Uwezekano mkubwa sana Shambulio la Marekani dhidi ya IRAN ni alfajiri ya ya Jumapili kesho kutwa

Uwezekano mkubwa sana Shambulio la Marekani dhidi ya IRAN ni alfajiri ya ya Jumapili kesho kutwa

Ayatollah Ali Khomen kisha sema US kweli ni Super Power lakini kuna wako ma Super power walichapwa kibao na ule u Super power wao ukaisha.

Hapo Iran anajambo anataka kulifanya kisha chimba makaburi 5000 ya wanajeshi wa US kule Iran sababu hizo carriers zitakuwa ni history. Intelligence ya Israel wamedai Iran ana uwezo wa kuzizamisha Carriers na zitasambaratishwa na Hypersonic za Iran.

Israel ambaye ana mlazimisha US kushambulia Iran kisha sema hatuwezi kuzuia Missiles za Iran na hata kama hatutaingia vita Iran atatushambulia tu.

Hao Israel vichaa kweli wao wanamlaxzmisha US aingie vitani na Iran wanataka Iran asiwashambulie 😄
Zile missiles za Iran si mchezo, Netanyahu alilaumiwa sana na wananchi pamoja na wanasiasa kuhusu ile vita ya siku 12.

Walidhani missiles za Iran ni kama yale mabomu ya Hamas... wananchi wa Israel hata leo wakisikia Iran inashambulia nchi yao nhi nzima wanaingia mashimoni, na huko kwenye mashimo wanakuwa hawana amani. usicheze na muajemi.
 
Vitalengwa, tupo hapa...
Pesa imeanguka sababu ya vikwazo... hata hivyo wanajitahidi sana, Israel haiwezi pewa vikwazo kama hivyo waka survive miaka mitatu.

Si kweli kwamba wananchi wengi wapo against utawala... Linapokuja suala la vita.. utawaona wanatoka na mabango yao ya 'death to America' maelfu kwa mamilioni, tupo hapa...

Itakuwa umefuatilia haya maandamano ya sasa... fuatilia maandamano ya 2009(green movement), futilia maandamano ya 2017-18 kuhusu uchumi, maandamano ya 2019/20 kuhusu bei ya mafuta kupanda..

2022/23 maandamano ya yule mwanamke aliyeuawa na Polisi.. hapo sijazungumzia maandamano kabla ya mwaka 2000.. miaka ya 90s huko pia kulikuwa na maandamano...

Lakini baadae unawaona hao hao wanasema 'death to America'....

Hivyo usijidanganye mkuu, vita ikianza wananchi wapo na serikali yao.

12 days war haikuilemalaza Iran, Iran ilikuwa kwenye sintofahamu kwa masaa kadhaa kabla hawajajipanga na kuji restore fully kisha kujibu mashambulizi hadi Israel ikaomba ceasefire, Israel ndiye aliumia pakubwa ndio maana hivi sasa humsikii akiwa mbele kujitangaza kuishambulia Iran.. hypersonic haina kinga.

Tujipe muda...
Nipo iran mwaka wa nne huu hapa bushehr na asaluyeh ndio maeneo ninayozunguka sana yaani ukisoma hizi coment za humu ndani unaishia kubaki mdomo wazi
 
Wadau, taarifa hii ni kwa mujibu wa uchambuzi wa vyanzo mbalimbali vya uhakika duniani na taarifa za ndani, hivyo uwezekano mkubwa ni alfajiri ya kuamkia jumapili tarehe 22.2.2026 kwa saa za Marekani. Shambulio hilo malengo ni kuuangusha utawala wa Kiislamu wa AYATOLLAH KHAMENEI. Kibali kimetolewa cha ratiba ya kijeshi dhidi ya IRAN na Rais atatoa tamko ndani ya masaa 24 kuanzia muda huu. Tayari ameridhia ratiba ya kijeshi na anasubiriwa atoe tamko rasmi yaani AMRI kwa jeshi kuanza shambulio
Kama hilo shambulio la marekani( CIA/NSI/FBI... wewe wa hapa hapa tena hapa Malawi! una taarifa nalo! Basi hilo sio shambulio!
 
Well done nataka kutimba pande hizo mashujaa wa Uislam hao, Niko napanga namna ya kusogea uwe mwejeji mi. Kifarsi sikijui
Msome huyu kaandika ukweli mtupu
 

Attachments

  • Screenshot_20260224_200440_Opera.jpg
    Screenshot_20260224_200440_Opera.jpg
    52.9 KB · Views: 23
Uwezo wa kuzilenga inao, maamuzi ya kuzilenga yanabaki kwao.
Iran ni watu wa surprise mkuu.
Kila siku inashangaza watu. Wame test ICBM missile yenye range ya 20000 kms. Inamaana wamejitayarisha kuwa wana uwezo wa kufyatua kombora kwenda Washington. Na juzi waziri wa Iran amesema kabisa uwezo wa kurusha kombora Washington wanao.
Na kama unakumbuka kila walichosema hawa jamaa wamefanya.
Vita ya June 2025 hakuna mtu alitarajia alichofanya Iran. Kwahiyo tegemeeni kitokee chochote kile kutoka kwao. Zile ICBM hajazi test bure.
 
Anamuona Iran kama Russia/China. Iran anga lake lilitekwa lote na adui akawa anapiga atakavyo.
Israel angeteka anga la Iran kama unavyosema leo hii Iran ingekua kama Gaza. Embu wacheni kuleta uongo usiokuwa na maana.
 
Ukweli unabaki palepale kwamba wananchi wa Iran wamechoka na utawala wa kiimla wa Ayatollah na wanataka serikali mpya isiyo ya kidini.
Wale raia mamilioni walioandamana kwa kumvuta rais wao barabarani wakisema wanaunga mkono utawala wa Khamenei wametokea wapi!??
 
Back
Top Bottom