Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Myahudi kamuondoa Al Jazeera kwenye ardhi yake ,alikuwa anaogopa/anaicha nini nini?

Vyombo vya magharibi wakati wa vita ,wanakuwa upande wa US haijalishi ni chama gani, refer Bush kipindi kile na Iraq (Republican),Obama na Libya (Democrats),vyombo vyote vya habari US,ndizo zilikuwa zikisambaza propaganda za uongo.
Mbona nyie mmezima internet na hatusemi,😊
 
Hizo habari zipo kila sehemu, sio kwamba nafahamu za ndani, hizo zipo public.
Lockheed Martin ni kampuni ipo New York Stock Exchange watu wanaunua hisa, habari kama za production za interceptors kama za PAC-3 zinawekwa hadharani.

Trump alianza na kusema vita itachukua siku kadhaa, baadae anasema week 4, baadae inaweza kuchukua zaidi ya mwezi au na kuendelea.

Yeye mwenyewe hana uhakika, kama hana uhakika ina maana hata silaha ambazo walikuwa wamezipanga kuzitumia hazitoendana na vita inayo endelea.
Ina maana wameandaa silaha za siku kadhaa na Iran amekataa mazungumzo, vita inakwenda kuwa ndefu.

Vita ya siku 12 US kwenye destroyer zake zilizokuwa mashariki mwa bahari ya Mediterranean zikiwa kazi yake ni ku intercept missiles zinazotoka Iran, waliishiwa interceptors.
Una Akili sana 💯

Ni vile tu humu ndani Kuna usimba na yanga ila umekwiva sana katika kuwa well informed Kwa mtu mwenye Akili timamu anapo kufuatilia Akiweka mahaba pembeni anaweza kutambua the way ulivyo Na high IQ , unaweza kutetea hoja zako with valid evidence tofauti na wengi humu
 
Na mlisema mkiwa kwenye maombolezo hamtaki suala la amani, sasa hata viongozi kuwasiliana hawawezi na nasikia ayatollah mpya yuko kwa bunker 🤭
Mpaka Israel iwe kama Gaza.
Na sasa interceptors zinaisha.
Israel hivi sasa ipo kwenye dilemma, baadhi ya shaheed drones wanadungua, nyingine wanaachia.
 
Ila kale ka rais ka Iran wa kuitwa Masood muhuni sana


yule faza huwa hashiki simu kipind Cha Vita yeye kazi yake huwa anamwachia msala abas wazir wa diplomat wa Iran🤣🤣🤣

alikoswa koswa kwenye Vita ya siku 12 akavunjwa mguu
 
Watu zaidi ya buku washakufa Iran yaani kiufupi Iran kwenye maandalizi ya vita huwa anawaza missiles na drones tu vingine vyote anasahau,
Yes ila watu wa kawaida mostly, Iran hawafichi Vifo vyao, Kati ya hao wengi wamefia mashuleni na Hospitali, watoto wadogo etc.

Iran pia ana uwezo huo akiamua kulenga watoto na wanawake ila atleast wao Wana deal na military infrastructure.
 
Myahudi kamuondoa Al Jazeera kwenye ardhi yake ,alikuwa anaogopa/anaicha nini nini?

Vyombo vya magharibi wakati wa vita ,wanakuwa upande wa US haijalishi ni chama gani, refer Bush kipindi kile na Iraq (Republican),Obama na Libya (Democrats),vyombo vyote vya habari US,ndizo zilikuwa zikisambaza propaganda za uongo.
Mkuu haya mataifa ukitaka kulinganisha hivi utapotea. Iran walipiga marufuku cnn toka 2006, amepiga ban bbc, amepiga ban instagrt na mitandao mengie. Unataka kusema iran Kuna kitu wanaficha?
 
Yes ila watu wa kawaida mostly, Iran hawafichi Vifo vyao, Kati ya hao wengi wamefia mashuleni na Hospitali, watoto wadogo etc.

Iran pia ana uwezo huo akiamua kulenga watoto na wanawake ila atleast wao Wana deal na military infrastructure.
Huu ni uongo, kote kote wanacheza foul. Iran anashambulia pia maeneo ya raia
 
Safi
Atleast mwenyezi mungu kanipa Akili kujua hapa MTU kakurupuka ama ni plan ya toka mwanzo.

Vipi na kule Israel si tulizoea kuona iron dome kila saa, mbona sasa hivi hatuzioni tena? Yakipigwa mabomu unaona Tu interceptor moja ama mbili.

Vipi na Bloomberg chombo kikubwa cha Marekani cha biashara ambacho kinajua kushinda wote humu nao mbona wanasema hivyo hivyo?
View attachment 3552400
Source

Na hawana Article moja zipo kibao ndani ya siku 2.
Safi , Hii tu ilitosha kumaliza ubishi ,
 
Kwani wewe Myahudi kumtimua Al Jazeera alikuwa anaficha nini?
Mkuu hilo swali nimeligeuza ili upate kufahamu kwa hizo nchi za Israel na Iran zinapiga marufuku hizo media

Lile ambacho unahisi Israel anakificha ndio hiko hiko Iran anakificha kwa kuzuia hizo media na mitandao ya kijamii.

Pia unapaswa kujua hata Iran waliipiga ban Al Jazeera kwa zaidi ya mwaka
 
Back
Top Bottom