100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Vita ya siku 12 destroyers za US zilikuwa baharii kuisaidia Israel ku intercept missiles za Iran, walikuwa wanarusha hizo SM-3, SM-3 ina variants ambapo bei yake ni kuanzia $10M hadi $30M. Inategema unahitaji ya aina gani ni kama iPhone , unakuta kuna iPhone 17 , pro, pro max unachagua na storage 256GB, 1TB, 2TB nakadhalika...Wewe endelea kupiga propaganda hapa,wenzako wanajua kila kitu ndio maana wakaingia vitani. Muda si mrefu mtaanza kampeni ya pray for Iran. Yaani Marekani anaeuza silaha Dunia nzima halafu yeye aishiwe silaha,hivi mnatumia logic gani kujenga hoja kama hizo
Hivyo ndivyo US Military Industrial Complex wanapiga hela.
Sasa hizo SM-3 US ilirusha hadi zikaelekea kuisha, alirusha SM-3 zipatazo 80, kwa mwaka mzima wanatengeneza kama 30 ama 40.
Kama anatengeneza silaha ujue vita ya siku 12 , SM-3 zilikuwa zinaisha..