Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Naem Qassam Kama mkuu wa Hezbullah: Hezbollah haitasalimu amri bila kujali matokeo yatakuaje
 
Mkuu wala usiende mbali, Al Jazeera waliondolewa sababu hawakidhi matakwa au habari wanazotaka Israel. Lugha nzuri hawakua pro government

Hivyo hivyo kwa cnn na BBC nao waliondolewa Iran sababu hawakidhi matakwa na habari wanazotaka Iran. Lugha nzuri hawakua pro government
Sio hawakukizi sababu jamaa walikuwa wanatoa data za ukweli kwa walio angamizwa, majengo yaliyopigwa ya Myahudi na Pale Palestina walikuwa wanaonyesha kila uonevu na ubabe wa Myahudi kwa Palestina,hata Iran hazihitaji CNN wala BBC sababu hataki apost habari za kivita na nchi yake,hii ndio sababu kuu.
 
💥💥💥💥
Meseji ya raisi wa Iran Masoud Pezeshkian
Screenshot_20260304-224109_1.jpg
 
Sio hawakukizi sababu jamaa walikuwa wanatoa data za ukweli kwa walio angamizwa, majengo yaliyopigwa ya Myahudi na Pale Palestina walikuwa wanaonyesha kila uonevu na ubabe wa Myahudi kwa Palestina,hata Iran hazihitaji CNN wala BBC sababu hataki apost habari za kivita na nchi yake,hii ndio sababu kuu.
Mkuu mbona umerudia nilichosema? Hawakua pro government, hawakua wakiandika ambacho serikali inataka. Hapa bado hujaelewa ?
 
BREAKING: Kurdish forces from Iraq launched a ground offensive into Iran.Thousands of Kurdish fighters moved into Iranian territory and took combat positions on Monday, March 2.Source: i24NEWS
 
Mkuu mbona umerudia nilichosema? Hawakua pro government, hawakua wakiandika ambacho serikali inataka. Hapa bado hujaelewa ?
Hujasema hiki nilicho kisema mimi. Kwani kwa professionalism na Journalism, mtu anatakiwa akizi vigezo gani ili aweze kurusha habari?Maana wewe umetumia neno kukizi......
 
💥💥💥💥
Msemaji wa ikulu ya marekani: Trump alijulishwa na Netanyahu kuhusu location ya alipo Khamenei
Screenshot_20260304-224631_1.jpg
 
Hujasema hiki nilicho kisema mimi. Kwani kwa professionalism na Journalism, mtu anatakiwa akizi vigezo gani ili aweze kurusha habari?Maana wewe umetumia neno kukizi......
Mkuu tuliza jazba kidogo. Nachomaanisha hawakuwa wakifanya Yale ambayo serikali inapenda/inataka.
Hapa bado hujaelewa?
 
Nursery school inaweza kuwa kivuli cha military base ndio.
Juu watoto wanasema A for Apple chini magaidi yanasema D for DEATH FOR AMERICA
Ukitumia samaki kuficha nyoka jiandae kuuliwa kwa nyoka na samaki asie na hatia.
Watoto wameniuma sana roho wale😥
Una uhakika ama source kuthibitisha ho shule kulikuwa na military base chini?
Military base ya chini unapiga bunker buster, hapo walilipua kwa missile ya kawaida ya kupiga majengo...

Iran sio magaidi, magaidi ni hao waliingia Gaza na kuua watu sabini elfu na makumi elfu ya vitoto vidogo.. kwa makusudi. Ukitaka ushahidi nakupa.
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la tehranpars magharibi mwa Tehran. Milipuko mikubwa
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la khoramabad
 
💥💥💥💥
Video footage: Israel na marekani wanashambulia kwa makombora eneo la Tehranpars Tehran. Milipuko mikubwa sana
 

Attachments

  • 2026-03-04_22-53-53_0.mp4
    413.2 KB
Mkuu tuliza jazba kidogo. Nachomaanisha hawakuwa wakifanya Yale ambayo serikali inapenda/inataka.
Hapa bado hujaelewa?
Yale yale sehemu gani nimeonyesha jazba, so ndio kukizi? Sema hawataki chombo kitakacho sema ukweli kwa yale yatakayo endelea kwenye ardhi yake,hiko kitu si US, Myahudi na Iran hawakitaki na nchi za Magharibi pamoja na US wazuri sana kwenye proganda na kupika data, ndio maana wanaogopa vyombo vinavyo ongea ukweli.
 
💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la vavan eslamshahr. Milipuko mikubwa sana
 
💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la chitgar Tehran. Bunker buster bombs
Milipuko mikubwa sana
 
Una uhakika ama source kuthibitisha ho shule kulikuwa na military base chini?
Military base ya chini unapiga bunker buster, hapo walilipua kwa missile ya kawaida ya kupiga majengo...

Iran sio magaidi, magaidi ni hao waliingia Gaza na kuua watu sabini elfu na makumi elfu ya vitoto vidogo.. kwa makusudi. Ukitaka ushahidi nakupa.
Huu uzi umeshavamiwa na mbumbumbu mtu anaropoka tu
Pete hegseth wala Netanyahu wala yeyote mwenye mamlaka kwa wale waliofanya hilo shambulio la kuua watoto wadogo hawajasema kwamba kulikua na kambi kwenye hiyo shule wala ku hint kitu kama hicho
Ila mlokole kutoka bongo anakwambia kulikua na kambi
Hovyo sana.
 
💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la asaluyeh. Karibu na airport
 
Back
Top Bottom