Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Mkuu hilo swali nimeligeuza ili upate kufahamu kwa hizo nchi za Israel na Iran zinapiga marufuku hizo media

Lile ambacho unahisi Israel anakificha ndio hiko hiko Iran anakificha kwa kuzuia hizo media na mitandao ya kijamii.

Pia unapaswa kujua hata Iran waliipiga ban Al Jazeera kwa zaidi ya mwaka
Kuna mwenzako nimepost habari hapa kutoka CNN ,ikielezea uharibifu mkubwa kwenye kambi za US middle, anasema CNN wapo kinyume na Republic? Vipi na wewe unakubali.....?

Kupigwa ban kawaida ila hajaondolewa.
 
Footage captures the seventeenth wave of missiles launched as part of the "True Promise 4" operation, targeting positions of the zionist entity and its American ally.
Haya madude wanaficha wapi?wanachapwa sana ila hayaishi, us na israel wakitaka ushindi wapige wamalize hivyo virushia makombora, hapo Iran watasalimu amr la sivyo sion wanamaliza vipi hii vita
 
Kilichofa
Mossad ambao wameshindwa fahamu mateka walipo kwenye kieneo kama mitaa mitatu cha Gaza? ambacho kimezungukwa pande zote na Israel?
Kilichofanyika kuchelewesha kuokoa mateka ulikua mpango wa makusudi, ili wapate muda mrefu wa kuwaua waarabu wa Gaza, mana tangu oktoba 7 waisraeli waliuliwa kama 1200 ivi na hao waarabu wa gaza wakauliwa roughly 70,000 na baada ya kuridhika ikabidi uitishwe mpango geresha wa kusitisha mapigano.
 
💥💥💥💥
Jeshi la Israel: siku ya leo tumefanya mashambulizi maeneo haya mashariki mwa Tehran
20260304_190635.jpg
 
Haya madude wanaficha wapi?wanachapwa sana ila hayaishi, us na israel wakitaka ushindi wapige wamalize hivyo virushia makombora, hapo Iran watasalimu amr la sivyo sion wanamaliza vipi hii vita
Yapo sehemu safe na salama hivyo ni vigumu kuharibiwa na Marekani na Israel na sio moja tu yapo mengi takribani kila mkoa wa Iran.
 
Yes ila watu wa kawaida mostly, Iran hawafichi Vifo vyao, Kati ya hao wengi wamefia mashuleni na Hospitali, watoto wadogo etc.

Iran pia ana uwezo huo akiamua kulenga watoto na wanawake ila atleast wao Wana deal na military infrastructure.
Acha mambo yako, sa ngapi Iran katoa taarifa zake au hao wananchi wa kawaida wanakufata wewe PM. Iran kazima hadi internet na hizo record ni kulingana na taasisi nyingine tu na sio serikali
 
Kuna mwenzako nimepost habari hapa kutoka CNN ,ikielezea uharibifu mkubwa kwenye kambi za US middle, anasema CNN wapo kinyume na Republic? Vipi na wewe unakubali.....?

Kupigwa ban kawaida hila hajaondolewa.
"kupigwa ban kawaida Ila haijaondolewa" Mkuu hiki umeandika nini? Inawezekana kingereza kigumu ngoja nikuandikie hivi
CNN na BBC hazirihusiwi kufanya kazi Iran, au ngoja nikuandikie kama ulivyoandika wewe, CNN na BBC zimefukuzwa Iran
 
🚨 EXPOSED: Who exactly was responsible for killing 171 schoolgirls in Minab?

On the morning of February 28, one of the first Israeli missile strikes hit an elementary school in Minab, Iran. 171 girls and 14 female teachers were killed.

Israel and the US want the world to look away. But one man owns this strike — IDF Chief of Staff, Gen. Eyal Zamir.

Here’s why he’s accountable:

🔴 Strikes abroad are approved by the General Staff — and the first waves are personally ordered by its Chief. That’s Zamir.

🔴 Target selection and timing are managed by the Operational Directorate, in lockstep with the Chief of Staff.

🔴 Zamir himself praised the "significant achievements" of the first day’s strikes. He knew exactly what — and who — was hit.

