zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Mbona Venezuela rais katekwa kabisa na nchi haijapinduliwa? Huwezi ng'oa utawala kwa kuua kiongozi si anateuliwa Ayatollah mwingine tu na maisha yanaendelea!!Hii taarifa sio kweli. Trump ameipa Iran takriban siku 10 hadi 15 kufanya uamuzi wa busara utakaoweza kuiokoa Iran na watawala wake.
Vinginevyo safari hii ndio utakuwa mwisho wa utawala wa kiimla wa Ayatollah na genge lake.
Safari hii Iran ikianza kupigwa wahanga wa mapema kabisa watakuwa ni Ayatollah mwenyewe na wapambe wake akina raisi Masoud Pezeshkian na wengineo.
Wakishauliwa hao wanajeshi wa Iran watakuwa hawana tena wa kuwapigania hivyo ni lazima kutatokea mapinduzi na ndio utakuwa mwisho wa utawala wa kiimla wa Ayatollah na genge lake. Tusubiri tuone.
Njia pekee ni kuleta wanajeshi wa ardhini kitu ambacho USA hawezi maana atapata losses kubwa kwa vita ya miaka na miaka kama Afghanistan