Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Hii wala haihitaji ushahidi, Tel Aviv itawaka!Israel imekaa kimya kuepuka yaliyomkuta ile vita ya siku 12...
Lakini kama kweli US atashambulia, basi nyuma yake yupo Israel ikifuatiwa na nchi za Ulaya Magharibi...
Iran ikifahamu Israel inahusika kwa ushahidi, wataanza kutuma vimondo kuelekea Israel..
Middle East itawaka...
USA anaenda kuishambulia Iran kwa vigezo vya kuilinda Israel.
Tel Aviv lazima itiwe kiberiti, hii inaitwa kama mbwai na iwe mbwai.