171 girls. He knew the death toll. And he called it an achievement.
 

Attachments

  • Screenshot_20260304_191717_Telegram.jpg
    Screenshot_20260304_191717_Telegram.jpg
    82.4 KB · Views: 10
  • Screenshot_20260304_191728_Telegram.jpg
    Screenshot_20260304_191728_Telegram.jpg
    144.8 KB · Views: 17
Acha mambo yako, sa ngapi Iran katoa taarifa zake au hao wananchi wa kawaida wanakufata wewe PM. Iran kazima hadi internet na hizo record ni kulingana na taasisi nyingine tu na sio serikali
Wana brief kila masaa kadhaa, mfano hio shule ya watoto vifo vilikua 40 siku ya Kwanza kila wakifukua wanatoa maiti mpaka zimefika hizo 165 wakasema wamameliza suala la uokoaji na hio ni idadi ya mwisho, kuna vifo vya Red crescent, kuna Chuo kililipuliwa, residential area nyengine etc. Mpaka wanajeshi wao waliokufa kuna data.

We unafkiri kwanini source za Vifo zinatokea middle east kama Uturuki na majirani wengine, sababu wanapata brief toka Iran.

Na hao hao Iran pia wanatoa stats za Jeshi la Marekani, kama jana walivyopiga marine wa Dubai Wana claim kuua Marine zaidi ya 100.
 
🚨 EXPOSED: Who exactly was responsible for killing 171 schoolgirls in Minab?

On the morning of February 28, one of the first Israeli missile strikes hit an elementary school in Minab, Iran. 171 girls and 14 female teachers were killed.

Israel and the US want the world to look away. But one man owns this strike — IDF Chief of Staff, Gen. Eyal Zamir.

Here’s why he’s accountable:

🔴 Strikes abroad are approved by the General Staff — and the first waves are personally ordered by its Chief. That’s Zamir.

🔴 Target selection and timing are managed by the Operational Directorate, in lockstep with the Chief of Staff.

🔴 Zamir himself praised the "significant achievements" of the first day’s strikes. He knew exactly what — and who — was hit.

171 girls. He knew the death toll. And he called it an achievement.
Nyie tushawazoea mkipigana na Israel taarifa ni wanawake na watoto tu!!
 
Naona unajitahidi kutafuta faraja. Kwahio wewe unafikiri USA hawajui capacity ya Iran kiasi wamchokoze bila enough weapons? Yaani wachambuzi wa Tz mnajua kuliko walioanzisha vita.
Hawa wanadhani kuwa hii vita Marekani kajiandaa jana
 
📹 Videos emerge online showing the aftermath of Israeli strikes on Lebanese towns of Nabatiya and Sur
 

Attachments

  • VID_20260304_192209_775.mp4
    778.9 KB
  • VID_20260304_192207_343.mp4
    1.2 MB
  • VID_20260304_192204_695.mp4
    675.2 KB
  • VID_20260304_192201_580.mp4
    895.2 KB
Kilichofa

Kilichofanyika kuchelewesha kuokoa mateka ulikua mpango wa makusudi, ili wapate muda mrefu wa kuwaua waarabu wa Gaza, mana tangu oktoba 7 waisraeli waliuliwa kama 1200 ivi na hao waarabu wa gaza wakauliwa roughly 70,000 na baada ya kuridhika ikabidi uitishwe mpango geresha wa kusitisha mapigano.
Israel ilikuwa bado na uwezo wa kuokoa mateka na kuiharibu Gaza au kuua watu kwa kuendeleza vita. Na ingekuwa ushindi mkubwa kwao na ingeandaliwa documentary, movies na vitabu kama operation Entebbe.

Hio si mara ya kwanza intel yao kufeli.

Netanyahu alikuwa anahitaji sana mateka waokolewe kwa ajili ya kumpatia political mileage na kuonyesha dunia uwezo mkubwa wa jeshi la Israel. Kumbuka sera ya Israel ni kuto ku negotiate na terror group, na wao wanasema Hamas ni terror group, lakini ilibidi wayarudie matapishi, wakakubali mazungumzo na terror group na kukubali matakwa.
 
Back
Top Bottom