Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Na wewe unajua kuliko walioanzisha vita. Yaani US na Israel wakurupuke bila kujua capacity ya Iran kiasi kwamba siku ya 4 waanze kuishiwa interceptor! Kweli wachambuzi wa Bongo mnajua kuliko wanaopigana vita huko.
Sasa mwaka mzima lockheed walikuwa wanatengeneza interceptors 600, juzi hapa ndipo wanataka kuongeza production ifikie 2000.

Mwaka mzima huo, Iran kwa siku anaweza rusha missile 100 na drones za kutosha...
Kazi kwako kupiga mahesabu.
 
Nafikiri unajua details nyingi za ndani. Haya tuambie US alikuwa na stock kiasi gani na sasa hivi kabaki na stock kiasi gami?

BTW kama unapigana vita lazima uanze ku replace unavyotumia au ulitaka wasubiri hadi vita iishe ndio warudishie stock yao? Yaani kusikia wanataka kupitisj
Ha bajeti basi mna conclude wameishiwa. Haya tupe hesabu waliyobaki nayp US.
 
Na wewe unajua kuliko walioanzisha vita. Yaani US na Israel wakurupuke bila kujua capacity ya Iran kiasi kwamba siku ya 4 waanze kuishiwa interceptor! Kweli wachambuzi wa Bongo mnajua kuliko wanaopigana vita huko.
Hizi habari za kupungua kwa makombora ya kutungulia ndege na makombora zimelipotiwa na CCN ikiwanukuu maafisa wa jeshi la Marekani yenyewe ila ww mmarekani wa tandahimba unabisha.
Tena sio ya kutungulia ndege hata makombora ya tomawhaka yana karibia kuisha.
 
Iran kuna wayahudi wengi kuliko nchi yeyote middle East ukiitoa Israel, kuna synagogues zao za kuabudu na kuna makanisa mamia.
Usijidanganye.
Una maanisha nini kulingana na hio video clip?
 
Hivi hao wazayuni hawajachoka kweli, maana wakitoka nje kupunga hewa dakika 2 ajisaidie, king'ora... mtu anakimbia kwenye shelter hata hajajisafisha... aisee mbona wana maisha magumu sana..
Wayahudi hawa hiki maana wao vita ni kama jadi Yao, wewe unasema dakika 2 hao hata kila siku Ned wakiamua Zengekela Halilali na ndiyo maana waliweza kumwangamiza Gaidi Ayatollah Ali Khamenei kiurahisi sana.

Shelter ziko kila makali zimeenea na ndiyo maana wayahudi hawafi wengi kwa sababu wao wana msamiati use Al Safety First mambo mengine baadaye.

Wafuga midevu na Majini mnadanganyana tu huko kwenye Madrasa yenu Kwenye shelter kuna kila kitu Huduma zote ziko huko. Wewe endelea kuteseka na wana wa Israel tu
 
Hizi habari za kupungua kwa makombora ya kutungulia ndege na makombora zimelipotiwa na CCN ikiwanukuu maafisa wa jeshi la Marekani yenyewe ila ww mmarekani wa tandahimba unabisha.
Tena sio ya kutungulia ndege hata makombora ya tomawhaka yana karibia kuisha.
duu supapower anaishiwa makombora witin 4days. HII HABARI INATIA MASHAKA.
 
Ni mke wa Netanyahu kama sikosei anaitwa sarah. Hawa ni wazungu pure wanaoendelea kudanganya na kupumbaza watu wengi kama Echolima1 A.K.A choo cha kulima. Bila kujua ni wazungu wa ulaya ambao ni fake Jewish.
Umetumia kigezo gani kujua huyu ni mzungu na huyu ni Muyahudi? Safari hii mtateseka sana na Wana wa Israel!!
 
Hizi habari za kupungua kwa makombora ya kutungulia ndege na makombora zimelipotiwa na CCN ikiwanukuu maafisa wa jeshi la Marekani yenyewe ila ww mmarekani wa tandahimba unabisha.
Tena sio ya kutungulia ndege hata makombora ya tomawhaka yana karibia kuisha.
Kuna watu huwa hata posts zao sijibu mmoja ni wewe.
 
Nafikiri unajua details nyingi za ndani. Haya tuambie US alikuwa na stock kiasi gani na sasa hivi kabaki na stock kiasi gami?

BTW kama unapigana vita lazima uanze ku replace unavyotumia au ulitaka wasubiri hadi vita iishe ndio warudishie stock yao? Yaani kusikia wanataka kupitisj
Ha bajeti basi mna conclude wameishiwa. Haya tupe hesabu waliyobaki nayp US.
Hizo habari zipo kila sehemu, sio kwamba nafahamu za ndani, hizo zipo public.
Lockheed Martin ni kampuni ipo New York Stock Exchange watu wanaunua hisa, habari kama za production za interceptors kama za PAC-3 zinawekwa hadharani.

Trump alianza na kusema vita itachukua siku kadhaa, baadae anasema week 4, baadae inaweza kuchukua zaidi ya mwezi au na kuendelea.

Yeye mwenyewe hana uhakika, kama hana uhakika ina maana hata silaha ambazo walikuwa wamezipanga kuzitumia hazitoendana na vita inayo endelea.
Ina maana wameandaa silaha za siku kadhaa na Iran amekataa mazungumzo, vita inakwenda kuwa ndefu.

Vita ya siku 12 US kwenye destroyer zake zilizokuwa mashariki mwa bahari ya Mediterranean zikiwa kazi yake ni ku intercept missiles zinazotoka Iran, waliishiwa interceptors.
 
Okay.
 
Back
Top Bottom