbali, so uwesekano wa US kuishiwa silaha ni kama mzaha tu.
 
Back
Top Bottom