Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Watu zaidi ya buku washakufa Iran yaani kiufupi Iran kwenye maandalizi ya vita huwa anawaza missiles na drones tu vingine vyote anasahau,
 

Attachments

  • Screenshot_20260304-184422.jpg
    Screenshot_20260304-184422.jpg
    71.6 KB · Views: 9
Silaha kubwa sana za waarabu na wafuasi wao ni Uongo!!!

Nilishawaambia safari hii Iran kayakanyanga lazima atayooka tu Majigambo yake sasa hivi hatuwaoni kashikwa pabaya sasa hivi hana meli-vita zote 9 zimeharibiwa

Kwenye mlango bahari wa Hormuz hawezi tena kulinda na bado!!
Iran na jeshi la maji wapi na wapi?
Iran kuimaliza ipigwe kwenye underground missiles zake...
Kupiga hayo mabati ni kujitekenya na kucheka mwenyewe...
 
Pro Iran njooni mtueleze kwanini maombolezo ya mtu anayefaidi vigoli 72 vya kinyaturu yamesogezwa mbele😊
 
Tanker traffic through the Strait of Hormuz has CRATERED

New data shows vessel transits are down a staggering 90% vs. last week.

Oil prices could surge to $100 if Iranians keep Strait of Hormuz closed for a few weeks, according to Goldman Sachs.

Iran na jeshi la maji wapi na wapi?
Iran kuimaliza ipigwe kwenye underground missiles zake...
Kupiga hayo mabati ni kujitekenya na kucheka mwenyewe...
Hormuz atailinda vipi kama Hana meli-vita?
 
🚨 Footage of an Iranian drone exploding at the Ras Al Khaimah port in the Omani city of Salalah.
 

Attachments

  • VID_20260304_185138_775.mp4
    561.8 KB
Kwa sababu Trump kasogeza mbele siku za vita, alisema siku kadhaa, sasa anasema miezi au zaidi..
Na mlisema mkiwa kwenye maombolezo hamtaki suala la amani, sasa hata viongozi kuwasiliana hawawezi na nasikia ayatollah mpya yuko kwa bunker 🤭
 
Hizo media nyingi zinamilikiwa na chama cha democratic ndio maana wanaipondea Marekani, ila ukisema uanalyze uharibifu wa Iran utakimbia ndio maana kaamua kuzima internet 🛜
Myahudi kamuondoa Al Jazeera kwenye ardhi yake ,alikuwa anaogopa/anaficha nini?

Vyombo vya magharibi wakati wa vita ,wanakuwa upande wa US haijalishi ni chama gani, refer Bush kipindi kile na Iraq (Republican),Obama na Libya (Democrats),vyombo vyote vya habari US,ndizo zilikuwa zikisambaza propaganda za uongo.
 
Hizi habari za kupungua kwa makombora ya kutungulia ndege na makombora zimelipotiwa na CCN ikiwanukuu maafisa wa jeshi la Marekani yenyewe ila ww mmarekani wa tandahimba unabisha.
Tena sio ya kutungulia ndege hata makombora ya tomawhaka yana karibia kuisha.
😄😄 Muache RRONDO tafadhali
 
Back
Top Bottom