100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Iran ni wavumilivu sana, walishaua wanasayansi na wakubwa wa jeshi kama Suleiman, kama kifo cha Suleiman walijibu kwa kurusha missiles tu kwenye base ya US na walitoa taarifa, hawa jamaa si wachokozi na ni wastaarabu.Acha maneno wewe yaani mtu aje akushambulie na kukuulia viongozi wako wewe kisha akuambie tuache kupigana na wewe ukubali na hujauwa hata kiongozi wao mmoja huu si utani embu tumia common sense mkuu wewe ungekubali?
US na Israel walipokuja kujichanganya ni sasa hivi kumuua Ayatollah, Iran imekataa mazungumzo, maana imekuwa kama mazoea.