King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,350
- 6,098
Press zote za kuongea kuhusu vita vya Iran aachiwe tu General Dan Caine sio hao wanasiasa.
Sasa hapo kuna nini exceptional?Ni ukweli, hata we tafakari, mtu yupo Tehran anabofya keyboard, missiles inakwenda hadi Tel Aviv... yule wa Tel Aviv nae anabofya button inatoka missile kuzuia missile ya Iran.
Sasa Iran imewekeza heavily kwenye aina hio ya vita, yaani ni missiles tu, kitu ambacho US na Israel hawakutoa kipaumbele hiko kwenye vita ya namna hio.
Hawakujipanga muda mrefu kuwa na interceptors...Sasa hapo kuna nini exceptional?
Ni General Dan Caine, mkuu wa majeshi ya Marekani [Chairman of the Joint Chiefs of Staff].
Nimemtazama na kumsikiliza leo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika baada ya operesheni ya kumkamata Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ilipomalizika kwa mafanikio.
View: https://youtu.be/qe2RuYI8KZY?si=jW9g514EO5u_65aS
Ukiambiwa kwamba huyu jenerali ni msomi na anajua anachokifanya kwenye hiyo kazi yake, halafu umuone anavyoelezea namna walivyoifanikisha hiyo operesheni, ni lazima utakubali tu kwamba jamaa ni “kichwa”
Anaongea kwa kueleweka bila kigugumizi wala kujing’ata ng’ata...
- Nyani Ngabu
![]()
- huyu kujivunia kwani majeshi maridhiano mkuu mkuu wa majeshi
- Replies: 102
- Forum: Jukwaa la Siasa
Mikwara mingi huku Tehran hakukaliki! Wakazibwengi wamekimbia TehranIRGC announces new wave of Operation True Promise 4.
Dah IRAN wamegoma kupoa.
Kwahiyo hapo umefanye?duu supapower anaishiwa makombora witin 4days. HII HABARI INATIA MASHAKA.
IRGC siku zaidi ya mbili sasa hawana jipya. Kuna siku tuliwasubiri wamalize kula daku tuone kichapo tangubsiku hio hadi leo hawatumi makomboro kama ile 12-day war.ngoja kwanza IRGC wafuturu kwanza maana Iran na Tanzania tun
Hawakujipanga muda mrefu kuwa na interceptors...
Kwenye hii vita na Iran, kitu cha msingi kabisa ni interceptors...
Maana Iran wana missiles nyingi sana..
Mbinu za vita unaitwa ujae ubutuliwe haswaaUS wanadai mashambulizi ya missiles na drone kutoka Iran yamepungua kwa kama 20%
Nimeona video mzigo unatokea ardhini kwenye vumbi inawezekana kutumia launch pad ishakuwa ngumu.IRGC siku zaidi ya mbili sasa hawana jipya. Kuna siku tuliwasubiri wamalize kula daku tuone kichapo tangubsiku hio hadi leo hawatumi makomboro kama ile 12-day war.
Mkuu hata tel avivi watu wanakimbia makazi yao kwa kuingia kwenye maandaki ambayo baadhi Iran ameyafukua na kuua wengi. Lakini pia kwenye ile vita ya siku 12 wayahudi wengi walikimbia Israel. Hivyo hayo ni matokeo ya vita, ngoja tuone mda unavyozidi kwenda ni nani atashenyentwa na kuomba cease fire au kupigwa kabisa na kuserrender kwa kumalizwa nguvu zake za kijeshi.Mikwara mingi huku Tehran hakukaliki! Wakazibwengi wamekimbia Tehran
JF kuna jukwaa la Mapishi fuatilia hilo huku unajichosha Bure tu!!Hesbullah vipi na yeye anamchango wowote kwenye hili pambano. Nasikia wako ground uso kwa uso na Idf.
Kama Syria ni kibaraka wa US kwa nini wasiungane na IDF na Jeshi la Lebanoni kuwasafisha kabisa hawa hesbullah?
Pia nasikia houth wanatafuta sababu Saudia wajichanganye ili waje kwa ground hadi kumtimua mfalme wa Saudia.
Kuna haja hii vita wapigane chapchap tuendelee na ishu nyingine. Kila nikijaribu kuacha kufuatilia najikuta ninafuatilia.
SawaJF kuna jukwaa la Mapishi fuatilia hilo huku unajichosha Bure tu!!
Hakuna kitu unachojua kuliko walioanzisha vita. Wewe endelea kutafuta faraja kwa kipigo anachopewa Iran. Ndio kwanza siku 4 hawategemei vita iishe ndai ya wiki.
Exactly....sasa kama wanamiliki anga siwashuke chini waanze kuwatafuta chocho hadi chocho mkuu! auMkuu missiles zinatoka ardhini, wao wanamiliki anga. Kutawala anga kwa maana wanaingiza ndege zao muda wowote na kutoka, wanapiga popote wanapotaka. Naamini umeelewa
Au ulimaanisha kwa nn hizo fighter jets hazizuii ballistic missiles?