joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Mbona wewe unakwepa ya Aljazeera.Mkuu huo ulikua mfano tu wa al Jazeera, .mbona unakwepa kuzungumzia cnn na BBC kuzuiliwa kabisa Iran?
Mbona wewe unakwepa ya Aljazeera.Mkuu huo ulikua mfano tu wa al Jazeera, .mbona unakwepa kuzungumzia cnn na BBC kuzuiliwa kabisa Iran?
Hesbullah ukiona statistics zao kama ninkweli wanasema vifaru zaidi ya sita na leo wameshusha iron dome moja. Wale Hebullah ground na IDF vita huwa inakuwa kali sana labda kama wamepoa siku hizi.Kwa uchunguzi wa Uingereza aliepiga kambi yake Cyprus ni Hezbollah na sio Iran, pia sasa hivi battle ya IDF na Hezbollah ni ground mpakani, wanarusha video nyingi wanavyolipua merkava
Mkuu mimi siwezi kukwepa. Nasema hapa Israel wameifungia Al Jazeera, kuna mtu anaweza kubisha hili?Mbona wewe unakwepa ya Aljazeera.
Wewe endelea kupiga propaganda hapa,wenzako wanajua kila kitu ndio maana wakaingia vitani. Muda si mrefu mtaanza kampeni ya pray for Iran. Yaani Marekani anaeuza silaha Dunia nzima halafu yeye aishiwe silaha,hivi mnatumia logic gani kujenga hoja kama hizoMwaka mzima Lockheed wanatengenea PAC-3 interceptors 620, toka june last year hadi leo ni miezi mingapi?
Kubadili strategy za mapambano, uvmbuzi ,utengenezaji na uboreshaji wa silaha inachukua miongo, we unakuja kunipa story za miezi...
Bad enough wakijipanga hio miongo, Iran itakuwa imejizatiti mara dufu, hivyo wameona waingie mchezoni na nje ya matarajio wamekutana na kitu ambacho hawakutegemea...
Unaongea sijui kitu gani, ile vita ni serikali ya Lebanon ilishinikiza Hezbollah wasipigane, IDF walifika mpakani kwa lengo la kuingia Lebanon hawakupita.Dah hivi huu ujasiri mnautoa wapi,eti Hezbollah wapo nondo Ardhini si mwaka jana tuu hapa mliwakataa hawa.
Yap vitu vingi wanavyoclaim kulipua ni mabox na mambao, Wana trick camera zile na 3D models hivyo zinashindwa kutofautisha.Hesbullah ukiona statistics zao kama ninkweli wanasema vifaru zaidi ya sita na leo wameshusha iron dome moja. Wale Hebullah ground na IDF vita huwa inakuwa kali sana labda kama wamepoa siku hizi.
Iran nao wametangaza jeshi lao la ardhini kuingia kazini. Inaonekana kuna Wakurdi wanaandalia kwa support ya US kuanza kuvamia.
Pia IDF na US Commandos wanaingia Iran na kufanya operation kimyakimya kuchukua data za kusurveillance.
Mfano kuna baadhi ya mashambulizi wanadai kulipua ndege zimepaki kumbe ni picha za ndege zimechorwa nyingi ya ndege za Iran zilifichwa Underground.
Bila ground force US na IDF kutoboa watatumia muda mrefu.
Nyie😁,,hizi story huku vijiwe vya kahawa wanavyoadithia🙌,,nachoka😁Jamaa una mbwembwe wewe!hizo mbwembwe mwenyewe unajiona ushakuwa myahudi hapo! Kwamba mipango yote unaijua! Sipati picha hapo kitaa kwenu unavyojitutumua kuwalisha matango pori
Serikali ya Lebanon waliongea na Hezbollah baada ya vita, Ila vita ya mpakani walipigika vizuri Tu, watu wana kumbukumbu fupi kama Una Ile video IDF na helicopter wakaenda komba maiti iweke.Unaongea sijui kitu gani, ile vita ni serikali ya Lebanon ilishinikiza Hezbollah wasipigane, IDF walifika mpakani kwa lengo la kuingia Lebanon hawakupita.
Iliwekwa cease fire.
Kwamba Bloomberg, CNN, Washington post wote wanadanganya?Wewe endelea kupiga propaganda hapa,wenzako wanajua kila kitu ndio maana wakaingia vitani. Muda si mrefu mtaanza kampeni ya pray for Iran. Yaani Marekani anaeuza silaha Dunia nzima halafu yeye aishiwe silaha,hivi mnatumia logic gani kujenga hoja kama hizo
Nilichokiana kama US na IDF wanataka vita wringing moja kwa moja ground kama Iraq. Changamoto awamu hii washirika wanapungua.Yap vitu vingi wanavyoclaim kulipua ni mabox na mambao, Wana trick camera zile na 3D models hivyo zinashindwa kutofautisha.
Na Hezbollah vita Yao siku zote ni live tayari washa upload video wakilipua hizo tanks.
Wanasaidia sana Dunia, wachukue nusu ya LebanonWanajesh wa Israel wakiingia kusini Lebanon kuyaangamiza magaidi
😁😁😁Mfano kuna baadhi ya mashambulizi wanadai kulipua ndege zimepaki kumbe ni picha za ndege zimechorwa nyingi ya ndege za Iran zilifichwa Underground.