100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Hao tayari hawana jipya tena.. Hezbollah aendelee na kazi..No proxy wa Iran wa Iraq, juzi na Jana nimeona clash
Hao tayari hawana jipya tena.. Hezbollah aendelee na kazi..No proxy wa Iran wa Iraq, juzi na Jana nimeona clash
Hii comment nilikua namuambia mtu hapa jamiiforums kabla vita haijaanza.📹🇮🇷 For the 4th night, Iranians flood streets in support of Islamic Republic—under bombardment
Unprecedented in size and spread, the marches continue despite ongoing strikes on their cities.
Vitalengwa, tupo hapa...Iran ni mbwa anebweka huku hana meno!..
. Hela yake imeanguka kabisa!
Wanachi wengi wako against utawala.....
USA na Israel watajipigia tu maana alishalemazwa toka ile vita ya siku 12..
.
Kwa jinsi USA alivyokusanya vifaa hapo meddle East ni ngumu sana kuvirudisha bure.
Mkuu umejuaje kama milipuko sio mikubwa sana? Na wewe upo eneo la tukio?Mbona unaongeza chumvi sana... we jamaa bana... eti mlipuko mkubwa sana.. utasema upo eneo la tukio.
Hawa Iran wamesusa kupigana mbona wanashambuliwa wao tu toka juzi?
Stock imeishaWakuu IRGC hawajamaliza kufuturu? Au mpaka wale daku? Tangu jana mashambulizi ya Iran yamepungua sana.
Stock zimeisha na viwanda vya silaha vimegeuzwa vifusi💥💥💥💥
CENTICOM: uwezo wa Iran kushambulia kwa makombora umepungua kwa 86%, uwezo wa kushambulia kwa drones umepungua kwa 73%
Mkuu walio hapo eneo la tukio ndio wanasema. Pia angalia hii video alafu niambie huu mlipuko ni mkubwa au mdogo? Nakuomba tafadhali angalia hii video alafu utaelewaMbona unaongeza chumvi sana... we jamaa bana... eti mlipuko mkubwa sana.. utasema upo eneo la tukio.
Kumbe nilisikia vibaya nikaweka hizo asilimia kinyume! Kwusha habari yao.💥💥💥💥
CENTICOM: uwezo wa Iran kushambulia kwa makombora umepungua kwa 86%, uwezo wa kushambulia kwa drones umepungua kwa 73%
Wakurdi wa Iran wamekanusha kujiunga na vita hii unless kuwe na jengine, waliosaidiwa ni wa Iraq.Hao tayari hawana jipya tena.. Hezbollah aendelee na kazi..
Mkuu rrondo naomba angalia hii video alafu niambie mlipuko kama huu unaweza kusemajeMkuu umejuaje kama milipuko sio mikubwa sana? Na wewe upo eneo la tukio?
Wanapigwa kama ngoma 😀😀😀Mkuu walio hapo eneo la tukio ndio wanasema. Pia angalia hii video alafu niambie huu mlipuko ni mkubwa au mdogo? Nakuomba tafadhali angalia hii video alafu utaelewa
Hii inaitwa KUMKOMA NYANI GILADUMkuu rrondo naomba angalia hii video alafu niambie mlipuko kama huu unaweza kusemaje
Subiri wamalize kula daku utawajua ni naniIran mbona kapoa.
Hawa watu nyuma ya pazia ni wakatili kuliko watu wanavyodhani...Wao ni kitu cha kawaida kuua mtu yoyote, na hawaoni shida kikubwa ni maslahi yao yapite. Hapa umenikumbusha John Bolton. Alihudumu kama Mshauri wa 26 wa Usalama wa Taifa wa Marekani chini ya Rais Donald Trump kuanzia Aprili 2018 hadi Septemba 2019.
Mzee John Bolton anajulikana kama mmoja wa watu wenye misimamo mikali ya kihafidhina katika sera za kigeni, mara nyingi akipendelea matumizi ya nguvu za kijeshi na kutokuamini diplomasia pekee.
Kipindi alipokuwa Balozi wa 25 wa Marekani katika Umoja wa Mataifa (UN) wakati wa utawala wa George W. Bush inasemakana kuwa Bolton, wakati akifanya kazi na serikali ya Bush, alimtolea vitisho mwanadiplomasia wa Brazil, José Bustani.
Aliyekuwa akiongoza Shirika la Kuzuia Silaha za Kemikali (OPCW). Bolton aliripotiwa kumwambia Bustani, "Tunajua mahali watoto wako wanapoishi" (We know where your kids live) ili kumlazimisha ajiuzulu kwa sababu alikuwa akijaribu kufanya mazungumzo na Iraq, hatua ambayo ilipingana na maslahi ya vita ya Marekani wakati huo.