Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Hawa watu nyuma ya pazia ni wakatili kuliko watu wanavyodhani...
Kuna video moja nili post hapa ya veteran mmoja mzee wa kiyahudi, baada ya oct 7 pale Hamas kuivamia Israel, yule mzee alikuwa anawaambia IDF.

Wakiingia Gaza, waue kuanzia watoto hadi mama zao, mzee alikuwa anaongea Hebrew, aliwaambia wazi malizeni wote, and probably ndicho IDF ilikuwa inatekeleza.

Nyumbu wa Tanzania ambao hawajui dunia ilivyo na nyuma ya haya mambo wanakuambia Hamas walikuwa wanajificha miongoni mwa raia.

Sasa mimi nikawauliza kama walijificha miongoni mwa raia wale mateka waliwaficha wapi? wanakosa jibu, kama mateka walifichwa sehemu ambayo walikuwa salama, ina maana na Hamas walikuwa wanajicha huko huko...

Ila IDF walikuwa na order maalumu shoot and kill children, bomb them, beat them...
Mkuu they are serial killers.
 
Ni kweli maana vikiisha mnanza moja kurekebisha sehemu za muhimu zilizoathirika.
USA mshenzi yeye yuko mbali kule maisha yanaendelea huku Iran na Israel hata shughuli za kiuchumi zinasimama.
 
🚨📹 Iranian missile attack on US base in Bahrain

There have been at least 4 explosions reported in the area, and interceptors are active.

Bahrain hosts the US Fifth Fleet headquarters—America's naval command center in the Gulf.
 

Attachments

  • VID_20260305_014624_064.mp4
    341.6 KB
  • VID_20260305_014622_457.mp4
    1.8 MB
Back
Top Bottom