Watamalizwa na IRGC vibaya mno.Exactly....sasa kama wanamiliki anga siwashuke chini waanze kuwatafuta chocho hadi chocho mkuu! au
Hiyo ya kushuka liko mbioni wewe subiri tu utaiona Boots on the Ground!!!Exactly....sasa kama wanamiliki anga siwashuke chini waanze kuwatafuta chocho hadi chocho mkuu! au
"The regime is still intact and they'll just rebuild the missiles, they'll rebuild the nuclear enrichment capability, they'll rebuild their drone capability," US political analyst John Mearsheimer said.
Kwa uchunguzi wa Uingereza aliepiga kambi yake Cyprus ni Hezbollah na sio Iran, pia sasa hivi battle ya IDF na Hezbollah ni ground mpakani, wanarusha video nyingi wanavyolipua merkavaHesbullah vipi na yeye anamchango wowote kwenye hili pambano. Nasikia wako ground uso kwa uso na Idf.
Kama Syria ni kibaraka wa US kwa nini wasiungane na IDF na Jeshi la Lebanoni kuwasafisha kabisa hawa hesbullah?
Pia nasikia houth wanatafuta sababu Saudia wajichanganye ili waje kwa ground hadi kumtimua mfalme wa Saudia.
Kuna haja hii vita wapigane chapchap tuendelee na ishu nyingine. Kila nikijaribu kuacha kufuatilia najikuta ninafuatilia.
Exactly....sasa kama wanamiliki anga siwashuke chini waanze kuwatafuta chocho hadi chocho mkuu! au
Jamaa una mbwembwe wewe!hizo mbwembwe mwenyewe unajiona ushakuwa myahudi hapo! Kwamba mipango yote unaijua! Sipati picha hapo kitaa kwenu unavyojitutumua kuwalisha matango poriHiyo ya kushuka liko mbioni wewe subiri tu utaiona Boots on the Ground!!!
US na Israel ni magaidi..VERY INTERESTING: Iraqi sources say foreign forces—believed to be U.S. and Israeli—conducted a helicopter air-drop in the Najaf desert using 4–7 helicopters, possibly to deploy surveillance equipment or support anti-Iran groups.An Iraqi reconnaissance convoy sent to investigate was hit by airstrikes, leaving one soldier dead and two wounded. Iraqi authorities have launched an investigation and have not officially confirmed who carried out the operation.Source: Independent Arabia
Isael atahapika sana, Hezbollah wapo nondo sana ardhini, jamaa ni shida.Kwa uchunguzi wa Uingereza aliepiga kambi yake Cyprus ni Hezbollah na sio Iran, pia sasa hivi battle ya IDF na Hezbollah ni ground mpakani, wanarusha video nyingi wanavyolipua merkava
Eti US haikutoa kipaumbele kwenye vita ya namna hiyo,unachekesha sana au ndio mahaba yamekuzidi, nchi ambayo haina airforce, navy unategemea itatumia nini zaidi ya kutawanya missile bila mpangilio? Kwani kwenye vita ya siku 12 ya mwaka jana Iran si alikuwa anavurumisha missile na Drones kama hivi sasa utasemaje eti US haikutegemea vita ya namna hii ya Iran kuvurumisha makombora na Drones.Ni ukweli, hata we tafakari, mtu yupo Tehran anabofya keyboard, missiles inakwenda hadi Tel Aviv... yule wa Tel Aviv nae anabofya button inatoka missile kuzuia missile ya Iran.
Sasa Iran imewekeza heavily kwenye aina hio ya vita, yaani ni missiles tu, kitu ambacho US na Israel hawakutoa kipaumbele hiko kwenye vita ya namna hio.
Dah hivi huu ujasiri mnautoa wapi,eti Hezbollah wapo nondo Ardhini si mwaka jana tuu hapa mliwakataa hawa.Isael atahapika sana, Hezbollah wapo nondo sana ardhini, jamaa ni shida.
Hao watu hutawaweza mkuu,wanajua kupamba mambo hatari,dhaifu itaonekana shupavu na kinyume chake,wewe waache wajifurabishe tuu hapa,huko field Iran anasawajika.Sasa hapo kuna nini exceptional?
Mkuu huo ulikua mfano tu wa al Jazeera, .mbona unakwepa kuzungumzia cnn na BBC kuzuiliwa kabisa Iran?Kupigwa ban zaidi ya mwaka na kuondolewa kabisa, wewe unaelewa nini?
Mwaka mzima Lockheed wanatengenea PAC-3 interceptors 620, toka june last year hadi leo ni miezi mingapi?Eti US haikutoa kipaumbele kwenye vita ya namna hiyo,unachekesha sana au ndio mahaba yamekuzidi, nchi ambayo haina airforce, navy unategemea itatumia nini zaidi ya kutawanya missile bila mpangilio? Kwani kwenye vita ya siku 12 ya mwaka jana Iran si alikuwa anavurumisha missile na Drones kama hivi sasa utasemaje eti US haikutegemea vita ya namna hii ya Iran kuvurumisha makombora na Drones.