Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Sasa wapeleke wakasafiche uchafu uchafu mdogo mdogo uliobaki vita visiishie mdomoni,truth,twitter na kwenye press conference.

Marekani ya sasa imekua na viongozi waongeaji kama msema wa Iraq ya Saadam too much talking
Ngoja tusubiri mkuu
 
HCkWFUIWQAAtEb3
 
Yaani Tehran na Gaza hakutakuwa na utofauti...ISRAEL anaenda kuigeuza Tehran kuwa GAZA anachukua udhibiti wa Vinu vya Nuclear na Visima vya Mafuta
Naomba Israel wachukue na lemba la gaidi Ayatollah wakat anapelekewa Moto 🤣🤣🤣

lile lemba Kuna wapumbavu wengi sana wanaweza kununua kwa mabilion kwahiyo ni biashara mzur
 
Back
Top Bottom