Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Nina maanisha uwezekano wa mapandikizi ni mkubwa ,kwa sababu kuna wayahudi wengi tu ambao wanaishi Iran.
Ni kawaida kwa watu walioshindwa kutafuta visingizio kuficha kushindwa kwao kuwa na wayahudi wengi si sababu ya Iran kushindwa!!

Huko Gaza Hamas walishindwa wakateka visingizio lukuki sasa hivi tena kwa Iran mmeanza kutoa milio!!!
 
US anaishiwa interceptor huko siku ya 4...
Tulia..
Interceptor zikiisha , USS Ford na Lincoln zinazamishwa..
 
Hakuna kitu unachojua kuliko walioanzisha vita. Wewe endelea kutafuta faraja kwa kipigo anachopewa Iran. Ndio kwanza siku 4 hawategemei vita iishe ndai ya wiki.
Atleast mwenyezi mungu kanipa Akili kujua hapa MTU kakurupuka ama ni plan ya toka mwanzo.

Vipi na kule Israel si tulizoea kuona iron dome kila saa, mbona sasa hivi hatuzioni tena? Yakipigwa mabomu unaona Tu interceptor moja ama mbili.

Vipi na Bloomberg chombo kikubwa cha Marekani cha biashara ambacho kinajua kushinda wote humu nao mbona wanasema hivyo hivyo?
Screenshot_2026-03-04-18-34-00-80_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

Source

Na hawana Article moja zipo kibao ndani ya siku 2.
 
Tanker traffic through the Strait of Hormuz has CRATERED

New data shows vessel transits are down a staggering 90% vs. last week.

Oil prices could surge to $100 if Iranians keep Strait of Hormuz closed for a few weeks, according to Goldman Sachs.
 
Attachments

  • Screenshot_20260304_183903_Telegram.jpg
    Screenshot_20260304_183903_Telegram.jpg
    57.5 KB · Views: 8
  • VID_20260304_183837_854.mp4
    3.6 MB
US anaishiwa interceptor huko siku ya 4...
Tulia..
Interceptor zikiisha , USS Ford na Lincoln zinazamishwa..
Silaha kubwa sana za waarabu na wafuasi wao ni Uongo!!!

Nilishawaambia safari hii Iran kayakanyanga lazima atayooka tu Majigambo yake sasa hivi hatuwaoni kashikwa pabaya sasa hivi hana meli-vita zote 9 zimeharibiwa

Kwenye mlango bahari wa Hormuz hawezi tena kulinda na bado!!
 
Attachments

  • -475526717426586476.mp4
    473.8 KB
  • IMG_5093.jpeg
    IMG_5093.jpeg
    107.5 KB · Views: 10
  • IMG_5094.jpeg
    IMG_5094.jpeg
    106.8 KB · Views: 12
Sasa wapeleke wakasafiche uchafu uchafu mdogo mdogo uliobaki vita visiishie mdomoni,truth,twitter na kwenye press conference.

Marekani ya sasa imekua na viongozi waongeaji kama msema wa Iraq ya Saadam too much talking
😄😄
 
Atleast mwenyezi mungu kanipa Akili kujua hapa MTU kakurupuka ama ni plan ya toka mwanzo.

Vipi na kule Israel si tulizoea kuona iron dome kila saa, mbona sasa hivi hatuzioni tena? Yakipigwa mabomu unaona Tu interceptor moja ama mbili.

Vipi na Bloomberg chombo kikubwa cha Marekani cha biashara ambacho kinajua kushinda wote humu nao mbona wanasema hivyo hivyo?
View attachment 3552400
Source

Na hawana Article moja zipo kibao ndani ya siku 2.
Ndio maana unaona shaheed 136 na mwendo wake wa kobe zinapiga target hadi unajiuliza ina maana hadi hio drone na kelele zake zote wameshindwa kudungua?

Tatizo hapo ni kwamba wanazina na wana uwezo, lakini ukitaka kudungua kila shaheed drone interceptor zinaisha, na shaheed drone Iran wanzo hazihesabiki, very cheap.

Hivyo inabidi waziachie tu kupiga target ili ku budget interceptors ambazo zinabaki kulinda maeneo muhimu.

Hii vita US/Israel wameingia cha kike
 
Back
Top Bottom