City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Israel imeshambulia kwa makombora kambi ya mostazafan district 14 Tehran
Israel imeshambulia kwa makombora kambi ya mostazafan district 14 Tehran
Mwehu anachekesha akiwa hatokei kwako!Jaman haya nashambulizi ya Iran kwa magaidi wa Iran hadi yananipa nyege
Na hivi Nina mshangazi mlebanon anaichukia Iran bas leo nampiga vikombe vya kutosha😋
Ayatollah ameachia watu msala🤣🤣🤣🤣💥💥💥💥
Waziri wa vita wa marekani: viongozi wa juu wa serikali wameuwawa, mrithi aliyetakiwa kuchaguliwa Kama ayatollah amekufa, au hajulikani alipo au yupo chini ya handaki
Wakuu aa jeshi, maafisa wa kati wa jeshi na wa vyeo vya kawaida hawawasiliani au kuongea
Yakifa magaidi ni sherehe duniani💥💥💥💥
Naibu waziri wa mambo ya nje wa srilanka: takribani watu 80 wameuwawa baada ya marekani kufanya shambulio kwenye meli ya Iran
View attachment 3552346
Wanaweka kama?💥💥💥💥
Msemaji wa jeshi la Iran: Kama israel watashambulia ubalozi wetu wa Lebanon basi tutashambulia balozi zao mbalimbali
Vita ni mbaya sana. Kulikuwa na watu 180 kwenye hio meliThe moment US submarine torpedoes Iranian Navy frigate IRIS Dana off the coast of Sri Lanka
The strike, which occurred on Tuesday, killed at least 80 people, Sri Lanka said
Ngoja tusubiri mkuuWanaweka kama?
suala sio kupigana kwa muda gani, inategemeana unapigana na nani bossAmka utajikojolea kwenye mkeka.
Nchi unayozungumzia ina historia ya kupigana kwa miaka nane na haiku surrender.
Unadhani wao hawajui wanachokifanya hadi kukataa ceasefire!?
Hivi hao wazayuni hawajachoka kweli, maana wakitoka nje kupunga hewa dakika 2 ajisaidie, king'ora... mtu anakimbia kwenye shelter hata hajajisafisha... aisee mbona wana maisha magumu sana..💥😳💥💥
Iran imerusha tena makombora kuelekea Israel, tangazo limetoka kuingia shelters
View attachment 3552354
Naona unajitahidi kutafuta faraja. Kwahio wewe unafikiri USA hawajui capacity ya Iran kiasi wamchokoze bila enough weapons? Yaani wachambuzi wa Tz mnajua kuliko walioanzisha vita.View attachment 3552353
Sasa hivi pac-2 missile (za 2000) ndio zinatumika baada ya pac-3 interceptor, moja ya Evidence kwamba USA ameanza kuishiwa interceptor.
Afadhali wao wanapo pa kujihifadhi, vipi Wairan walitelekezwa na karibu huku washakata moto 🙂Hivi hao wazayuni hawajachoka kweli, maana wakitoka nje kupunga hewa dakika 2 ajisaidie, king'ora... mtu anakimbia kwenye shelter hata hajajisafisha... aisee mbona wana maisha magumu sana..
Na nimeamini maneno ya Iran kwamba Israel king'ora hakitonyamaza...
Hii vita lazima wananchi wanyooshe mikono, huko kwenye shelter kwenyewe hakuna usalama..