King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,350
- 6,098
kinyonge sanađź’Ąđź’Ąđź’Ąđź’Ą
Naem Qassam Kama mkuu wa Hezbullah: Hezbollah haitasalimu amri bila kujali matokeo yatakuaje
Wewe bado umelala usingizi mzito, regime change on the way,vita imeisha![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Trump hawezi kuthubutu...
US hii vita anakwenda kuaibika, baada ya hii vita naamini China anaweza kuichukua Taiwan kwa nguvu..
Yap yap, pia na international pressure ilichangiaIsrael ilikuwa bado na uwezo wa kuokoa mateka na kuiharibu Gaza au kuua watu kwa kuendeleza vita. Na ingekuwa ushindi mkubwa kwao na ingeandaliwa documentary, movies na vitabu kama operation Entebbe.
Hio si mara ya kwanza intel yao kufeli.
Netanyahu alikuwa anahitaji sana mateka waokolewe kwa ajili ya kumpatia political mileage na kuonyesha dunia uwezo mkubwa wa jeshi la Israel. Kumbuka sera ya Israel ni kuto ku negotiate na terror group, na wao wanasema Hamas ni terror group, lakini ilibidi wayarudie matapishi, wakakubali mazungumzo na terror group na kukubali matakwa.
Hao jamaa Iran ilisema toka zamani wanatumika na US , Saudi, UK na Israel, kama proxy wa kufanya intel zao. Miaka ya 2000s early.Hapa mturuki anaweza kuingilia hii show maana wakurdi ni tishio sana kwa uturuki. Hapa ndio tunawambia watu kwamba ni vyepesi kubadilisha utawala lakini ni vigumu kubadilisha mfumo wa uongozi. Sasa wapeleke jeshi la ardhini waende wakamalizwe na IRGS.
Wengine wanasema makombora yamekata, kumbe bado iran wanapigwa, tupe update mzee bila kuchokađź’Ąđź’Ąđź’Ąđź’Ą
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la rhojilat
View attachment 3552587
Naona sasa CNN wanaanza kuongea ukweli wanakuambia Drone za Iran, zinatengenezwa kwa gharama ndogo na ni ngumu kuwa intercepted.
View: https://m.youtube.com/watch?v=JUU-nBX0VXs
Itamletea shida! Katika maisha kuna wahuni wanapenda kukupitisha ulikowapitisha.Israel ukimruhusu atawale anga lako basi umekwisha. Anatungunyua tu sehemu yeyote anayotaka kama kule Gaza
Dah mkuu mpaka nimeogopa haya mambo unaweza kuyachukulia poa tu lakini ukijipa mda utaanza kuuona ukweli taratibu na siku zote penye ukweli uongo huwa na tabia ya kujitenga. Hapo mashariki ya kati hapatakuja kupoa ni vita juu ya vita tena ni vita vya kuchonganishwa mataifa ya hapo.Hao jamaa Iran ilisema toka zamani wanatumika na US , Saudi, UK na Israel, kama proxy wa kufanya intel zao. Miaka ya 2000s early.
Turkey pia wanasema Wakurdi wana muunganiko na US.
Hivyo Turkey na Iran walifanya kitu wanaita Iran–Turkey High Security Commission miaka ya 2006/7 hapo . Na waliwatandika balaa na kuwapa mazingira magumu sana hao Wakurdi, jeshi la Turkey waliwafuata huko milimani Kaskazini mwa Iraq mpakani Iran, Iran ikarusha ndege kuwapiga, kuna hilo kundi wanaitwa PJAK na lingine PKK hao wote ni Kurdi na ni marafiki, hao PJAK baada ya kuona mazingira magumu, wakasema wao hawahusiki na kushambulia raia wa Turkey bali ni PKK.
Ikaja kuonekana PKK na PJAK lao lote ni moja.
Wakati wa G W Bush walikuwa wanapewa hao Kurdi, sera wakati wa Obama ikabadilika , 2009 united States department of the treasury walilitambua hilo kundi ni la kigaidi, PKK wana muingiliano na PJAK, na wana ideologies zinazofanana, EU wanatambua PKK ni terror group.
US inalitambua PKK pia kama kundi la kigaidi.
Sasa tujiulize , watu wanaopiga kelele, hapo nani mfadhili ugaidi, na kuna habari hapa, ndege flani inaweza kuwa ya US ama Israel imekwenda eneo la hayo makundi na kurusha mizigo kutoka angani , probably ni silaha, askari wa Iraq waliokuwa kwenye doria kusogea kwenda kuangalia kulikuwa na kitu gani, nadhani wakiwa na gari wakashambuliwa na kufariki kwa airstrike, unaweza kuona hao washenzi nyuma ya pazia walivyo na roho za kigaidi.
US na Israel ina fund terror group kupambana na Iran.
Wanachoongelea ni Ile video ya wanajeshi wapo shule kwamba Jeshi la Iran lipo shule,Inashangaza sana, hata mimi nimeshangaa, mtu anaongea chini ya shule kulikuwa na magaidi, kama ni kambi ya chini ya ardhi silaha inayotumika ni bunker buster, sasa unapiga cruise missile halafu unasema ulikuwa unapiga military base... hawa hoja wameishiwa imebaki mahaba ...
Mbona wanapigana mda Tu, wameshawahiwa hao sasa ni vita proxy Vs proxy.Si nimeona hapa Wakurdi wamepewa silaha tayari wapo mpakani mwa Iran, yaani hao watapigwa vibaya. Au waingie proxy wa Iran kutoka Iraq waje wawamalize.
Hapo ni hatari, ukiona hadi US na Israel wanakwenda fund terror group ufahamu mchezo umekuwa mgumu kwao.Dah mkuu mpaka nimeogopa haya mambo unaweza kuyachukulia poa tu lakini ukijipa mda utaanza kuuona ukweli taratibu na siku zote penye ukweli uongo huwa na tabia ya kujitenga. Hapo mashariki ya kati hapatakuja kupoa ni vita juu ya vita tena ni vita vya kuchonganishwa mataifa ya hapo.
Hali ya kuwa kuna ujio wa kiongozi lazima apewe ulinzi na wanafunzi waliokuwepo.Wanachoongelea ni Ile video ya wanajeshi wapo shule kwamba Jeshi la Iran lipo shule,
Baada ya Ile shule kupigwa msemaji wa Serikali na wanajeshi walienda kutoa hotuba pale pale so Wana spin habari ionekane kama vile Jeshi lilikua limejificha pale.
Shida wanarusha hovyo bila target labda yameishaWakuu IRGC hawajamaliza kufuturu? Au mpaka wale daku? Tangu jana mashambulizi ya Iran yamepungua sana.
Wanapigana na proxy wa Iran? maana Iraq hapo Iran ana proxies kama watano, wote wapo nondo..Mbona wanapigana mda Tu, wameshawahiwa hao sasa ni vita proxy Vs proxy.